Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sababu za Massaburi kuamua kufuta kesi ya Ubunge Ubungo…(+Audio)

Baada ya uchaguzi mkuu kufanyika Oktoba 25, 2015 kisha matokeo kutangazwa, matukio mbalimbali yaliibuka ikiwa ni pamoja na baadhi ya wagombea walioshindwa kuamua kwenda mahakamani kupinga uhalali wa matokeo. Mmoja kati ya hao alikuwa Didas Massaburi aliyekuwa mgombea ubunge Ubungo kupitia CCM akipinga ushindi wa  Said Kubenea wa Chadema. Na sasa kaamua kufuta kesi hiyo, nini sababu za kufanya hivyo? majibu […]

The post Sababu za Massaburi kuamua kufuta kesi ya Ubunge Ubungo…(+Audio) appeared...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Mrema hajafuta kesi ya Ubunge wa Mbatia, kingine kilichomuumiza?….(+Audio)

Baada ya kuenea kwa taarifa ya aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Vunjo Augustine Mrema (TLP) kuwa kaamua kufuta kesi ya kupinga ushindi wa Mbunge James Mbatia (NCCR-Mageuzi) huu ni wakati wako wa kumsikiliza hapa chini kwa kubonyeza Play na kuupata ukweli wote kutoka kwake. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na […]

The post Mrema hajafuta kesi ya Ubunge wa Mbatia, kingine kilichomuumiza?….(+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mahakama kuamua kuhusu kesi ya Mubarak

Mahakama nchini Misri inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu kesi inayomkabili rais wa zamani wa nchi hiyo Hosni Mubarak

 

11 years ago

Mwananchi

Mahakama kuamua kesi ya Kinana leo

 Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, leo inatarajiwa kutoa uamuzi, dhidi pingamizi zilizowasilishwa na upande wa mlalamikiwa kwa njia ya maandishi dhidi ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.

 

11 years ago

BBCSwahili

ICC kuamua kesi dhidi ya Katanga

Mahakama ya kimataifa ya jinai ICC,itatoa hukumu dhidi ya mbabe wa vita kutoka Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo, Germain Katanga.

 

10 years ago

Habarileo

Mahakama yakataa ombi kufuta kesi ya Uamsho

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imetupilia mbali ombi la kufutwa kwa kesi ya ugaidi inayomkabili Kiongozi wa Uamsho, Farid Ahmed na wenzake 21, kwa kuwa haina mamlaka ya kufanya hivyo.

 

9 years ago

Bongo5

Mc Koba aeleza sababu za kuamua kutumia mtindo wa mchiriku na mdundiko kwenye muziki wake

koba

Aliyewahi kuwa muimbaji wa kundi la zamani la Watu Pori kutoka Morogoro, Mc Koba amesema ameamua kufanya mabadiliko kidogo katika style ya muziki wake ili kwenda sawa na matarajio ya wengi ambao hupenda kuona mabadiliko kutoka kwa wasanii ambao wako kwenye game kwa muda mrefu.

koba

Akizungumza kupitia E Newz ya EATV, Koba ametoa sababu nyingine ya kuamua kufanya aina ya muziki wenye mchanganyiko wa mdundiko na mchiriku.

“Kwanini nimeamua kufanya mtindo huu aina ya mchanganyiko wa mdundiko na...

 

9 years ago

Bongo5

Kesi ya kuamua kama Oscar Pistorius ataachiwa huru kusikilizwa leo

Bodi ya parole jijini Johannesburg, Afrika Kusini ilitarajiwa kutoa uamuzi wa kama itamwachia huru Oscar Pistorius kutoka gerezeni Jumatatu hii. Bodi hiyo ilikutana jijini Durban mwezi uliopita lakini iliahirisha kesi yake kwa wiki mbili. Katika kipindi hicho idara ya haki ilisema haikupata muda wa kumaliza kesi ya Pistorius kutokana na kuwa na mambo ya kuyapitia. […]

 

9 years ago

StarTV

TFF/ZFA Wakutana kujadili kutatua mgogoro wa kufuta kesi mahakamani.

Shirikisho la soka Tanzania (TFF) limekutana na Chama cha Soka Zanzibar (ZFA) kujadili mgogoro wa chama hicho baada ya baadhi ya wanachama kuwashtaki viongozi wa ZFA Mahakamani kwa madai ya ukiukaji wa katiba.

Kikao hicho kimefanyika Jijini Dar Es Salaam ikiwa na jitihada za TFF kutaka kutatua mgogoro huo ambapo hadi mwisho wa kikao, pande hizo zimekubaliana kufuta kesi hiyo mahakamani.

Soka la Zanzibar kwa sasa ni pasua kichwa.

Pasua kichwa hiyo inatokana Wazanzibar kupeleka soka lao katika...

 

11 years ago

Bongo5

Audio: Hutaamini ukiisikia sababu iliyomfanya Dogo Janja aache shule!

Rapper kutoka Arusha, Dogo Janja ameamua kuacha shule ili kusomea masomo ya muziki. Akiongea na 255 ya kipindi cha XXL cha Clouds FM, Janjaro amedai kuwa usumbufualiokuwa akiupata shuleni ndio sababu kubwa iliyomfanya aache shule. “Shule ambayo mimi nimesoma nilikuwa napata matatizo kwasababu kitu kidogo ambacho mnaweza mkafanya wote lakini wewe ukaonekana chanzo. ‘Msanii mhuni, […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani