ENG. STELLA MANYANYA AKAGUA UJENZI WA MRADI WA MAJI SAFI NA MAJI TAKA SUMBAWANGA MJINI

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akipata maelezo ya mradi wa Maji Taka katika Manispaa ya Sumbawanga kutoka kwa Ofisa Uhusiano wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Sumbawanga (SUWASA) Ndugu Zakaria Ngunda alipofika kutembelea mradi huo tarehe 19/03/2015. Ujenzi wa mradi wa Maji Taka umeshakamilika na kinachosubiriwa hivi sasa ni magari matatu kwa ajili ya kuzolea taka za vyooni zitakazomwagwa katika mtambo huo ili uanze kufanya kazi. Miradi yote mikubwa ya Maji Safi na Maji Taka...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AKAGUA MIRADI YA MAJI TAKA NA MAJI SAFI WILAYANI SUMBAWANGA MKOANI RUKWA LEO.

11 years ago
Michuzi30 Aug
Bodi ya ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) yatembelea Eneo la Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda


11 years ago
GPL
BODI YA WAKURUGENZI YA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA DAR ES SALAAM (DAWASA) YATEMBELEA ENEO LA MRADI WA UJENZI WA BWAWA LA MAJI KIDUNDA
11 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA KILIMANJARO AFANYA ZIARA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA MJINI MOSHI
11 years ago
MichuziMAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA MJINI MOSHI (MUWSA) YAFANYA TATHMINI YA UTENDAJI KAZI KATIKA SIKU 360
11 years ago
Michuzi
MKUU WA MKOA WA RUKWA AKAGUA UJENZI WA MIRADI YA MAJI KATIKA MANISPAA YA SUMBAWANGA, APIGA MARUFUKU UHARIBIFU WA VYANZO VYA MAJI

10 years ago
Michuzi
Naibu waziri wa maji akagua ujenzi wa mradi mkubwa wa maji Bunda
10 years ago
Michuzi24 Sep
MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA (DAWASA) MNADA WA HADHARA:
MALI ZITAKOZOUZWA: Meza za ofisi, Viti, Book case, Cupboard, File cabinets, 6 Photocopy m/c {Canon /Sharp} , Computer set, Printer, Scanner, A/c split unit & Window type na grili za milango...
10 years ago
GPLOMBI LA KUPANDA KWA BEI ZA MAJI SAFI NA MAJI TAKA