Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ubelgiji yaipatia Serikali bil.40/-

SERIKALI imepokea msaada wa Sh bilioni 40 kutoka Serikali ya Ubelgiji kusaidia sekta ya kilimo na maji.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

EU yaipatia Tanzania bil. 135/-

UMOJA wa Ulaya (EU) umeipatia Serikali ya Tanzania msaada wa sh bilioni 135 kwa ajili ya kusaidia kuinua sekta ya kilimo, usafirishaji na nishati. Akizungumza na waandishi wa habari jijini...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ubelgiji yaipa Tanzania bil. 15/-

SERIKALI ya Tanzania imepokea msaada wa sh bilioni 15 kutoka nchini Ubelgiji wenye lengo la kusaidia katika nyanja mbalimbali hasa katika sekta za kilimo, maji na maliasili. Akizungumza na waandishi...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YA JAPAN YAIPATIA MSAADA WA DOLA LAKI 1.4 HALMASHAURI YA WILAYA YA MONDULI

Kaimu Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Kazuyoshi Matsunaga (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli,Twalib Mbasha wakisaini mkataba wa makubaliano wa kufanikisha Miradi miwili iliyopo kwenye Halmashauri ya Monduli.Serikali ya Japan imeipatia Halmashauri hiyo dola za kimarekani 142,251 (sawa na Shilingi Milioni 250) kwa ajili ya kufanikisha miradi hiyo.Wengine pichani ni Mbunge wa Viti Maalum - Monduli,Mh. Namelock Sokoine (katikati),Mwenyekiti wa Halmashauri ya...

 

10 years ago

Michuzi

Saudia yaipatia Serikali ya Tanzania zaidi ya Sh. bilioni 45 kuboresha huduma za jamii nchini.

 Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (kushoto) akisaini mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu kwa serikali ya Tanzania kwa niaba ya Serikali ya Tanzania leo jijini Dar es salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Saudia Mhandisi Hassan Al-Attas. Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (kushoto) akibadilishana hati ya  mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu kwa serikali ya Tanzania waliosaini kwa niaba ya Serikali ya Tanzania leo jijini Dar es salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Shirika la...

 

5 years ago

CCM Blog

UFARANSA YAIPATIA SERIKALI MKOPO NAFUU KUJENGA MRADI WA MAJI MJINI MOROGORO

1%2B%252812%2529Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James (kushoto) na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa Bi. Stephanie Mouen Essombe, wakisaini mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa  Euro milioni 70 (Sh. za Tanzania bilioni 175.6) kwa ajili ya kugharamia mradi wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira mjini Morogoro (MORUWASA), jijini Dodoma. Anaye waongoza ni Mwanasheria wa Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Nyanzala Nkinga.
2%2B%25289%2529Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto...

 

9 years ago

Michuzi

Ujerumani yaipatia Serikali ya Tanzania Sh. Bilioni 39.1 kusaidia sekta ya afya, maji na maliasili.

Na Jenikisa Ndile-MAELEZO Serikali ya Tanzania na Ujerumani zimetiliana saini mikataba miwili ya misaada yenye thamani ya jumla ya Euro milioni 17 ambazo ni sawa na Tsh. Bilioni 39.1 kusaidia sekta ya afya, maji na maliasili.  Makubaliano hayo yamesainiwa jijini Dar es salaam kati ya Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile kwa niaba ya Serikali ya Tanzania na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Egon Kochanke ili kuleta mafanikio na maendeleo katika.  Aidha, Dkt. Likwelile...

 

5 years ago

Michuzi

UFARANSA YAIPATIA SERIKALI MKOPO NAFUU WA SH.BILIONI 175.6 KUJENGA MRADI WA MAJI MJINI MOROGORO



Na Farida Ramadhani-WFM, Dodoma

Serikali ya Tanzania na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) zimetiliana saini mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa Euro milioni 70, sawa na takriban shilingi za Tanzania bilioni 175.6 kwa ajili ya kugharamia Mradi wa Maji Safi na Usafi wa Mazigira Mjini Morogoro (MORUWASA).

Mkataba wa mkopo huo umesainiwa Jijini Dodoma na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James kwa upande wa Serikali na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI WA TANZANIA UBELGIJI AKUTANA NA WATANZANIA WANAOISHI LIEGE - UBELGIJI

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye tai) akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania wanaoishi Ubelgiji baada ya kumaliza mazungumzo nao leo Liege - Ubelgiji.

 

9 years ago

Global Publishers

Serikali yampongeza Mbwana Samatta kwa kujiunga na Genk ya Ubelgiji

9496-nape akiongea na samataWaziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (kushoto) akiongea na Mchezaji wa Timu ya TP Mazembe Mbwana Samatta (kulia) leo kwenye ofisi za wizara hiyo jijini Dar es Salaam.9524-samatha akiongeaMbwana Samatta(wa kwanza kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani).9531-nape akiongea na waandishiMhe. Nape Nnauye (katikati) akiongea na waandishi wa Habari wakati aakimkaribisha Samatta kwenye ofisi za wizara yake.

SERIKALI imesema ipo bega kwa bega na mshambuliaji nyota wa Taifa Stars, Mbwana Samatta kokote...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani