Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EU yaipatia Tanzania bil. 135/-

UMOJA wa Ulaya (EU) umeipatia Serikali ya Tanzania msaada wa sh bilioni 135 kwa ajili ya kusaidia kuinua sekta ya kilimo, usafirishaji na nishati. Akizungumza na waandishi wa habari jijini...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Ubelgiji yaipatia Serikali bil.40/-

SERIKALI imepokea msaada wa Sh bilioni 40 kutoka Serikali ya Ubelgiji kusaidia sekta ya kilimo na maji.

 

10 years ago

Habarileo

Marekani yaipatia Tanzania bilioni 16.6/-

Makamu wa Rais wa MCC, Kamran Khan.SERIKALI ya Marekani kupitia Shirika la Changamoto za Milenia (MCC), imetoa Sh bilioni 16.6 kwa Tanzania, zitakazotumika kujenga miundombinu ya umeme.

 

5 years ago

Michuzi

MADAGASCAR YAIPATIA TANZANIA MSAADA WA DAWA YA CORONA

Tanzania imesema haijalegalega wala kujitenga katika kupambana na maradhi ya COVID – 19  na badala yake imetoa uongozi madhubuti katika kuratibu na kuunda timu ya wataalamu wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC kuandaa muongozo na utaratibu wa kukabiliana na ugonjwa huo ikiwa ni pamoja na kutafuta njia za kupunguza nguvu ama kuleta tiba ya COVID – 19.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi ameyasema hayo wakati akipokea msaada...

 

10 years ago

Michuzi

Saudia yaipatia Serikali ya Tanzania zaidi ya Sh. bilioni 45 kuboresha huduma za jamii nchini.

 Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (kushoto) akisaini mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu kwa serikali ya Tanzania kwa niaba ya Serikali ya Tanzania leo jijini Dar es salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Saudia Mhandisi Hassan Al-Attas. Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (kushoto) akibadilishana hati ya  mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu kwa serikali ya Tanzania waliosaini kwa niaba ya Serikali ya Tanzania leo jijini Dar es salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Shirika la...

 

9 years ago

Michuzi

Ujerumani yaipatia Serikali ya Tanzania Sh. Bilioni 39.1 kusaidia sekta ya afya, maji na maliasili.

Na Jenikisa Ndile-MAELEZO Serikali ya Tanzania na Ujerumani zimetiliana saini mikataba miwili ya misaada yenye thamani ya jumla ya Euro milioni 17 ambazo ni sawa na Tsh. Bilioni 39.1 kusaidia sekta ya afya, maji na maliasili.  Makubaliano hayo yamesainiwa jijini Dar es salaam kati ya Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile kwa niaba ya Serikali ya Tanzania na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Egon Kochanke ili kuleta mafanikio na maendeleo katika.  Aidha, Dkt. Likwelile...

 

5 years ago

Michuzi

Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB yaipatia Tanzania Mkopo wa Masharti Nafuu kiasi cha shilingi trilioni 1.14

Serikali ya Tanzania na Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB), zimesaini mikataba mitano ya mkopo wa masharti nafuu ya Dola za Marekani milioni 495.59 ambayo ni sawa na TZS trilioni 1.14 zitakazowezesha kutekeleza ujenzi wa miradi ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Msalato Jijini Dodoma, Dola za Marekani milioni 271.63, ujenzi wa barabara ya Bagamoyo-Holoholo-Lungalunga–Malindi km.120.8 kwa gharama ya Dola za Marekani milioni 168.76 na Dola 55.2 kwa ajili ya Programu ya utawala bora na kuendeleza...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI BITEKO:SEKTA YA MADINI YAONGOZA KWA UKUAJI NCHINI. MAKUSANYO YAPAA KUTOKA BIL. 39 HADI BIL.58 APRILI



Nuru Mwasampeta na Tito Mselem,WM- Dodoma

WAZIRI wa Madini, Doto Biteko amesema ukuaji na mchango wa Sekta ya Madini kwenye pato la taifa unakua kwa kasi na kuwa mwaka 2019 mchango huo umeongezeka na kufikia asilimia 17.7 kutoka ukuaji wa asilimia 1.5 kwa mwaka 2018.
Amesema, kwa ukuaji huo sekta ya madini imeongoza sekta zote kwa ukuaji ikifuatiwa na sekta ya ujenzi ikiwa na ukuaji wa asilimia 14.1.
Ameongeza kuwa, wizara yake imekuwa ikikusanya kiasi cha wastani wa shilingi bilioni 39 kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ubelgiji yaipa Tanzania bil. 15/-

SERIKALI ya Tanzania imepokea msaada wa sh bilioni 15 kutoka nchini Ubelgiji wenye lengo la kusaidia katika nyanja mbalimbali hasa katika sekta za kilimo, maji na maliasili. Akizungumza na waandishi...

 

11 years ago

Michuzi

tractor Massey Ferguson 135 inauzwa

Nauza tractor Massey Ferguson 135 kwa bei poa,kwa maelezo zaidi unaweza wasiliana kwa email hii misasophie@yahoo.com ama kwa simu 078808819

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani