Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KESI YA UGAIDI: Mahakama ya rufaa yasikiliza rufani ya kiongozi wa Uamsho.

 Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imesikiliza Rufaa iliyofunguliwa na Wakili wa Kiongozi wa Jumuiya ya Taasisi ya Kiislam ya uamsho na Mihadhara Zanzibar, Sheikh Farid Ahmed na wenzake dhidi ya uamuzi wa mahakama kuu kuwa mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ina uwezo wa kusikiliza kesi yao.

Wakati rufaa hiyo ikiwasilishwa Mahakama ya Rufaa, Upande wa Serikali ukaandika kusudio la kutaka kukata rufaa kupinga kusikilizwa kwa kesi hiyo kwamba shauri limewasilishwa kabla ya muda.

Kwa kuwa Kesi hiyo...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kiongozi wa Uamsho kortini kesi ya ugaidi

 Kiongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), Sheikh Mselem Ali Mselem na mwenzake Abdallah Said Ali wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka matatu likiwamo la kula njama ya kuingiza watu nchini kushiriki vitendo vya ugaidi.

 

11 years ago

Habarileo

Kiongozi wa Uamsho aunganishwa kesi ugaidi

KIONGOZI wa Jumuiya ya Uamsho Zanzibar, Shekhe Farid Hadi Ahmed (45) ameunganishwa na washitakiwa 19 wa kesi ya kujihusisha na vitendo vya kigaidi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

 

11 years ago

Habarileo

Kiongozi wa Uamsho aunganishwa na washtakiwa 19 kesi ugaidi

Shekhe Farid Hadi AhmedKIONGOZI wa Jumuiya ya Uamsho Zanzibar, Shekhe Farid Hadi Ahmed (45) ameunganishwa na washitakiwa 19 wa kesi ya kujihusisha na vitendo vya kigaidi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

 

10 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU(AfCHPR) YASIKILIZA KESI YA WATUHUMIWA 10 WA UJAMBAZI MOSHI

Majaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (AfCHPR) wakiingia Mahakamani kusikiliza kesi ujambazi iliyofunguliwa dhidi ya watuhumiwa 10 raia wa Kenya walioufanya mwaka 2006 mkoani Kilimanjaro. Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (AfCHPR), Jaji Augustino Ramadhani akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jijini Arusha na kutoa wito kwa nchi zaidi kutoa tamko kwa Mahakama hiyo ili wananchi na asasi za kiraia kuitumia Mahakama hiyo, nchi saba pekee ikiwemo Tanzania...

 

10 years ago

Mwananchi

Hatima ya ugaidi kesi ya Uamsho wiki ijayo

Jaji Fauz Twaib wa Mahakama Kuu wiki ijayo atatoa uamuzi wa maombi ya kufutiwa mashtaka ya ugaidi yanayowakabili viongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki).

 

10 years ago

Habarileo

Mahakama yakataa ombi kufuta kesi ya Uamsho

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imetupilia mbali ombi la kufutwa kwa kesi ya ugaidi inayomkabili Kiongozi wa Uamsho, Farid Ahmed na wenzake 21, kwa kuwa haina mamlaka ya kufanya hivyo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Zitto Kabwe: Mahakama yamkuta na kesi ya kujibu kiongozi wa ACT-Wazalendo

Zitto anakabiliwa na mashtaka matatu ya uchochezi anayodaiwa kuyatenda Oktoba 2018.

 

10 years ago

Michuzi

JK aapisha jaji mmoja wa mahakama ya rufani na 13 wa mahakama kuu Ikulu jijini Dar es salaam

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Waziri wa Sheria na Katiba Dkt Asha-Rose Migiro, Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Kiongozi Mhe Shaaban Ally Lilla na Katibu Mkuu kiongozi katika picha ya pamoja na Majaji wa Mahakama Kuu 13 na Jaji wa Mahakama ya Rufaa mmoja aliowaapisha Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 5, 2015.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete ateua wasajili wapya Bi. Katarina Revocati Mahakama ya Rufani na Rugalema Kahyoza Mahakama kuu

Ikulu-tz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bi. Katarina Tengia Revocati kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani kuanzia tarehe 5 Desemba, 2014.  Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Desemba 11, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue, imesema kabla ya uteuzi huo, Bi. Revocati alikuwa Msajili wa Mahakama Kuu, Divisheni ya Biashara.

Vilevile katika Taarifa hiyo, Rais Kikwete pia amemteua Bwana Rugalema J. Kahyoza kuwa Msajili wa Mahakama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani