ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NDANI YA JIMBO LA ROMBO
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo ya namna uzalishaji unavyofanyika kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya kutengeneza vinywaji ya Bellaview Fresh Fruits Processing Industry Ndugu Shanel John Ngowi.Kulia ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kuvuta waya wa umeme kwenye mradi wa umeme vijijini katika kijiji cha Kirongo Samanga ikiwa sehemu ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2010.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NA UJUMBE WAKE NDANI YA JIMBO LA MWANGA,LEO KUWASILI ROMBO
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (wa nne kushoto akiwa ameongoza na viongozi mbalimbali wa chama,walipokuwa wakiwasili katika mkutano wa...
10 years ago
MichuziZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NDANI YA JIMBO LA SAME MAGHARIBI MKOANI KILIMANJARO
10 years ago
MichuziZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NDANI YA JIMBO LA LONGIDO MKOANI ARUSHA.
10 years ago
MichuziZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NDANI YA JIMBO LA VUNJO MKOANI KILIMANJARO
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE NDANI YA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI
10 years ago
MichuziZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NDANI YA JIMBO LA SUMVE MKOANI MWANZA LEO.
10 years ago
MichuziZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NDANI YA JIMBO LA KWIMBA MKOANI MWANZA LEO
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NA UJUMBE WAKE AANZA ZIARA NDANI YA JIMBO LA MISUNGWI AKITOKEA SENGEREMA MKOANI MWANZA
10 years ago
MichuziZIARA YA KATIBU MKUU NDUGU KINANA NDANI YA JIMBO LA MOSHI VIJIJINI,LEO KUUNGURUMA JIMBO LA VUNJO MKOANI KILIMANJARO