INDIA YAIPA TANZANIA MKOPO WA DOLA MIL. 268 KWA AJILI YA MRADI WA MAJI KATIKA MIJI YA TABORA, IGUNGA, NZEGA NA SIKONGE
![](http://3.bp.blogspot.com/-4lRkb1_s7OI/VYQrmAV5xgI/AAAAAAAAe4Y/1xFfthN7mro/s72-c/INDIA%2B341.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiwa ameshikilia cheti kwa pamoja na Mwenyekiti wa Makampuni ya Kamal, Bw. Gagan Gupta. Bw. Gupta ni mfanyabiashara kutoka India ambaye amewekeza nchini Tanzania alikabidhiwa cheti cha kutambua mchango wake katika kukuza uchumi wa Tanzania. Cheti hicho alikabidhiwa siku ya Alhamisi jijini Delhi.
Na Ally Kondo, Delhi
Serikari za Tanzania na India zimewekeana saini Hati za Makubaliano kwa ajili ya kushirikiana...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-lx00DdH3xxw/VKp1P89lIzI/AAAAAAAG7YQ/p56fEYTa1lU/s1600/CSC_0375.jpg)
TPDC YATUMIA DOLA ZA KIMAREKANI BILIONI 1.225 KWA AJILI YA MRADI WA BOMBA LA GESI
10 years ago
MichuziTFDA YATEKETEZA BIDHAA FEKI ZENYE THAMANI YA SH MIL.5, SIKONGE MKOANI TABORA
Na Allan Ntana, Sikonge
MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) Kanda ya Kati imefanikiwa kukamata na kuteketeza bidhaa mbalimbali za chakula, vinywaji, dawa za binadamu na mifugo, vipodozi na vifaa tiba vilivyoisha muda wake na vingine feki vyenye thamani ya zaidi ya sh mil.5...
11 years ago
MichuziMANISPAA YA ILALA YASAINI MKATABA WA BILIONI 2.1 KWA AJILI YA UJENZI WA MRADI WA MAJI KATA ZA KIVULE NA KIPUNGUNI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-bfi3pz1IPaQ/XoRo9U-BhOI/AAAAAAALlwI/TRZXOIhORDobTgw9AFrNaysiQsL12hXcgCLcBGAsYHQ/s72-c/index.jpg)
BENKI YA DUNIA YAIDHINISHA KUTOA MKOPO WA DOLA ZA KIMAREKEANI MILIONI 500 KWA TANZANIA KUBORESHA SEKTA YA ELIMU
![](https://1.bp.blogspot.com/-bfi3pz1IPaQ/XoRo9U-BhOI/AAAAAAALlwI/TRZXOIhORDobTgw9AFrNaysiQsL12hXcgCLcBGAsYHQ/s640/index.jpg)
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
BENKI ya dunia kupitia bodi ya wakurugenzi imeidhinisha kutolewa kwa mkopo wa dola za kimarekani milioni 500 (USD 500) kusaidia sekta ya elimu hasa kwa kuwawezesha vijana wa kitanzania kupata na kumaliza elimu ya Sekondari salama na katika mazingira bora.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Benki ya dunia imeelezwa kuwa pesa hizo zitawanufaisha wanafunzi milioni sita na nusu wa shule za sekondari kwa kuisaidia Serikali kuanzisha mifumo madhubuti kwa wanafunzi...
11 years ago
GPLMANISPAA YA ILALA YASAINI MKATABA WA BILIONI 2.1 KWA AJILI YA UJENZI WA MRADI WA MAJI KATA ZA KIVULE NA KIPUNGUNI
10 years ago
Habarileo09 Mar
Mradi umeme wa upepo kutumia dola mil.132
MKUU wa Kitengo cha Miundombinu na Nishati kutoka Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) , Pascal Malesa amesema serikali inatarajia kutumia Dola za Marekani milioni 132 kukamilisha mradi wa kuzalisha umeme wa upepo wenye uwezo wa Megawati 50 ifikapo mwakani.
5 years ago
CCM BlogUFARANSA YAIPATIA SERIKALI MKOPO NAFUU KUJENGA MRADI WA MAJI MJINI MOROGORO
5 years ago
MichuziUFARANSA YAIPATIA SERIKALI MKOPO NAFUU WA SH.BILIONI 175.6 KUJENGA MRADI WA MAJI MJINI MOROGORO
Na Farida Ramadhani-WFM, Dodoma
Serikali ya Tanzania na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) zimetiliana saini mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa Euro milioni 70, sawa na takriban shilingi za Tanzania bilioni 175.6 kwa ajili ya kugharamia Mradi wa Maji Safi na Usafi wa Mazigira Mjini Morogoro (MORUWASA).
Mkataba wa mkopo huo umesainiwa Jijini Dodoma na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James kwa upande wa Serikali na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la...
11 years ago
MichuziMH. MAGUFULI AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA DARAJA LA MBUTU KATIKA WILAYA YA IGUNGA MKOANI TABORA