Mido amjia juu Waziri Misri
Kocha wa Zamalek, Ahmed Mido Hossam amesema amefurahishwa na ushindi wa bao 1-0 walioupata dhidi ya Kabuscorp of Angola ingawa hajafurahishwa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi hiyo kwa sababu imezuia mashabiki wa soka nchini Misri kuhudhuria kwenye mechi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo10 Nov
RC amjia juu mkandarasi ‘mzembe’
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe, amemjia juu mkandarasi wa kampuni ya ujenzi wa barabara ya Ruaha - Sali, wilayani Ulanga kwa kushindwa kukamilisha ujenzi licha ya kuongezewa muda.
10 years ago
Mwananchi21 May
Mbunge amjia juu DC sakata la wanawake wa Rombo
10 years ago
Habarileo05 Mar
Zitto amjia juu Ngeleja kwa kumtaja
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto amemjia juu Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja kwa kumtaja juzi mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma wakati akijitetea, kuwa Zitto alipewa fedha na kampuni ya PAP na NSSF.
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/72445000/jpg/_72445584_98606389.jpg)
Mido named as new Zamalek coach
9 years ago
BBC![](http://c.files.bbci.co.uk/14011/production/_87473918_pa-8428896.jpg)
Discipline key for Mido at Zamalek
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/76623000/jpg/_76623146_pa-8428896.jpg)
Zamalek end the reign of coach Mido
10 years ago
GPLWAZIRI WA AFYA APOKEA VIFAA VYA TIBA KUTOKA MISRI
11 years ago
Mwananchi11 Jul
Waziri Benard Membe aitetea Misri maji ya Mto Nile
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-vO6oZPVho38/XlUJFWW1ouI/AAAAAAALfQg/unM8Ul44Zcg22S3NRe44bN1mp7qOQIBxgCLcBGAsYHQ/s72-c/4-38.jpg)
Waziri Mwakyembe Apokea Ujumbe wa Wadau wa Michezo toka Nchini Misri
![](https://1.bp.blogspot.com/-vO6oZPVho38/XlUJFWW1ouI/AAAAAAALfQg/unM8Ul44Zcg22S3NRe44bN1mp7qOQIBxgCLcBGAsYHQ/s640/4-38.jpg)
Kiongozi wa ujumbe toka nchini Misri akifafanua jambo kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) wakati ujumbe huoulipomtembelea Waziri Mwakyembe katika ofisi ndogo jijini Dar es Salaam mapema hii leo na kujadiliana masuala mbalimbali ya maendeleo ya sekta ya michezo ikiwemo la ujenzi wa eneo changamani la michezo.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/5-30.jpg)
Balozi wa Misri nchini, Mhe. Gaber Mohamed Abulwafa akifafanua jambo kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison...