UFARANSA YAIPATIA SERIKALI MKOPO NAFUU KUJENGA MRADI WA MAJI MJINI MOROGORO
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James (kushoto) na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa Bi. Stephanie Mouen Essombe, wakisaini mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa Euro milioni 70 (Sh. za Tanzania bilioni 175.6) kwa ajili ya kugharamia mradi wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira mjini Morogoro (MORUWASA), jijini Dodoma. Anaye waongoza ni Mwanasheria wa Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Nyanzala Nkinga.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziUFARANSA YAIPATIA SERIKALI MKOPO NAFUU WA SH.BILIONI 175.6 KUJENGA MRADI WA MAJI MJINI MOROGORO
Na Farida Ramadhani-WFM, Dodoma
Serikali ya Tanzania na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) zimetiliana saini mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa Euro milioni 70, sawa na takriban shilingi za Tanzania bilioni 175.6 kwa ajili ya kugharamia Mradi wa Maji Safi na Usafi wa Mazigira Mjini Morogoro (MORUWASA).
Mkataba wa mkopo huo umesainiwa Jijini Dodoma na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James kwa upande wa Serikali na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la...
5 years ago
MichuziBenki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB yaipatia Tanzania Mkopo wa Masharti Nafuu kiasi cha shilingi trilioni 1.14
11 years ago
Mwananchi25 Jun
MAJI: Mkopo wa Sh300 bil kujenga Bwawa la Kidunda
10 years ago
Dewji Blog02 Jan
Mbunge wa Morogoro mjini Mh Abood atoa milion 11 kutatua kero ya maji Mkundi Morogoro
10 years ago
MichuziMBUNGE WA MOROGORO MJINI,ABOOD ATOA MILION 11 KUTATUA KERO YA MAJI MKUNDI MOROGORO
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akiwa Meza Kuu Sambamba na Katibu wa CCM Kata Ya...
9 years ago
Habarileo05 Dec
Serikali zatakiwa kujenga nyumba nafuu
SERIKALI za nchi za Afrika zimeshauriwa kuja na mpango kabambe wa ujenzi wa nyumba bora za gharama nafuu, zitakazowanufaisha wananchi wake badala ya kuwekeza kwenye ujenzi wa nyumba za kifahari.
9 years ago
MichuziUjerumani yaipatia Serikali ya Tanzania Sh. Bilioni 39.1 kusaidia sekta ya afya, maji na maliasili.
10 years ago
MichuziENG. STELLA MANYANYA AKAGUA UJENZI WA MRADI WA MAJI SAFI NA MAJI TAKA SUMBAWANGA MJINI
10 years ago
VijimamboINDIA YAIPA TANZANIA MKOPO WA DOLA MIL. 268 KWA AJILI YA MRADI WA MAJI KATIKA MIJI YA TABORA, IGUNGA, NZEGA NA SIKONGE
Na Ally Kondo, Delhi
Serikari za Tanzania na India zimewekeana saini Hati za Makubaliano kwa ajili ya kushirikiana...