Serikali yapeleka Sh bil 18 za elimu
NA RAMADHAN HASSAN, DODOMA
SERIKALI imepanga kupeleka Sh bilioni 18.77 kila mwezi kwa ajili ya kugharimia elimu bure kuanzia Januari, mwakani.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma jana, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), George Simbachawene alisema fedha hizo zitapelekwa kwa awamu ili zitumike kama ilivyokusudiwa.
Alisema katika mpango huo, Serikali itagharimia gharama zote za mtihani wa kidato cha nne kwa wanafunzi wote, tofauti na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog02 Jul
Serikali yapeleka neema ya maji Manyoni, kutumia Bil moja na nusu
Picha juu na chini ni Naibu Waziri wa Maji, Mh. Amos Makala, akizungumza kwa nyakati tofauti na wananchi wa kijiji cha Makale na Itagata jimbo la Manyoni magharibi.Makala alikuwa jimbo la Manyoni magharabi kwenye ziara ya kikazi ya siku moja.Kushoto ni mbunge wa jimbo la Manyoni magharibi, John Paulo Lwanji.
Na Nathaniel Limu, Manyoni
Naibu Waziri wa Maji, Amos Makala (Mb), amefanya ziara ya kikazi katika wilaya ya Manyoni mkoa wa Singida na kutangaza neema ya maji baada ya kusema kuwa...
5 years ago
Michuzi
SERIKALI YAPELEKA WATAALAM KUWEKA MIPAKA YA KUWA NA PORI LA AKIBA ZIWA NATRON
Akizungumza kwa simu na mtandao huu, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Profesa Adolf Mkenda, alisema serikali bado haijatangaza eneo hilo kuwa Pori la Akiba bali kinachoendelea kwa sasa ni kamati ya wataalamu kukutana na viongozi wa vijiji na watu wengine ili kukubaliana kwa pamoja.
Katibu Mkuu...
10 years ago
Habarileo28 Nov
Mikopo iliyoiva ya elimu ya juu yarejesha bil. 58.6/-
HADI kufikia Septemba 30, mwaka huu, Serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu ilikuwa imekusanya Sh 58,565,069,731.04 kutoka kwa wanufaika 101,653 wa mikopo iliyoiva.
11 years ago
Habarileo09 May
JK kuzindua mpango wa bil 100/- wa ubora wa elimu
SERIKALI inatarajia kuzindua mpango wa Sh bilioni mia moja unaolenga kufanya ubora wa elimu kuwa uhai wa madarasa hapa nchini. Mpango huo utazinduliwa na Rais Jakaya Kikwete Mei, 10 mwaka huu katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
11 years ago
Michuzi.jpg)
Sekta ya Elimu yapokea Bil. 203 kutoka Benki ya Dunia
Serikali ya Tanzania imesaini mkataba wa kupokea mkopo nafuu wa shilingi bilioni 203 kutoka Benki ya Dunia kwa ajili ya kuendeleza sekta ya elimu katika mpango wake wa matokeo makubwa sasa(BRN).
Mkataba huo umesainiwa na Katibu mkuu wa wizara ya fedha Dk. Servacus Likwelile huku ukiwashirikisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Elinu na Naibu Katibu Mkuu kutoka TAMISEMI leo jijini Dar es Salaam.
Akizungumza wakati wa hafla hiyo fupi ya kusaini mkataba Katibu Mkuu wa...
9 years ago
StarTV15 Nov
 Utekelezaji mradi wa elimu sema Singida latumia zaidi ya Sh. Bil. 1.5
Shirika lisilo la Kiserikali la SEMA-Singida limetumia zaidi ya shilingi bilioni 1.5 kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli za mradi wa elimu ya afya, maji na usafi wa mazingira kwa shule za msingi 36 za mikoa ya Singida na Dodoma katika kipindi cha kuanzia Machi 2011 hadi Machi mwaka huu.
Shirika hilo chini ya ufadhili wa Water Aid Tanzania limejenga vyoo bora katika shule hizo za mradi, kuweka na kukarabati miundombinu ya maji na kutoa elimu ya afya kwa wanafunzi na ...
11 years ago
Tanzania Daima16 Jul
Serikali yapatiwa bil. 108/-
TANZANIA imepokea msaada wa dola za Kimarekani milioni 66.1 (sawa na sh. bilioni 108.5) kutoka kwa wadau wa maendeleo, zitakazotumika kuboresha sekta ya afya. Akizungumza na waandishi wa habari jijini...
11 years ago
Habarileo12 Mar
Ubelgiji yaipatia Serikali bil.40/-
SERIKALI imepokea msaada wa Sh bilioni 40 kutoka Serikali ya Ubelgiji kusaidia sekta ya kilimo na maji.
10 years ago
Habarileo03 Jun
Taasisi za serikali zadaiwa bil.20/-
TAASISI mbalimbali za serikali nchini zinadaiwa jumla ya Sh bilioni 20 ikiwa ni malimbikizo ya madeni ya huduma ya maji, Bunge limefahamishwa.