Tuhuma za wanaume Rombo zamfadhaisha mbunge wao
MADAI ya wanawake wa wilaya ya Rombo, Kilimanjaro, kukodi wanaume kutoka nchini Kenya, baada ya kukosa huduma za ndoa kutoka kwa waume zao kwa muda mrefu, kutokana na ulevi wa gongo uliopindukia, zimemfadhaisha Mbunge wao, Joseph Selasini (Chadema).
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-gl49bYfuLRU/VV4Ef12encI/AAAAAAAAuI4/VXWFgPJinb8/s72-c/07dcmbege.jpg)
Story ya wanawake wa Rombo kukodi wanaume Kenya kuwaridhisha kimapenzi yatinga bungeni, wanaume wataka waombwe radhi
![](http://4.bp.blogspot.com/-gl49bYfuLRU/VV4Ef12encI/AAAAAAAAuI4/VXWFgPJinb8/s640/07dcmbege.jpg)
Habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Mwananchi juzi yenye kichwa cha habari ‘Wanawake wa Rombo wakodi wanaume kutoka Kenya’ imeibukia bungeni leo.Habari hiyo iliandikwa kutokana na kauli aliyoitoa mkuu wa wilaya ya Rombo, Lembris Kipuyo, aliyedai kuwa kutokana na wanaume wa wilaya hiyo kuwa walevi wa kutupa, wake zao wamekuwa wakikodi wanaume kutoka Kenya ili kuwaridhisha kimapenzi.
“Tatizo la ulevi wilayani Rombo na matumizi ya pombe zisizokuwa na viwango ni kubwa sana na linahitaji nguvu...
10 years ago
Mwananchi21 May
Mbunge amjia juu DC sakata la wanawake wa Rombo
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/HPPQfWmTARw/default.jpg)
11 years ago
Mwananchi14 Jun
Wanaume kuwakacha wapenzi wao
10 years ago
BBCSwahili05 Dec
Wanaume wapambe.Je wewe ni mmoja wao?
10 years ago
Mwananchi26 Dec
Wanaume nao wanaweza kunyonyesha watoto wao
11 years ago
Habarileo14 Jun
Wanaume waaswa kusindikiza wenza wao kliniki
WANAUME wamehimizwa kuwasindikiza wenza wao ambao ni wajawazito kliniki wakati wa kupima afya zao na kuwa nao karibu wakati wote wa malezi ya watoto wao.
9 years ago
Global Publishers22 Dec
Asilimia 49 ya wanaume Tanzania, si wazazi halali wa watoto wao
Asilimia 49 kati ya asilimia 100 ya matokeo ya uchunguzi wa makosa ya vinasaba (DNA) yanayowasilishwa katika ofisi ya Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kwa mwaka yanaonyesha kuwa baba si mzazi halali wa mtoto katika kesi hizo.
Hayo yamesemwa na Mkemia Mkuu wa Serikali, Profesa Samwel Manyele alipokuwa akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kufungua mkutano wa wadau wa wakala wa afya ya mazingira leo jijini Dar es Salaam.
“Kesi zinazopokelewa katika maabara yetu zinazohusu...
10 years ago
Bongo504 Sep
Video: Rapper Azma aachia wimbo unaofundisha wanaume kuwafikisha wapenzi wao kil**eni