Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahakama yakataa ombi kufuta kesi ya Uamsho

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imetupilia mbali ombi la kufutwa kwa kesi ya ugaidi inayomkabili Kiongozi wa Uamsho, Farid Ahmed na wenzake 21, kwa kuwa haina mamlaka ya kufanya hivyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

KESI YA UGAIDI: Mahakama ya rufaa yasikiliza rufani ya kiongozi wa Uamsho.

 Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imesikiliza Rufaa iliyofunguliwa na Wakili wa Kiongozi wa Jumuiya ya Taasisi ya Kiislam ya uamsho na Mihadhara Zanzibar, Sheikh Farid Ahmed na wenzake dhidi ya uamuzi wa mahakama kuu kuwa mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ina uwezo wa kusikiliza kesi yao.

Wakati rufaa hiyo ikiwasilishwa Mahakama ya Rufaa, Upande wa Serikali ukaandika kusudio la kutaka kukata rufaa kupinga kusikilizwa kwa kesi hiyo kwamba shauri limewasilishwa kabla ya muda.

Kwa kuwa Kesi hiyo...

 

10 years ago

BBCSwahili

ICC yakataa ombi la muasi Lubanga

Mahakama ya ICC imetupilia mbali ombio la rufaa lililowasilishwa na muasi wa zamani DRC Thomas Lubanga dhidi ya hukumu aliyopewa ya miaka 14 jela

 

9 years ago

StarTV

Serikali Yakataa Ombi la UKAWA Kutumia Uwanja wa Taifa kwa ajili ya Uzinduzi wa Kampeni Za Uchaguzi Mkuu

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) akikanusha kuhusu Chadema kutumia Uwanja wa Taifa kuzindua kampeni zake siku ya tarehe 22 Agosti, 2015 jijini Dar es Salaam. Kanusho hilo lilitolewa katika Ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) uliopo jijini Dar es Salaam.


Baadhi ya Waandishi wa Habari wakifuatilia taarifa kutoka Serikalini kuhusu Chadema kutumia Uwanja wa Taifa kuzindua kampeni zake siku ya tarehe 22 Agosti, 2015 jijini Dar es Salaam. Kanusho hilo lilitolewa katika Ukumbi wa Idara...

 

10 years ago

Mwananchi

Mahakama kuamua pingamizi la Uamsho

Hatima ya usikilizwaji wa maombi ya marejeo ya viongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), inatarajiwa kujulikana leo, wakati Mahakama Kuu Dar es Salaam itakapotoa uamuzi wa pingamizi la awali la Jamhuri dhidi ya maombi hayo.

 

10 years ago

Habarileo

Upelelezi wa kesi ya Uamsho bado

KIONGOZI wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) Shekhe Farid Hadi Ahmed (45) na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya ugaidi bado wanasota rumande kwa kwa kuwa upelelezi wa kesi bado haujakamilika.

 

10 years ago

Mwananchi

CCM yakataa kesi kura za maoni

Chama cha Mapinduzi (CCM), kimetahadharisha kuwa hakitasikiliza kesi yoyote itakayowasilishwa dhidi ya wajumbe watakaopitishwa katika kura za maoni kwenye uchaguzi mkuu ujao.

 

10 years ago

Mwananchi

Mahakama yatupa ombi la Kubenea

>Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeyakataa maombi ya kusimamisha vikao vya Bunge la Katiba vinavyoendelea mjini Dodoma.

 

10 years ago

Mwananchi

Waandishi wazuiwa kuripoti kesi ya Uamsho

Dar es Salaam. Waandishi wa habari jana walizuiwa kuripoti kesi ya ugaidi inayowakabili viongozi 23 wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

 

10 years ago

Mwananchi

Hakimu ajitoa kesi ya jumuiya ya Uamsho

Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu, Hellen Liwa amejitoa kusikiliza kesi ya ugaidi inayowakabili viongozi 23 wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani