Polisi wamsaka Askofu Gwajima
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam wamefungua jalada la uchunguzi dhidi ya tuhuma za Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima za tuhuma za kumkashifu Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam la Kanisa Katoliki, Mwadhamana Polycarp Kardinali Pengo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania03 Apr
Askofu Gwajima taabani polisi
NA ASIFIWE GEORGE, DAR ES SALAAM
HALI ya afya ya Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, imebadilika ghafla baada ya kushindwa kupanda ngazi katika ofisi za Kituo Kikuu cha Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam jana.
Askofu Gwajima alifika kituoni hapo saa 2 asubuhi akiwa ameongozana na maaskofu zaidi ya watano.
Katika hali ya kushangaza, wakati akipanda ngazi kuelekea kwa Mkuu wa Upelelezi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, alifanikiwa kupanda mbili, lakini alipojaribu ya...
9 years ago
Habarileo04 Sep
Tanesco yamshtaki Askofu Gwajima Polisi
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limeishtaki polisi Kanisa la Ufufuo na Uzima, linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima kutokana na kuharibu miundombinu ya umeme katika maeneo ya shirika hilo Jumamosi iliyopita na kusababisha umeme kukatika kwa baadhi ya mikoa na Jiji la Dar es Salaam.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar05 Sep
Tenesco yamshtaki Askofu Gwajima Polisi
Askofu Josephat Gwajima Imeandikwa na Theopista Nsanzugwanko Imechapishwa: 04 Septemba 2015 Askofu Josephat Gwajima SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limelishtaki Polisi Kanisa la Ufufuo na Uzima, linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima kutokana na kuharibu miundombinu ya […]
The post Tenesco yamshtaki Askofu Gwajima Polisi appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
GPLASKOFU GWAJIMA ATOLEWA POLISI KWA DHAMANA
10 years ago
MichuziASKOFU JOSEPHAT GWAJIMA AJISALIMISHA POLISI KWA MKUU WA UPELELEZI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM
Askofu Gwajima alifika kituo kikuu cha Polisi saa nane na dakika kumi na tano mchana wa tarehe 27/03/2015. Mara baada ya kufika kituoni hapo alielekezwa kwenda kumuona Mkuu wa Upelelezi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Constantine Masawe ambaye alikuwa akisubiri kufika...
10 years ago
Dewji Blog17 Apr
Breaking News! Askofu Gwajima ‘alidindia’ jeshi la Polisi waliomfuata na ving’ora, ajipeleka mwenyewe
Baadhi ya Maaskofu wa Kanisa la Gwajima na maaskofu rafiki wa makanisa ya Pentekoste wakiongea na Gwajima (Hayupo pichani) ambaye alikuwa akiwapa maelekezo kabla ya kuondoka kwenda kuhojiwa jeshi la Polisi mchana wa leo.
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima mapema leo ameibua hofu kubwa kwa majirani na waumini wake waliokuwa wametanda nje ya nyumba yake baada ya Jeshi la Polisi kuvamia kwake kwa lengo la kumchukua kwenda Polisi Central...
10 years ago
VijimamboWATU 15 WAKAMATWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KULA NJAMA NA KUJARIBU KUMTOROSHA ASKOFU GWAJIMA AKIWA HOSPITALINI
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia na kuwahoji watu 15 ambao wanatuhumiwa kwa makosa ya kula njama pamoja na kujaribu kumtorosha Askofu Josephat Mathias Gwajima ambaye amelazwa katika Hospitali ya TMJ kwa matibabu
Mnamo tarehe 29/03/2015 majira ya saa tisa na dakika thelathini usiku watu hao 15 katika hali isiyo ya kawaida walifika hospitalini hapo wakidai kwamba walikuwa wanataka kwenda kumuona mgonjwa huyo. Askari ambao wapo katika lindo hilo waliwatilia mashaka...
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: ASKOFU GWAJIMA ATAKIWA KUHOJIWA NA JESHI LA POLISI KUHUSU TUHUMA ZA KASHFA NA MATUSI DHIDI YA KALDINARI PENGO
"Tumepokea malalamiko ya kukashifiwa na kutukanwa hadharani Mwadhama Kaldinari Polycarp Pengo ambaye ni kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania. Kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kama vile WhatsApp na mingineyo kuna sauti...
10 years ago
Dewji Blog17 Apr
Breaking News! Askofu Gwajima ‘aidindia’ jeshi la Polisi waliomfuata kumchukua nyumbani kwake SalaSala, ajisalimisha na Wakili wake muda huu kwa Kamanda Kova
Baadhi ya Maaskofu wa Kanisa la Gwajima na maaskofu rafiki wa makanisa ya Pentekoste wakiongea na Gwajima (Hayupo pichani) ambaye alikuwa akiwapa maelekezo kabla ya kuondoka kwenda kuhojiwa jeshi la Polisi mchana wa leo.
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima mapema leo ameibua hofu kubwa kwa majirani na waumini wake waliokuwa wametanda nje ya nyumba yake baada ya Jeshi la Polisi kuvamia kwake kwa lengo la kumchukua kwenda Polisi Centro...