Serikali yapatiwa bil. 108/-
TANZANIA imepokea msaada wa dola za Kimarekani milioni 66.1 (sawa na sh. bilioni 108.5) kutoka kwa wadau wa maendeleo, zitakazotumika kuboresha sekta ya afya. Akizungumza na waandishi wa habari jijini...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo16 Jul
Mfuko Afya kuchangiwa bil 108.5/-
WADAU wa Maendeleo watachangia Sh bilioni 108.5 kwa ajili ya Mfuko wa Afya kwa kipindi cha mwaka wa fedha wa 2014/15.
11 years ago
Habarileo12 Mar
Ubelgiji yaipatia Serikali bil.40/-
SERIKALI imepokea msaada wa Sh bilioni 40 kutoka Serikali ya Ubelgiji kusaidia sekta ya kilimo na maji.
9 years ago
Mtanzania14 Nov
Serikali yalipa walimu bil 1.9/-
Asifiwe George na Imani Nathaniel (RCT), Dar es Salaam
CHAMA cha Walimu Tanzania Mkoa wa Dar es Salaam, kimesema Serikali imeanza kulipa deni la madai ya walimu kiasi cha Sh 1,936,572,146.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa CWT wa mkoa huo, Amina Kisenge, alisema kwa kipindi cha kuanzia mwaka 2013 hadi Julai 2015 walikuwa wanaidai Serikali kiasi cha Sh 3,916,432,471.
Alisema kwa sasa deni lililobaki ni Sh 1,979,860,325 ambazo bado walimu wanadai.
Alisema pamoja na...
10 years ago
Habarileo03 Jun
Taasisi za serikali zadaiwa bil.20/-
TAASISI mbalimbali za serikali nchini zinadaiwa jumla ya Sh bilioni 20 ikiwa ni malimbikizo ya madeni ya huduma ya maji, Bunge limefahamishwa.
9 years ago
Mtanzania31 Dec
Serikali yapeleka Sh bil 18 za elimu
NA RAMADHAN HASSAN, DODOMA
SERIKALI imepanga kupeleka Sh bilioni 18.77 kila mwezi kwa ajili ya kugharimia elimu bure kuanzia Januari, mwakani.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma jana, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), George Simbachawene alisema fedha hizo zitapelekwa kwa awamu ili zitumike kama ilivyokusudiwa.
Alisema katika mpango huo, Serikali itagharimia gharama zote za mtihani wa kidato cha nne kwa wanafunzi wote, tofauti na...
11 years ago
Tanzania Daima28 Jan
Kampuni ‘yapiga’ bil. 3/- za Serikali
KAMPUNI ya Erolink imeiibia serikali kiasi cha sh bilioni tatu za mapato kutoka kwa waajiriwa wapya katika kipindi cha miaka mitatu. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam...
10 years ago
Habarileo20 Dec
Serikali yadaiwa Sh bil 15 ankara za maji
WAZIRI wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe, amesema mamlaka za maji na mashirika yanayotoa huduma za maji nchini, yanaidai Serikali zaidi ya Sh bilioni 15 na wadaiwa wakubwa ni vyombo vya ulinzi na usalama.
10 years ago
StarTV26 Feb
Serikali yatenga Sh. Bil. 30 kuwalipa wakulima.
Na Mkombe Zanda,
Mbeya.
Serikali imetenga shilingi bilioni 30 kwa ajili ya kuwalipa wakulima waliouza mazao yao kwa Wakala wa Hifadhi ya Taifa ya Chakula NFRA kwenye mikoa mbalimbali nchini.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema fedha hizo zitalipwa kwa Wakulima katika awamu mbili za shilingi bilioni 15 ili kumaliza malalamiko yanayotokana na kuchelewa kwa malipo hayo.
Hayo yalibainishwa na Waziri Mkuu, Mheshimiwa Mizengo Pinda, katika siku ya kwanza ya ziara ya wiki moja mkoani Mbeya...
11 years ago
Habarileo12 Jul
Wakandarasi waidai serikali bil 600/-
WAKANDARASI wanaojishughulisha na ujenzi wa barabara katika maeneo mbalimbali nchini wanaidai Serikali zaidi ya Sh bilioni 600, hali inayosababisha kuzorota kwa utekelezaji wa baadhi ya miradi hiyo na mingine kusimama.