Nuh Mziwanda Ajibu Tuhuma za Kumtongoza Wema, Shilole Aongea
Baada ya kusambaa sauti ya Nuh Mziwanda akimtongoza Wema Sepetu, muimbaji huyo ameibuka na kukanusha kuwa sauti hiyo sio yake na kumtuhumu Wema kuitengeneza sauti hiyo.
Akizungumza na Bongo5 leo akiwa na mpenzi wake Shilole, Nuh amesema kitendo kilichofanywa na Wema pamoja na timu yake sio cha kistaarabu.
“Mimi nimetake easy, ni mambo ya dunia kwa sababu ni mambo ya dunia ambayo yapo duniani. So wameamua tu kufanya vile sio suala ambalo lipo na sio suala sahihi,” amesema Nuh.
“Ile sio...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies20 Jun
Baada ya Kushambuliwa kwa Kumpa Break Nuh Mziwanda, Shilole Ajibu Mapigo
Baada ya Shilole kutangaza kumpa break mwenzi wake Nuh Mziwanda kwa muda wa mwezi huu mzima, wakitarajia kuendeleza malavi davi yao baada ya kipindi hiki kitakatifu kupita, baadhi ya mashabiki ambao wanajinasibu kuijua dini wamekuwa wakimshambulia Shilole kwa maneno kwenye mitandao ya kijamii kuwa kitendo cha kutaka kumrudia tena Miziwanda bila ndoa sio sawa kwa upande wa dini na wengine kwenda mabli zaidi na kudai hata kazi yake ya sanaa ambayo humfanya kukata maouno pia haifai, kitendo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*SUYvb1OXSvIEXWXlijDY1LB5JTd3idxJyON9kxtK77yOWCXs2m3qwXZ7CUq5UNGnxkrRkkxh*bdQeUIrxZw8tHY2LELpEZb/shilole.jpg)
SHILOLE, NUH MZIWANDA
10 years ago
CloudsFM26 Feb
Shilole: Marafiki wananigombanisha na Nuh Mziwanda
MSANII wa muziki na mwigizaji wa filamu za Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, ameamua kuweka wazi chanzo cha migogoro yake na mumewe mtarajiwa, Nuh Mziwanda kuwa ni marafiki.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lihD20i2jrwCJeAU45o*lOdnycaMPxKqQnnjsJcIlZXql19Ok3zh3pq9Vp-W1-In1DfNFU2ViQrwlM*B64dYsYatVY7kHJ9L/66.jpg?width=650)
SHILOLE: SASA NAMZALIA NUH MZIWANDA
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/uyMJ0cAtziw/default.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BY6VWIVrp23BnSfwVxWYTeTxQj9ta3oM-Du4KOUDavL60KIXHmO3UFpLwLRC4C5NBkuzHNasThDfzjCpHHYkulEGHJP0rbR-/1.jpg?width=650)
SHILOLE, NUH MZIWANDA WAONYESHANA MAPENZI UPYA
10 years ago
Bongo Movies21 Dec
Shilole Avishwa Pete ya Uchumba na Nuh Mziwanda
Mwigizaji na mwanamziki maarufu wa kike hapa Bongo, Zuwena Mohamed “Shilole” ambae ni mama wa watoto wawili usiku huu akishereke siku yake ya kuzaliwa maeneo ya Mikocheni jiji Dar, amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake wa muda mrefu sasa, Nuh Mziwanda ambae pia ni mwanamziki.
Tunawatakia kila kheri wapendanao hawa.
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/qx6orh371QM/default.jpg)
10 years ago
Mtanzania13 Mar
Nuh Mziwanda: Shilole anipige tu! hakuna shida
NA MWALI IBRAHIM
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Nuh Mziwanda, ametoa kali ya mwaka kwa kudai kwamba kitendo cha kupigwa mara kwa mara na mpenzi wake, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, kinampa furaha na ufahamu wa namna anavyopendwa.
“Kwanza kupigwa raha, mpenzi wako asipokupiga hakuonei wivu, mimi nafurahi sana na namtaka anipige tu! kila siku akijisikia, ananidhihirishia kuwa ananipenda,” alisema.
Nuh alisema mengi yamesemwa kutokana na kupigwa kwake mara kwa mara, huku akidai kwamba hilo halina...