Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB yaipatia Tanzania Mkopo wa Masharti Nafuu kiasi cha shilingi trilioni 1.14
Serikali ya Tanzania na Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB), zimesaini mikataba mitano ya mkopo wa masharti nafuu ya Dola za Marekani milioni 495.59 ambayo ni sawa na TZS trilioni 1.14 zitakazowezesha kutekeleza ujenzi wa miradi ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Msalato Jijini Dodoma, Dola za Marekani milioni 271.63, ujenzi wa barabara ya Bagamoyo-Holoholo-Lungalunga–Malindi km.120.8 kwa gharama ya Dola za Marekani milioni 168.76 na Dola 55.2 kwa ajili ya Programu ya utawala bora na kuendeleza...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-dT_OYxxldig/U9CtouVA7LI/AAAAAAAF5a0/kQ_6cy1stqo/s72-c/unnamed+(7).jpg)
Tanzania yapandishwa hadhi katika Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB)
![](http://1.bp.blogspot.com/-dT_OYxxldig/U9CtouVA7LI/AAAAAAAF5a0/kQ_6cy1stqo/s1600/unnamed+(7).jpg)
5 years ago
CCM BlogUFARANSA YAIPATIA SERIKALI MKOPO NAFUU KUJENGA MRADI WA MAJI MJINI MOROGORO
5 years ago
MichuziUFARANSA YAIPATIA SERIKALI MKOPO NAFUU WA SH.BILIONI 175.6 KUJENGA MRADI WA MAJI MJINI MOROGORO
Na Farida Ramadhani-WFM, Dodoma
Serikali ya Tanzania na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) zimetiliana saini mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa Euro milioni 70, sawa na takriban shilingi za Tanzania bilioni 175.6 kwa ajili ya kugharamia Mradi wa Maji Safi na Usafi wa Mazigira Mjini Morogoro (MORUWASA).
Mkataba wa mkopo huo umesainiwa Jijini Dodoma na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James kwa upande wa Serikali na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la...
10 years ago
Vijimambo30 Apr
Bajeti ya mwaka 2015/16 ni ya kula. Ni Shilingi trilioni 22.5, Za maendeleo trilioni 5 tu.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Mkuya-30April2015(1).jpg)
Serikali imetangaza sura ya bajeti ya mwaka 2015/16, ikiwa imejielekeza zaidi katika matumizi ya kawaida ya safari, posho za viongozi na matumizi mengine kuliko miradi ya maendeleo inayogusa maisha ya Watanzani moja kwa moja.
Bajeti ya mwaka ujao inatarajiwa kuwa Sh. Trilioni 22.480, kwa matumizi ya kawaida na maendeleo.
Makadirio hayo ni ongezeko la asilimia 13.2 ya bajeti ya mwaka 2014/15 ambayo ilikuwa ni Sh. Trilioni 19.853.
Waziri wa Fedha, Saada Salum...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/--tH_gwmr1rQ/U3z-6rv1CBI/AAAAAAAFkU4/4hBqJRQ3KOU/s72-c/unnamed+(33).jpg)
TASWIRA MBALIMBALI ZA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA (AFDB) UNAOFANYIKA KIGALIi, RWANDA
![](http://4.bp.blogspot.com/--tH_gwmr1rQ/U3z-6rv1CBI/AAAAAAAFkU4/4hBqJRQ3KOU/s1600/unnamed+(33).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-t4gSc7H8OQQ/U3z-6uHbB3I/AAAAAAAFkVE/pr87UhbucSs/s1600/unnamed+(34).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-2iMkb05B9rE/U3z-6qgH9FI/AAAAAAAFkVA/efCjmuHJAl0/s1600/unnamed+(35).jpg)
10 years ago
Dewji Blog12 Oct
Wilaya ya Same na Mwanga yapata kiasi cha shilingi bilioni 56.10 kutoka mfuko wa maendeleo ya uchumi wa Kuwait
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile akiwa na ujumbe kutoka mfuko wa maendeleo ya uchumi wa Kuwait wakisubiri kutiliana saini mkataba wa makubaliano ya kuanzisha mradi wa maji katika Wilaya ya Same na Mwanga. Aliye kulia kwake ni Bw. Abdulwahab A. Al- Bader ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile, mchana wa leo ametiliana saini makubaliano ya mkataba wa kuanzisha...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-3VBFmmSqIbU/VDr2r_pvjVI/AAAAAAAGpoU/kazx_JHtPiw/s72-c/unnamed%2B(18).jpg)
BENKI YA KIARABU YA MAENDELEO YA UCHUMI YA AFRIKA ( BADEA)YATOA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 12.0 (SHILINGI BILIONI 20.1) KUSAIDIA MAENDELEO KATIKA WILAYA YA SAME NA MWANGA
10 years ago
Michuzitaswira kutoka kwenye mkutano wa maadhimisho ya miaka 50 ya Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Mjini Abijah, Ivory coast
11 years ago
Dewji Blog23 May
Rais Kagame afungua rasmi mkutano wa mwaka wa Benki ya Maendeleo ya afrika (AfDB) unaofanyika jijini Kigali Rwanda
Baadhi ya Viongozi Wakuu wa Afrika waliohudhuria Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika ambao ulifunguliwa na Mh.Rais wa Rwanda Paul Kagame. Mh.Kagame katika hotuba yake alisisitiza kuzijengea uwezo sekta binafsi ili Afrika iweze kufikia uchumi wa kati kwa kipindi cha Miaka 50 ijayo. Aidha katika kufikia lengo hilo Rais Kagame alisema hatuna budi Afrika kuachana na Migogoro na kutekeleza kwa vitendo makubaliano yanayoafikiwa na Viongozi wa Afrika ili kujenga uchumi imara...