Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mrema amwomba Kikwete amfukuze Mbatia ubunge

Augustine Mrema

Mbunge wa Vunjo (TLP), Augustine Mrema

NA MAREGESI PAUL, DODOMA

MBUNGE wa Vunjo, Augustine Mrema (TLP), amemwomba Rais Jakaya Kikwete amnyang’anye ubunge Mbunge wa Kuteuliwa, James Mbatia.

Mrema alitoa ombi hilo juzi mjini hapa, alipokuwa akizungumza katika kikao kilichowakutanisha wanachama wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) na Rais Kikwete kwa ajili ya kutafuta mwafaka wa Bunge Maalumu la Katiba.

Chanzo chetu cha habari kilichokuwa katika kikao hicho kilichofanyika Ikulu ndogo eneo la...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Mrema amlilia JK amfukuze Mbatia

KATIKA hali ya kutapatapa kisiasa, Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema (TLP), amemshtaki kwa Rais Jakaya Kikwete, Mbunge wa Kuteuliwa, James Mbatia (NCCR-Mageuzi), akitaka ang’olewe ubunge. Mrema, alitoa kituko hicho juzi...

 

9 years ago

MillardAyo

Mrema hajafuta kesi ya Ubunge wa Mbatia, kingine kilichomuumiza?….(+Audio)

Baada ya kuenea kwa taarifa ya aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Vunjo Augustine Mrema (TLP) kuwa kaamua kufuta kesi ya kupinga ushindi wa Mbunge James Mbatia (NCCR-Mageuzi) huu ni wakati wako wa kumsikiliza hapa chini kwa kubonyeza Play na kuupata ukweli wote kutoka kwake. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na […]

The post Mrema hajafuta kesi ya Ubunge wa Mbatia, kingine kilichomuumiza?….(+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

TheCitizen

Mrema hits at Mbatia

NCCR-Mageuzi national chairman James Mbatia yesterday became a major topic during Tanzania Labour Party (TLP)’S National Executive Committee (NEC) meeting.

 

10 years ago

Mwananchi

Vita ya Mbatia, Mrema yaiva

Mapokezi makubwa, yanamsubiri Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia anayetarajiwa kuwasili Jimbo la Vunjo leo, kukutana na wananchi waliomuomba agombee ubunge 2015.

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Mwananchi

Vita ya Mrema, Mbatia sasa moto

Vita ya ubunge baina ya wenyeviti wawili wa vyama vya upinzani, James Mbatia na Augustine Mrema imezidi kupamba moto baada ya kushambuliana bungeni kuhusu kusigana kwenye harakati za ubunge wa Jimbo la Vunjo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mrema awatambia Ukawa, amwonya Mbatia

Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema (TLP) amedai kitendo cha yeye kubaki kwenye Bunge Maalumu la Katiba kumetumiwa vibaya na wahasimu wake wa kisiasa jimboni kwake.

 

10 years ago

Mwananchi

Mbatia, Mbowe vicheko, Mrema augulia maumivu

Matokeo kwa upande wa chama cha Mrema yamezidi kudhoofu.

 

10 years ago

Habarileo

Vunjo yageuka uwanja wa sinema ya Mbatia, Mrema

James MbatiaJIMBO la Vunjo mkoani Kilimanjaro, limegeuka ‘steji’ ya sinema ya kuwania ubunge kati ya Mbunge wa sasa, Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Agustino Mrema na mpinzani wake katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Mbunge wa kuteuliwa na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani