Mrema hajafuta kesi ya Ubunge wa Mbatia, kingine kilichomuumiza?….(+Audio)
Baada ya kuenea kwa taarifa ya aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Vunjo Augustine Mrema (TLP) kuwa kaamua kufuta kesi ya kupinga ushindi wa Mbunge James Mbatia (NCCR-Mageuzi) huu ni wakati wako wa kumsikiliza hapa chini kwa kubonyeza Play na kuupata ukweli wote kutoka kwake. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na […]
The post Mrema hajafuta kesi ya Ubunge wa Mbatia, kingine kilichomuumiza?….(+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania02 Sep
Mrema amwomba Kikwete amfukuze Mbatia ubunge
![Augustine Mrema](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Augustine-Mrema.jpg)
Mbunge wa Vunjo (TLP), Augustine Mrema
NA MAREGESI PAUL, DODOMA
MBUNGE wa Vunjo, Augustine Mrema (TLP), amemwomba Rais Jakaya Kikwete amnyang’anye ubunge Mbunge wa Kuteuliwa, James Mbatia.
Mrema alitoa ombi hilo juzi mjini hapa, alipokuwa akizungumza katika kikao kilichowakutanisha wanachama wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) na Rais Kikwete kwa ajili ya kutafuta mwafaka wa Bunge Maalumu la Katiba.
Chanzo chetu cha habari kilichokuwa katika kikao hicho kilichofanyika Ikulu ndogo eneo la...
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Sababu za Massaburi kuamua kufuta kesi ya Ubunge Ubungo…(+Audio)
Baada ya uchaguzi mkuu kufanyika Oktoba 25, 2015 kisha matokeo kutangazwa, matukio mbalimbali yaliibuka ikiwa ni pamoja na baadhi ya wagombea walioshindwa kuamua kwenda mahakamani kupinga uhalali wa matokeo. Mmoja kati ya hao alikuwa Didas Massaburi aliyekuwa mgombea ubunge Ubungo kupitia CCM akipinga ushindi wa Said Kubenea wa Chadema. Na sasa kaamua kufuta kesi hiyo, nini sababu za kufanya hivyo? majibu […]
The post Sababu za Massaburi kuamua kufuta kesi ya Ubunge Ubungo…(+Audio) appeared...
10 years ago
TheCitizen24 Apr
Mrema hits at Mbatia
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/54mXxYXIjno/default.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima02 Sep
Mrema amlilia JK amfukuze Mbatia
KATIKA hali ya kutapatapa kisiasa, Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema (TLP), amemshtaki kwa Rais Jakaya Kikwete, Mbunge wa Kuteuliwa, James Mbatia (NCCR-Mageuzi), akitaka ang’olewe ubunge. Mrema, alitoa kituko hicho juzi...
10 years ago
Mwananchi06 Sep
Vita ya Mbatia, Mrema yaiva
11 years ago
Mwananchi10 Aug
Mrema awatambia Ukawa, amwonya Mbatia
10 years ago
Mwananchi07 Feb
Vita ya Mrema, Mbatia sasa moto
10 years ago
Habarileo08 Feb
Vunjo yageuka uwanja wa sinema ya Mbatia, Mrema
JIMBO la Vunjo mkoani Kilimanjaro, limegeuka ‘steji’ ya sinema ya kuwania ubunge kati ya Mbunge wa sasa, Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Agustino Mrema na mpinzani wake katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Mbunge wa kuteuliwa na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia.