Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ALIYEKUWA KATIBU WA MBUNGE WILAYA YA ROMBO AJIUNGA NA CCM

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Aliyekuwa Mbunge wa viti maalum CCM Lindi ajiunga na CUF

Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akimpokea Mbunge wa CCM, Riziki Rurida aliyekihama chama hicho na kujiunga na CUF. Kulia ni Mbunge wa Lindi Mjini, Salum Barwan.
Na Khamis Haji OMKR

Mbunge wa Viti Maalum wa Chama cha Mapinduzi kutoka mkoa wa Lindi, Riziki Said Rurida amekihama chama hicho na kuhamia Chama cha Wananchi CUF.

Rurida alitangaza kukihama chama hicho na kukabidhiwa kadi ya CUF na Katibu Mkuu wa chama hicho, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad katika mkutano wa hadhara wa CUF...

 

10 years ago

Vijimambo

Aliyekuwa mbunge wa viti maalum kwa tiketi ya CUF ajiunga na ACT wazalendo

Aliyekuwa Mbunge wa viti maalum Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Amina Abdallah Amour amekihama chama chake cha CUF na kujiunga rasmi na chama cha AcCT Wazalendo mjini Zanzibar ambapo tayari amepewa kadi ya uanachama wa ACT leo hii

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NDANI YA JIMBO LA ROMBO

  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo ya namna uzalishaji unavyofanyika kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya kutengeneza vinywaji ya Bellaview Fresh Fruits Processing Industry Ndugu Shanel John Ngowi.Kulia ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.   Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kuvuta waya wa umeme kwenye mradi wa umeme vijijini katika kijiji cha Kirongo Samanga ikiwa sehemu ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2010.

 

10 years ago

Dewji Blog

Msaidizi wa Naibu Katibu Mkuu CCM Bara ajiunga Chadema

msunga

Bw. Jumanne Juma Msunga.

Na Hillary Shoo, SINGIDA

MSAIDIZI  wa Naibu Katibu Mkuu wa (CCM) Bara, Jumanne Juma Msunga ametangaza rasmi kuhama  CCM na kujiunga na CHADEMA, kwa madai kuwa CCM ni chama cha kudhulumu haki za wanachama wake.

Akitangaza uamuzi wake huo jana mbele ya waandishi wa habari kwenye ofisi za CHADEMA  Mkoani Singida, Msunga alisema ameamua kujinga na CHADEMA,huku akidai kuwa CCM haikutenda haki katika mchakato mzima wa kumpata Mgombea wa nafasi ya Urais.

Alisema CCM haina...

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE WA JIMBO LA WAWI CUF VISIWANI PEMBA AJIUNGA NA CCM



Akiwa katika ziara ya kukagua na kufuatilia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015 – 2020 Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba Zanzibar Ndugu Humphrey Polepole Katibu Mwenezi wa CCM Taifa amepokea maombi ya Mbunge wa Jimbo la Wawi kwa tiketi ya CUF kuomba kujiunga na CCM.

Hatua hiyo imekuja baada ya Ndugu Ahmed Juma Ngwali kuusimamisha msafara wa Ndugu Polepole, kuomba kujiunga na CCM na kutangaza kujivua nafasi zake zote ndani ya Chama cha CUF.

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NA UJUMBE WAKE NDANI YA JIMBO LA MWANGA,LEO KUWASILI ROMBO

Wananchi wa kijiji cha Mwaniko -Ugweno wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipokuwa akiwahutubia katika mkutano huo wa hadhara.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi katika mkutano huo  uliofanyika kijiji cha Mwaniko Ugweno wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (wa nne kushoto akiwa ameongoza na viongozi mbalimbali wa chama,walipokuwa wakiwasili katika mkutano wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Aliyekuwa Mbunge wa CCM awa mwenyekiti wa Chadema Ruvuma

Mbunge wa zamani wa Mbinga Mashariki kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Erneus Ngwatula aliyehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), juzi alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Ruvuma baada ya kumshinda, Joseph Fuime aliyekuwa akishikilia nafasi hiyo.

 

5 years ago

CCM Blog

CCM IMEFIKA MAHAKAMANI KUMLIPIA DENI ALIYEKUWA KATIBU WA CHADEMA

  Katibu wa itikadi na Uenezi CCM, Humphrey Polepole amewasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kufuata utaratibu, wa kulipa faini ya Sh milioni 30 ili kumnusuru DK Vicent Mashinji aliyetiwa hatiani jana.
Akizungumza katika viwanja vya mahakama akiwa ameambatana na wanachama wengine wa chama hicho pamoja na mke wa mfungwa huyo , Polepole amesema amefika kufuata utaratibu ili wamtoe Mashinji.
"Tunaishukuru CCM Mkoa wa Dar es Salaam, wametusaidia tangu jana mpaka saa 4:00...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani