Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM wavuruga kijijini kwa Mbunge Selasini

Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Wilaya ya Rombo, kimeitikisa ngome ya Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini (NCCR-Mageuzi), baada ya zaidi ya wananchi 140 katika Kijiji cha Makiidi, ambako ndiko nyumbani kwa mbunge huyo kujiunga na chama hicho.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Maswali kumi kwa Mbunge wangu:Joseph Selasini

Uliahidi kuwa ungehakikisha soko la Holili linakamilika

 

10 years ago

Habarileo

Wasaka urais CCM wavuruga wabunge

Spika wa Bunge, Anna Makinda.WAKATI wasaka urais wa CCM wakizunguka nchi nzima kutafuta wadhamini ili watimize masharti ya kutimiza ndoto zao, vita ya wasaka majimbo imepamba moto kiasi cha kukimbiza wabunge na mawaziri karibu wote katika vikao vya Bunge vinavyoendelea Dodoma.

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE WA CHALINZE RIDHIWANI KIKWETE AKARIBISHWA RASMI NA WAZEE WA KIJIJINI MSOGA KWA SHEREHE ZA JADI

Na John Gagarini, Chalinze MBUNGE wa Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo mkoani Pwani Ridhiwani Kikwete Ijumaa alifanyiwa sherehe za kijadi za kabila la Kikwere kijijini kwao Msoga, kwa mujibu wa mila za hapo.Sherehe hizo,  ambazo ziliendana na kukabidhiwa vitu mbalimbali vya kijadi kwa ajili ya matumizi ya nyumbani, ni jadi ya Wakwere ambapo mtu baada ya kupata uongozi hutambikiwa na kukaribishwa rasmi kwenye kundi la wazee wa kijiji. Baadhi ya vitu alivyoakabidhiwa na mzee wa kabila hilo...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE MBATIA AJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA WAPIGA KURA KIJIJINI KWAO KWAMARE JIMBONI VUNJO

Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI Mhe. James  Mbatia akitia saini katika kifaa kimoja wapo kwa ajili ya kuweka kumbukumbu wakati wa kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura  katika kijiji cha Kwamare kata ya Kirua Vunjo Magharibi Jimbo la Vunjo.Mh Mbatia akiweka vidole gumba kwa ajili ya kuchukuliwa alama.Afisa uandikisha akimkabidhi Mh Mbatia kitambulisho chake mara baada ya kumaliza zoezi la uandikishaji.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOA WA ARUSHA LATOA ONYO KWA WAVURUGA AMANI PAMOJA NA MADEREVA WALEVI NA WASIOZINGATIA SHERIA

Na.Vero Ignatus,Arusha.
Jeshi la polisi mkoani Arusha limetoa onyo kwa watu wachache wanaopenda kuvuruga amani katika kipindi cha sikukuu na kuwataka waache mara moja kuwa na fikra hizo kwani watachukuliwa hatua za kisheria.
Akizungumza Kamanda wa polisi mkoani hapa Jonathan Shana amesema kuwa kwa upande wa madereva wa vyombo vya usafiri ni marufuku kuendesha vyombo hivyo wakiwa wamelewa ,mwendokasi pamoja na kujaza abiria kupita kiasi kwani hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yaoAidha...

 

9 years ago

Mwananchi

Mbunge CCM amjibu Magufuli kwa vitendo

Aliyekuwa mbunge wa Sikonge (CCM), Said Nkumba jana aliwajibu kwa vitendo viongozi wa chama hicho, wakiongozwa na mgombea urais wake, Dk John Magufuli ambao walimtuhumu kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika hapa kwamba amekihama tena chama hicho na kujiunga na ACT – Wazalendo.

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE MWINGINE WA JIMBO LA OLE KWA TIKETI YA CUF AOMBA KUJIUNGA NA CCM


Akiwa katika Mkutano Mkuu wa CCM wa Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba Zanzibar Ndugu Humphrey Polepole amepokea maombi aya kujiunga na CCM ya Mbunge mwingine wa CUF Ndugu Juma Hamad Omari Mbunge wa Jimbo la Ole.

 

10 years ago

Vijimambo

Salamu za Mbunge wa Nzega -CCM Dr. Hamisi Kigwangalla kwa Watanzania , Mwaka Mpya 2015


 Mbunge wa Nzega -CCM Dr Hamisi Kigwangalla-Ni Mwaka Mpya Tena! Dr. Hamisi Kigwangalla, MB.Ndugu Watanzania wenzangu,Kwa heshima na taadhima na kwa moyo wa kiutumishi, najisikia furaha kuwatumia salamu za Mwaka mpya 2015. Kwa hakika Mungu amekuwa mwema sana kwangu na kwako mwaka 2014 kwa namna nyingi mbalimbali, ila kwa kiasi kikubwa kwa kutujalia zawadi ya uhai, mafanikio kwenye kazi zetu, uvumilivu tulipoanguka, nguvu tulipokutana na changamoto mbalimbali, na uwezo wa kupambana nazo...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI NI ZAWADI KUTOKA KWA MUNGU AMBAYO TUMEPEWA WATANZANIA-MBUNGE CCM

Na Said Mwishehe,Michuzi TV

MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Amina Mollel (CCM) amelieleza Bunge kuwa Rais Dkt.John Magufuli ni zawadi tuliyopewa na Mungu, hivyo kikubwa ni kuendelea kumuombea awe na maisha marefu zaidi.

Mollel amesema hayo wakati wa vikao vya Bunge vinavyoendelea Bungeni Mjini Dodoma ambapo wabunge walipata nafasi ya kujadili maazimio mawili, Azimio la kwanza ni kumpongeza Rais Magufuli na azimio la pili ni kumpongeza Spika wa Bunge Job Ndugai.

Akieleza zaidi mbele ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani