Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasanii wa Tanzania watakaotaka kufanya show Mombasa wanatakiwa kulipa Tsh Milioni 4 ili kupewa kibali

Gazeti la The Star la Kenya limeripoti kuwa wasanii kutoka nje ya Mombasa watakaoenda kufanya maonesho mjini humo, watalazimika kulipa kiasi kikubwa cha pesa ili kupewa kibali. Gazeti hilo limemnukuu Gavana wa Mombasa akisema kuwa , wasanii kutoka mikoa mingine nje ya Mombasa ikiwa ni pamoja na wale wa Nairobi , watalazimika kulipa shilingi ya […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MBUNGE FILIKUNJOME ATIMIZA PIA AHADI YA UJENZI WA DARAJA MTO KITEWAKA KWA TSH MILIONI 248, ASAIDIA VIFAA VYA UJENZI KWA TSH MILIONI 248

 Mbunge  Filikunjombe akilitazama daraja la mbao la mto Kitewaka ambalo litajengwa  kisasa 
 Wannchi  wa  kijiji  cha Maholong'wa  wakimpongeza  mbunge  Filikunjombe kwa kutimiza ahadi yake…

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND AKANUSHA KUPEWA MILIONI 500 NA LOWASSA ILI AMPIGIE KAMPENI....ASEMA TAARIFA HIZO ZINALENGO LA KUMCHAFUA LOWASSA

Meneja wa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nasib Abdul ‘Diamond’, Babu Tale, amesema hawajawahi kupewa kiasi cha fedha Sh mil 500 na Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, ili wampigie kampeni za urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).Akizungumza na Mpekuzi, Babu Tale alisema watakuwa wehu kukataa fedha nyingi kiasi hicho wakati wenyewe wanafanya muziki ili kupata fedha, lakini ukweli ni kwamba hawajapewa kitu chochote.
Alisema hata hivyo Diamond yupo tayari kumfanyia kampeni mgombea yeyote...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya simu ya Tigo Tanzania yatoa TSH. Milioni 200 kudhamini Kilimanjaro Marathon 2016!

 Meneja Mawasiliano wa  Kampuni ya Tigo, John Wanyancha akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani), katika hafla ya kuzindua msimu mpya wa mbio za Kilimanjaro Marathon 2016. Tigo wametoa zaidi ya shilingi milioni 200 kwa ajili ya mbio hizo.  Mkurugenzi Msaidizi wa Michezo Wizara ya Habari Vijana, Utamaduni na Michezo, Alex Nkenyenge (wa tatu kulia), pamoja na wadhamini wa Kilimanjaro Marathon 2016, wakifyatua fataki za karatasi ikiwa ni ishara ya kuzindua maandalizi ya mbio hizo Dar...

 

9 years ago

Bongo5

Navy Kenzo watumia 80% ya malipo ya show kufanya maandalizi ya show hiyo

Ili msanii afanikiwe anahitajika awe mwepesi katika kuwekeza katika kazi zake ili kujiongezea thamani ya kazi yake. Wapo wasanii wengi ambao wanajinyima kufanya starehe na mambo mengine ya kimaisha ili wawekeze katika kazi pesa wanazopata kwenye shows pamoja na vipato vingine. Nahreel amesema kuwa yeye na Aika wanaounda Navy Kenzo walitumia asilimia 80 ya pesa […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Wafanyakazi wa Hospitali ya Centenary ya mjini Canberra wameonyesha nia ya kufanya kazi Tanzania ili kumuunga mkono Mama Salma Kikwete

IMGL0066

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa kijeshi wa Fairbairn mjini Canberra katika siku ya mwanzo ya ziara yake rasmi ya siku nne ya Kiserikali nchini Australia.(Picha na IKULU).

Na Mwandishi wetu – Canberra, Australia

Wafanyakazi wa Hospitali ya wanawake na watoto ya Centenary ya  mjini Canberra wameonyesha nia ya kufanya kazi nchini Tanzania ili kumuunga mkono Mke wa Rais Mhe. Mama Salma Kikwete katika juhudi zake za kupunguza vifo vya kina...

 

10 years ago

Bongo5

AY atoa funzo kwa wasanii wenye malengo ya kufanya collabo na wasanii wa nje

Wewe ni msanii mwenye mawazo ya kuja kufanya collabo na wasanii wa nje ya Tanzania? AY ametoa elimu ndogo kupitia uzoefu wake, wa nini cha kufanya ili collabo yako iwe na maana na ikuletee matunda. “Cha kwanza watu wajue lazima uje na style yako usikae kama wanna be” AY a.k.a ‘mzee wa Zigo’ ameiambia 255 […]

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI LUVUYO NA MBUNGE WAJENGA BARABARA YENYE THAMANI YA TSH MILIONI 52

Wananchi wa  kijiji  cha Luvuyo kata ya Madope  wakimpokea  mbunge wao Deo Filikunjombe kwa maandamano Wanachama  wa  chama  cha mapinduzi (CCM)   pamoja na  wananchi wa  kijiji cha Luvuyo kata ya Madope  wakishirikiana jana na mbunge  wao Deo Filikunjombe  (kushoto) kuchimba mifereji ya  maji katika barabara ya Luvuyo - Njombe  yenye urefu wa Kilomita 6 ambayo inajengwa kwa  ufadhili wa mbunge huyo kwa kiasi cha zaidi ya Tsh milioni 50Wananchi wa  Luvuyo wakimsikiliza  mbunge  wao Deo...

 

5 years ago

Michuzi

Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation yakabidhi vifaa vyenye thamani ya shilingi milioni 300 kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ili kupambana na ugonjwa wa Covid-19


 Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi (kulia) akipunga  mkono kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi (haonekani pichani) wakati akikabidhi kiasi cha shilingi milioni 300 kwa serikali ya Mapinduzi Zanzibar zilizotolewa na kampuni ya Vodacom leo ili kupambana na kudhibiti ongezeko la virusi vya Corona visiwani humo, ambapo walifanya makabidhiano kwa njia ya mtandao. Pembeni ni Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani