Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI YA JAPAN YAIPATIA MSAADA WA DOLA LAKI 1.4 HALMASHAURI YA WILAYA YA MONDULI

Kaimu Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Kazuyoshi Matsunaga (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli,Twalib Mbasha wakisaini mkataba wa makubaliano wa kufanikisha Miradi miwili iliyopo kwenye Halmashauri ya Monduli.Serikali ya Japan imeipatia Halmashauri hiyo dola za kimarekani 142,251 (sawa na Shilingi Milioni 250) kwa ajili ya kufanikisha miradi hiyo.Wengine pichani ni Mbunge wa Viti Maalum - Monduli,Mh. Namelock Sokoine (katikati),Mwenyekiti wa Halmashauri ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

OFISI YA BUNGE YAKABIDHIWA NA SERIKALI YA CHINA MSAADA WA VIFAA VYA TEHEMA VYENYE TAHAMNI YA DOLA ZA KIMAREKANI LAKI MOJA

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akipokea kutoka kwa Balozi wa China hapa Nchini Mhe. Dkt. LU Youquing baadhi ya Vifaa vya TEHAMA vilivyotolewa serikali ya China kwa ajili ya kusaidia shughuli za Bunge. Vifaa hivyo vyenye thamani ya Dola za Kimarekani laki moja vimekabidhiwia leo katika hafla iliyofanyika Ofisi ya Spika jijini Dar es Salaam. Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda… ...

 

11 years ago

Michuzi

Mh. Lowassa ahani Msiba wa Mkurugenzi wa zamani wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa pamoja na Mkewe Mama Regina Lowassa wakitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliewahi kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli,Marehemu Mathew Gadi Mwanga,Nyumbani kwake jijini Arusha.Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa pamoja na Mkewe Mama Regina Lowassa wakitoa heshima za mwisho kwa Mwili wa Marehemu Mathew Gadi Mwanga,aliewahi kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli wakati...

 

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MONDULI APOKEA MICHE 500 YA MITI



Mwenyekiti wa Programu ya Tunandoto   wa pili  kushoto  Godlisten Koka  akimkabithi Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Monduli Anderson Ulaya    miche 500 ya miti kutoka katika uongozi  wa Programu  yao  inayotekelezwa kwa kushirikiana  na  kanisa la Free Pentecostal church of Tanzania-FPCT Monduli juzi (picha na WOINDE SHIZZA)   Na Woinde Shizza,MONDULI

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Monduli Stephen Anderson Ulaya jana amepokea miche 500 ya miti kutoka katika...

 

5 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA MONDULI APOKEA MSAADA WA VIFAA KINGA VYA COVID_19

Leo tarehe 11/05/2020 Mkuu wa Wilaya ya Monduli Mheshimiwa Iddi Hassani Kimanta amepokea  vifaa kinga kwajili ya ugonjwa covid_19.

Mkuu wa wilaya amepokea Ndoo kumi za kunawia mikono pamoja na Vitakasa mikono Chupa kumi kutoka kanisa la Free Pentecostal Church of Tanzania -FPCT kupitia mradi wake wa Tunandoto Tanzania Programu.

Akikabidhi msaada huo Mchungaji wa Kanisa hilo hapa Monduli Mch.Wilbert Mollel akifuatana na Mratibu wa  mradi ndg.Lomayani Laizer amesema kuwa Kanisa limeona kuwa Lina...

 

10 years ago

Michuzi

BIOLANDS YAKABIDHI MSAADA WA AMBULANCE NISSAN PATROL KWA HALMASHAURI YA WILAYA YA KYELA

 Meneja Mkuu msaidizi wa Biolands(Kulia) akimkabidhi na kupongezana  na Mkuu wa Wilaya ya Kyela Mh. Magreth Ester Malenga ufunguo wa Gari la Wagonjwa katika Sherehe zilizofanyika kwenye viwanja vya Halmashauri ya Wilaya Kyela. Mkuu wa Wilaya ya Kyela Mh. Magreth Malenga akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Gari la Wagonjwa walilokabidhiwa na kampuni ya Biolands , akisaidiwa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Dkt. Seif Mhina  Mkuu wa Wilaya ya Kyela Mh. Magreth Ester Malenga  akifungua...

 

11 years ago

Michuzi

SERIKALI YA JAPAN YATOA MSAADA WA CHAKULA KWA WAKIMBIZI NCHINI

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mara baada ya kupokea msaada wa chakula kwa ajili ya Wakimbizi wa Kambi ya Nyarugusu, mkoani Kigoma chenye thamani ya Dola ya Marekani 1.4 sawa na zaidi ya Shilingi 2.3 Bilioni, ambazo zimetolewa na Serikali ya Japan. Kushoto ni Balozi wa Japan nchini, Masaki Okada na Mkurugenzi Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Chakula Duniani (WFP), Richard Regan. Waziri Chikawe alipokea msaada...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mhamiaji ashinda dola laki 4 Uhispania

Mhamiaji mmoja raia wa Senegal ambaye hana kazi ameshinda jumla ya dola 400,000 katika mchezo wa krismasi wa bahati nasibu nchini Uhispania.

 

11 years ago

BBCSwahili

Nigeria:Polisi waahidi dola laki 3

Polisi nchini Nigeria wameahidi kumtunuku dola laki tatu za Marekani yeyote atakayetoa habari zitakazowasaidia kuwapata zaidi ya wasichana mia mbili waliotekwa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani