Selasini ajipalia makaa sakata la wanawake Rombo
>Mbunge wa Rombo, Joseph Selasinim amejipalia makaa kwa kukanusha taarifa za wanaume wa jimbo hilo kupoteza nguvu za kufanya tendo la ndoa kutokana na ulevi. Pia kauli ya kumtaka Waziri Mkuu, Mizengo Pinda atumie nafasi yake kuhalalisha biashara ya pombe haramu ya gongo kwa madai kuwa inawaingizia kipato watu wa hali ya chini imelaaniwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima18 Sep
Shibuda ajipalia makaa
KAULI ya Mbunge wa Maswa Mashariki, John Shibuda (CHADEMA), kwamba amekipa talaka chama hicho akikitaka kitafute wagombea wengine majimbo ya Maswa Mashariki na Magharibi, imeendelea kumponza. Safari hii, Mwenyekiti wa...
10 years ago
Tanzania Daima04 Nov
Makonda ajipalia makaa
SIKU moja baada ya Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Paul Makonda kuongoza genge la wahuni kuvuruga mdahalo wa katiba...
10 years ago
Habarileo12 Apr
Askofu Gwajima ajipalia makaa
HATUA ya mawakili wa Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, kutengeneza ubishi wa kisheria katika agizo la Polisi la kuwasilisha nyaraka za mali za Askofu huyo, imeelezwa kuwa ni ukaidi ambao hautamsaidia kisheria.
10 years ago
Mtanzania22 May
Sakata la wanawake Rombo laibukia bungeni
Na Debora Sanja, Dodoma
SIKU chache baada ya kuripotiwa kwa taarifa za wanawake wa Wilaya ya Rombo kulazimika kukodi wanaume kutoka nchini Kenya baada ya waume wao kuzidiwa kwa ulevi, hatimaye sakata hilo limechukua sura mpya kwa kuibukia bungeni.
Akihoji hatua hiyo jana, Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini (Chadema), alimtaka Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, awaombe radhi wananchi wa Wilaya ya Rombo kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya hiyo, Lembles Kipuyo.
Selasini alidai Kipuyo ndiye aliyesema kwamba...
10 years ago
Mwananchi21 May
Mbunge amjia juu DC sakata la wanawake wa Rombo
10 years ago
VijimamboStory ya wanawake wa Rombo kukodi wanaume Kenya kuwaridhisha kimapenzi yatinga bungeni, wanaume wataka waombwe radhi
Habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Mwananchi juzi yenye kichwa cha habari ‘Wanawake wa Rombo wakodi wanaume kutoka Kenya’ imeibukia bungeni leo.Habari hiyo iliandikwa kutokana na kauli aliyoitoa mkuu wa wilaya ya Rombo, Lembris Kipuyo, aliyedai kuwa kutokana na wanaume wa wilaya hiyo kuwa walevi wa kutupa, wake zao wamekuwa wakikodi wanaume kutoka Kenya ili kuwaridhisha kimapenzi.
“Tatizo la ulevi wilayani Rombo na matumizi ya pombe zisizokuwa na viwango ni kubwa sana na linahitaji nguvu...
10 years ago
VijimamboUkweli wa Sakata Zima la Richmond Na Jinsi Lowassa Alivyohusishwa na Sakata Hilo
Kwa mara ya kwanza Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowassa amefunguka na kueleza ukweli halisi wa sakata zima la Richmond lililomfanya achukue uamuzi wa kujiuzulu wadhifa wake wa uwaziri mwaka 2008.Katika maojiano maalumu na Mpekuzi,Lowassa amewaka wazi kuwa anapata shida kujua kama tupo makini kusimamia ipasavyo mambo yanayohusu maisha yetu,kwani masihara ya kisiasa yaliyoratibiwa na baadhi ya wabunge ndiyo yaliyosababisha serikali ...
11 years ago
Mwananchi08 Feb
CCM wavuruga kijijini kwa Mbunge Selasini
10 years ago
Habarileo11 Jun
Selasini ataka mgogoro wa ardhi ufikishwe Takukuru
BAADHI ya wabunge wa Mkoa wa Kilimanjaro wamemtaka Mkaguzi na Mdhibiti wa Fedha za Umma (CAG) na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kumchunguza mkuu wa mkoa huo, Leonidas Gama kuhusu tuhuma za kumiliki ardhi kwa njia za kifisadi wilayani Rombo.