Askofu Gwajima ajipalia makaa
HATUA ya mawakili wa Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, kutengeneza ubishi wa kisheria katika agizo la Polisi la kuwasilisha nyaraka za mali za Askofu huyo, imeelezwa kuwa ni ukaidi ambao hautamsaidia kisheria.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima18 Sep
Shibuda ajipalia makaa
KAULI ya Mbunge wa Maswa Mashariki, John Shibuda (CHADEMA), kwamba amekipa talaka chama hicho akikitaka kitafute wagombea wengine majimbo ya Maswa Mashariki na Magharibi, imeendelea kumponza. Safari hii, Mwenyekiti wa...
10 years ago
Tanzania Daima04 Nov
Makonda ajipalia makaa
SIKU moja baada ya Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Paul Makonda kuongoza genge la wahuni kuvuruga mdahalo wa katiba...
10 years ago
Mwananchi23 May
Selasini ajipalia makaa sakata la wanawake Rombo
10 years ago
Mtanzania31 Mar
Sura mbili za Askofu Gwajima
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
SIKU chache baada ya Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kukamatwa na kuhojiwa na polisi na hatimaye kuzimia, utata mpya umeibuka juu ya kiongozi huyo wa kiroho.
Utata huo unahusu uraia, historia yake, utajiri na umiliki wa silaha ambayo Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linadai haina kibali huku yeye akidai ana vibali vyote.
Hali hiyo imeibuka huku nyuma ya pazia kukiwa na sintofahamu juu ya hatima yake.
Ingawa Askofu Gwajima,...
10 years ago
Habarileo27 Mar
Polisi wamsaka Askofu Gwajima
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam wamefungua jalada la uchunguzi dhidi ya tuhuma za Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima za tuhuma za kumkashifu Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam la Kanisa Katoliki, Mwadhamana Polycarp Kardinali Pengo.
10 years ago
Mtanzania03 Apr
Askofu Gwajima taabani polisi
NA ASIFIWE GEORGE, DAR ES SALAAM
HALI ya afya ya Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, imebadilika ghafla baada ya kushindwa kupanda ngazi katika ofisi za Kituo Kikuu cha Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam jana.
Askofu Gwajima alifika kituoni hapo saa 2 asubuhi akiwa ameongozana na maaskofu zaidi ya watano.
Katika hali ya kushangaza, wakati akipanda ngazi kuelekea kwa Mkuu wa Upelelezi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, alifanikiwa kupanda mbili, lakini alipojaribu ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Z-JJSpQIZ68nflh*yi*KOkfEZovvvUmYktR6Vd4*dRitkb*zQqvHoae7HYp4Iq2Xfu5inz5-F4V6UVwhCnPnOaBlWRT20H-9/Gwajima.jpg?width=650)
KILICHOMPONZA ASKOFU GWAJIMA CHAJULIKANA
10 years ago
Mwananchi30 Mar
Kardinali Pengo amjibu Askofu Gwajima
10 years ago
Mtanzania30 Mar
Askofu Gwajima ataka kutoroshwa Kimafia
Na Waandishi Wetu,Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linawashikilia wafuasi 15 wa Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa tuhuma za kutaka kumtorosha Askofu Mkuu wa kanisa hilo, Josephat Gwajima.
Gwajima ambaye amelazwa katika Hospitali ya TMJ, Mikocheni Dar es Salaam, baada ya kupata mshituko wakati akihojiwa na makachero wa Jeshi la Polisi katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam.
Taarifa iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu...