MBATIA AJIBU TUHUMA ZA MREMA
![](http://img.youtube.com/vi/54mXxYXIjno/default.jpg)
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/q_bdzhEEess/default.jpg)
10 years ago
TheCitizen24 Apr
Mrema hits at Mbatia
10 years ago
Tanzania Daima02 Sep
Mrema amlilia JK amfukuze Mbatia
KATIKA hali ya kutapatapa kisiasa, Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema (TLP), amemshtaki kwa Rais Jakaya Kikwete, Mbunge wa Kuteuliwa, James Mbatia (NCCR-Mageuzi), akitaka ang’olewe ubunge. Mrema, alitoa kituko hicho juzi...
10 years ago
Mwananchi06 Sep
Vita ya Mbatia, Mrema yaiva
11 years ago
Mwananchi10 Aug
Mrema awatambia Ukawa, amwonya Mbatia
10 years ago
Mwananchi07 Feb
Vita ya Mrema, Mbatia sasa moto
11 years ago
Tanzania Daima05 Aug
JK ajibu tuhuma za Ridhiwani na ‘unga’
RAIS Jakaya Kikwete amesema ni mkusanyiko wa upuuzi kudai kuwa alishiriki kumwokoa mtoto wake, Ridhiwani, aliyedaiwa kukamatwa na dawa za kulevya nje ya nchi. Alisema urais ni taasisi kubwa nchini...
10 years ago
Mtanzania02 Sep
Mrema amwomba Kikwete amfukuze Mbatia ubunge
![Augustine Mrema](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Augustine-Mrema.jpg)
Mbunge wa Vunjo (TLP), Augustine Mrema
NA MAREGESI PAUL, DODOMA
MBUNGE wa Vunjo, Augustine Mrema (TLP), amemwomba Rais Jakaya Kikwete amnyang’anye ubunge Mbunge wa Kuteuliwa, James Mbatia.
Mrema alitoa ombi hilo juzi mjini hapa, alipokuwa akizungumza katika kikao kilichowakutanisha wanachama wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) na Rais Kikwete kwa ajili ya kutafuta mwafaka wa Bunge Maalumu la Katiba.
Chanzo chetu cha habari kilichokuwa katika kikao hicho kilichofanyika Ikulu ndogo eneo la...
10 years ago
Mwananchi20 Dec
Mbatia, Mbowe vicheko, Mrema augulia maumivu