ZITTO AJIBU TUHUMA ZA SUGU KUHUSU UFISADI WA KAMPUNI YA LEKA DUTIGITE LTD KUPITIA KAZI ZA NSSF NA TANAPA
![](http://api.ning.com:80/files/YWMj-J29SNxyGPHIbHtYm7jI9vD8XHOe0aD201VCx6C4Y0f4we0BvEFttQurgKG4-7tnEpUC11EcqSPJpRhbtS8x06zJ-7yg/zitozuberikabwe.jpg)
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe. Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe jana aliwekwa kwenye kitimoto na Msemaji wa Kambi ya Upinzani kuhusu Habari, Michezo, Vijana na Utamaduni, Joseph Mbilinyi aliyemtuhumu kuhusika na kinachoitwa ufisadi katika Shirika la TANAPA na NSSF. Zitto ameamua kujibu tuhuma hizo kupitia Facebook. Maelezo yangu kuhusu kazi za Kigoma AllStars/LEKADUTIGITE kwa NSSF na TANAPA: Leo tarehe 29 Mei,...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima10 Jul
Sugu ajibu mapigo ya CCM
BAADA ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), kumshambulia Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (CHADEMA), ukimuita mpangaji katika jimbo hilo, amewajibu akisema kuwa wanaota ndoto za mchana....
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/54mXxYXIjno/default.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima05 Aug
JK ajibu tuhuma za Ridhiwani na ‘unga’
RAIS Jakaya Kikwete amesema ni mkusanyiko wa upuuzi kudai kuwa alishiriki kumwokoa mtoto wake, Ridhiwani, aliyedaiwa kukamatwa na dawa za kulevya nje ya nchi. Alisema urais ni taasisi kubwa nchini...
10 years ago
Bongo Movies04 Aug
Nuh Mziwanda Ajibu Tuhuma za Kumtongoza Wema, Shilole Aongea
Baada ya kusambaa sauti ya Nuh Mziwanda akimtongoza Wema Sepetu, muimbaji huyo ameibuka na kukanusha kuwa sauti hiyo sio yake na kumtuhumu Wema kuitengeneza sauti hiyo.
Akizungumza na Bongo5 leo akiwa na mpenzi wake Shilole, Nuh amesema kitendo kilichofanywa na Wema pamoja na timu yake sio cha kistaarabu.
“Mimi nimetake easy, ni mambo ya dunia kwa sababu ni mambo ya dunia ambayo yapo duniani. So wameamua tu kufanya vile sio suala ambalo lipo na sio suala sahihi,” amesema Nuh.
“Ile sio...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-atPiEOAXNdQ/VSj-PeSonnI/AAAAAAAArtU/1bgNdqB30IM/s72-c/mavoko-3.jpg)
Msanii wa bongo fleva RICH MAVOKO Ajibu TUHUMA za Kujichubua Mwili Mzima na Kuwe Mweupe
![](http://3.bp.blogspot.com/-atPiEOAXNdQ/VSj-PeSonnI/AAAAAAAArtU/1bgNdqB30IM/s640/mavoko-3.jpg)
Msanii wa bongo Fleva Rich Mavoko amekanusha tuhuma za kujichubua Baaada ya blog hii kuweka Picha zake Hapa zikionyesha Kuwa Mweupe tofauti na zamani...Rich Mavoko amefunguka na Kusema Haya:
“Lazima tuangalie wakati hizi picha zilipigwa, hio picha nikiwa na dred Locks ni yazamani sana na siku na simu bora wala application za kuedit picha kama sasa, Hii picha mpya nimepiga na Iphone” .Rich Mavoko ameongezea kuwa “Hata maisha yangu yamebadilika,so ni kung’aa tu kwa mtu na sio kujichubua,...
9 years ago
MichuziNSSF KUFUATILIA MADENI KWA WAAJIRI SUGU
Na John Nditi, Morogoro.SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii ( NSSF), limewataka waajiri wa sekta mbalimbali nchini wanaodaiwa madeni ya makato kutoka kwa...
10 years ago
BBCSwahili13 Nov
Qatar yaondolewa tuhuma za ufisadi
11 years ago
Tanzania Daima30 May
Sugu amlipua Zitto
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), ameingizwa katika kashfa ya kuwatumia wasanii na kujipatia zaidi ya sh milioni 100. Tuhuma hizo nzito zilitolewa jana bungeni na Msemaji Mkuu wa...
9 years ago
Mwananchi04 Dec
Wafanyakazi Tanesco, Wachina kizimbani kwa tuhuma za ufisadi