Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Foleni ya magari yadumu siku mbili Mombasa

Maafisa wa trafiki Kenya wametumwa eneo la Taru kwenye barabara kuu ya kutoka Mombasa kwenda Nairobi baada ya foleni ndefu iliyodumu siku mbili kukwamisha usafiri.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Foleni za magari mipakani

Kwa wafanyabiashara wanaosafiri katika nchi mbalimbali barani Afrika, ni kawaida kuona misururu mirefu katika mipaka ya nchi, huku baadhi ya maeneo, foleni hizo husalia hata kwa wiki kadhaa.

 

10 years ago

GPL

DAR ILIVYOKWAMISHWA NA FOLENI ZA MAGARI ASUBUHI, MCHANA

Magari yalivyoonekana kufunga njia kwenye kona ya barabara za Shekilango na Morogoro. Msururu wa magari uliokuwepo Barabara ya Shekilango. Hali ilivyokuwa eneo la Bamaga mchana wa leo. FOLENI ndefu zamagari  zilizokuwepo leo asubuhi na mchana jijini Dar es Salaam zimewafanya watu wengi kutembea kwa miguu. Maeneo…

 

10 years ago

GPL

WIZI WA MAFUTA KATIKA FOLENI ZA MAGARI DAR

Vijana wakichukua mafuta toka kwenye lori. …Wakimimina mafuta kwenye madumu.
Madumu ya  mafuta yakiwa tayari…

 

11 years ago

Michuzi

libeneke la foleni za magari kutoka angani jijini dar es salaam

 Huo msalaba uuonao hapo ni taa za magazri zilizo katika foleni mishale ya saa moja jioni kwenye makutano ya barabara za Morogoro road na Nelson Mandela jijini Dar es salaam. Hakika kuna haja ya kutafuta njia mbadala za kupunguza foleni ya magari katika jiji hili. Ushauri wa bure kwa Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi na Madiwani wa Manispaa za Ilala, Temeke na Kinondoni. Boresheni njia za pembeni ili magari yaweze kupungua katika barabara hizi kuu. 
Picha na Sultani Kipingo wa Globu ya Jamii

 

10 years ago

Bongo5

Dar ni foleni kali ya magari, mgomo wa madereva wa daladala na mvua (Picha)

Wakazi wa Dar es Salaam leo wamekiona cha mtema kuni baada ya kero zaidi ya tatu kuunganika na kuleta usumbufu mkubwa. Mgomo wa madereva wa magari abiria, umewafanya wananchi wengi ama kutumia gharama zaidi ya kufikia maeneo waliyokuwa wakienda kwa kutumia bodaboda na bajaj au kutembea kwa maguu. Kumeshuhudiwa misululu mikubwa barabarani ya wakazi wa […]

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa: Nitaondoa foleni Tunduma siku 21

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na vyama vinne, Edward Lowassa ameahidi kutumia siku 21 kumaliza msongamano wa malori eneo la Nakonde ambako ni mpaka wa Tanzania na Zambia, endapo atachaguliwa.

 

11 years ago

Dewji Blog

Magari zaidi ya tani mbili yazuiwe Mji Mkongwe — Balozi Ali Seif Idd

226

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akijumuika pamoja na baadhi ya wananchi kuangalia athari iliyojichomoza kwenye nyumba ya Bwana Salim Ahmed Salim baada ya ukuta na dari yake kuanguka  saa sita usiku juzi mkabala na Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Mtaa wa Vuga Mjini Zanzibar.

227

Sehemu ya mbele ya Nyumba ya Bwana Salim Ahmed Salim iliyoporomoka  Mtaa wa Vuga mkabala na Skuli ya Sekondari ya Tumekuja.Hata hivyo hakuna mtu aliyejeruhiwa kutokana na athari hiyo.

228

 Athari ya...

 

5 years ago

Michuzi

SIKU ZA WEZI WA MAGARI ZAHESABIKA, WAAGIZWA KUJISALIMISHA

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma, Giles Muroto akionesha kwa wandishi wa habari bastola aina ya browning no.016975 ambayo wameikamata kwa kijana ambaye alikua akiimiliki kimakosa na kuitumia kufanyia uhalifu.Charles James, Michuzi TVASKARI wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) amesaidia kumkamata kijana mmoja jijini Dodoma akiwa na silaha Bastola aina ya browning yenye no.016975 akimiliki kinyume na sheria huku akiitumia kufanyia uhalifu.
Akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake Kamanda...

 

9 years ago

Habarileo

Kikwete kutembelea Ruvuma siku mbili

RAIS Jakaya Kikwete leo anatarajia kuanza ziara ya siku mbili mkoani Ruvuma, ikiwa ni mara yake ya mwisho kufanya ziara mkoani humo, kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani