Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ngeleja: Zitto Aliomba na Kupewa Milioni 30 Kutoka kwa Rugemarila

Mh. Ngeleja akiwa anahojiwa na baraza la maadili amesema Mh. Zitto Kabwe alipokea shilingi milioni 30. Akaongeza kuwa kama wanahojiwa waliopokea fedha na Mh. Zitto aitwe kuhojiwa na baraza hilo.Pamoja na kutaja wafanyabiashara na mashirika yaliyowahi kumsaidia, Ngeleja aliwasilisha vielelezo vya misaada hiyo.
Pia ,aliwasilisha kielelezo cha tuhuma zilizowasilishwa bungeni na Kambi ya Upinzani na mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde dhidi ya Zitto kuwa alipokea zaidi ya Sh milioni 30 kutoka...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Zitto amjia juu Ngeleja kwa kumtaja

Zitto Kabwe.MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto amemjia juu Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja kwa kumtaja juzi mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma wakati akijitetea, kuwa Zitto alipewa fedha na kampuni ya PAP na NSSF.

 

10 years ago

Mtanzania

Zitto: Ngeleja anatapatapa

ngelejaFredy Azzah na Patricia Kimelemeta
SIKU moja baada ya Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja (CCM), kumtumia Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe katika utetezi wake mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, kiongozi huyo amesema mtuhumiwa huyo anatapatapa.
Kauli hiyo ya Zitto imekuja siku moja baada ya kutoa maelezo yake mbele ya baraza kama njia ya kujinasua kwenye kashfa ya kunufaika na mgawo wa Sh milioni 40 kutoka kwenye Akaunti ya Tegeta...

 

10 years ago

Mtanzania

Ngeleja amtumia Zitto kujitetea Escrow

willium NgelejaNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
MBUNGE wa Sengerema, William Ngeleja (CCM), ameishangaa hatua ya Baraza la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kumtaka ajibu mashtaka ya kukiuka maadili ya umma.
Ngeleja pia aliishangaa sekretarieti hiyo kwa kile alichosema ‘limemuacha Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema)’ aliyedaiwa kufanya kosa linalofanana na lake kwa kupewa zaidi ya Sh milioni 30 kutoka Kampuni ya Pan African Solution Ltd (PAP).
Alitoa shutuma hizo Dar es Salaam jana...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Ngeleja amlipua Zitto Kabwe Barazani




NA MARIAM MZIWANDA.MBUNGE wa Sengerema, William Ngeleja, amemgeuzia kibao Zitto Kabwe kuwa ni mmoja kati ya watu walionufaika na fedha za Akaunti ya Tegeta Escrow.
Ngeleja, amemtaja Kabwe (Mbunge wa Kigoma Kaskazini), kuwa amejipatia zaidi ya sh. milioni 30 na hakuna mamlaka, likiwemo Bunge zilizochukua hatua dhidi yake.
Aliyasema hayo jana wakati akitoa utetezi wake mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, ambapo alikiri kupata fedha kiasi cha sh. milioni 40 kutoka kwa Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

TheCitizen

I am open for probe, Zitto declares after Ngeleja jibe

Parliamentary Public Accounts Committee (PAC) chairman Zitto Kabwe has called on relevant authorities to carry out a thorough investigation on allegations levelled against him by Mr William Ngeleja, Sengerema MP (CCM) when he appeared before Public Leaders Ethics Tribunal on Tuesday.

 

10 years ago

Mwananchi

Ngeleja awatumia Zitto, Mengi, Manji kujitetea

>Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja jana alimtaja Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe na baadhi ya matajiri wanaowafadhili wabunge nchini, kama sehemu ya utetezi wake mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma.

 

10 years ago

Mwananchi

Watoto milioni 21 kupewa chanjo ya surua

Zaidi ya nusu ya wananchi kesho wanatarajiwa kuanza kupatiwa chanjo ya surua na rubella katika vituo vyote vya afya nchini.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watoto milioni moja kupewa chanjo Mara

ZAIDI ya watoto milioni 1.8 wanatarajiwa kupatiwa chanjo, ikiwemo ya surua na rubella, matone ya vitamini A na dawa za minyoo katika Mkoa wa Mara katika kampeni iliyoanza Oktoba 18...

 

9 years ago

Bongo5

Wasanii wa Tanzania watakaotaka kufanya show Mombasa wanatakiwa kulipa Tsh Milioni 4 ili kupewa kibali

Gazeti la The Star la Kenya limeripoti kuwa wasanii kutoka nje ya Mombasa watakaoenda kufanya maonesho mjini humo, watalazimika kulipa kiasi kikubwa cha pesa ili kupewa kibali. Gazeti hilo limemnukuu Gavana wa Mombasa akisema kuwa , wasanii kutoka mikoa mingine nje ya Mombasa ikiwa ni pamoja na wale wa Nairobi , watalazimika kulipa shilingi ya […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani