Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanaume kuwakacha wapenzi wao

Wanawake nchini England na duniani wanajiandaa kwa ajili ya mapumziko ya kimapenzi kutoka kwa waume na wapenzi wao, ambao sasa watazigeukia runinga zao kwa ajili ya Kombe la Dunia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Mauaji: Wanawake wanauwezekano mkubwa wa kuuliwa na wapenzi wao au waliokua wapenzi wao

Ripoti inasema kuwa asilimia 61 ya wanawake waliuawa na wanaume au waliuliwa na wapenzi wao wa sasa au wa zamani.

 

10 years ago

Bongo5

Video: Rapper Azma aachia wimbo unaofundisha wanaume kuwafikisha wapenzi wao kil**eni

Rapper Azma Mponda ameamua kujitolea kupitia ngoma yake kuwafunda wanaume wenzake namna ya kuwafikisha wapenzi wao katika kilele cha raha wakati wa tendo maarufu zaidi duniani, ngono. Akiongea na Bongo5, Azma amesema ameamua kuachia wimbo wake huo uitwao ‘Jinsi ya Kumkifikisha Mpenzi Wako Kileleni’, baada ya kuona amekuwa akifanya nyimbo zenye ujumbe wa kijamii kwa […]

 

9 years ago

GPL

MAMBO 12 WASIYOPENDA WANAUME KWA WAPENZI/ WAKE ZAO!

Assalam aleikum msomaji wangu, bila shaka unaendelea vema na maisha yako sambamba na maandalizi ya kuelekea uchaguzi mkuu ambao zimebaki siku chache ili kumchagua yule unayeona anafaa kuliongoza taifa hili.Bila kuwachosha niende moja kwa moja kwenye mada ya wiki hii ambayo inahusu mambo 12 wasiyoyapenda wanaume kwa wapenzi au wake zao.
Kujipamba kupitiliza Mwanamke kama mwanamke ni mapambo na ili awe mwanamke anao ulazima wa...

 

10 years ago

GPL

BILA WAPENZI WAO, WASINGEKUWA MASTAA BONGO!

Na Hamida Hassan Ukijaribu kufuatilia utabaini kuwa, wengi ambao sasa ni maarufu, wamefanya mambo makubwa! Walikuwa hawajulikana huko nyuma lakini walipoingia kwenye muziki, filamu na fani nyinginezo kisha wakafanya vizuri, walijikuta kwenye orodha ya mastaa. Kwa hapa Bongo, wapo watu ambao wana majina lakini yawezekana wasingeingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na wale ambao tayari ni mastaa, wasingekuwa na umaarufu walionao leo....

 

9 years ago

Michuzi

SIMBA SC yashukuru wanachama na wapenzi kwa ushirikiano wao



  Hajj Sunday Manara Mkuu wa habari wa Simba   Hajj Sunday Manara Mkuu wa habari wa Simba katika ubora wake   Hajj Sunday Manara Mkuu wa habari wa Simba kama baba yake Sunday Manara 'Computer' Rais wa Simba Mhe. Evans Aveva akitoka maelekezo toka benchi la ufundi kama Mourinho


Kwa niaba ya Rais wa klabu yenu pendwa Simba SC Mhe. Evans Aveva na uongozi mzima wa klabu napenda kuwashukuru wanachama na wapenzi wetu wote waliosafiri kutoka sehemu mbalimbali za nchi.kwenda mkoani Tanga kwa ajili ya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Kwa nini watu wanaonyanyaswa hawawaachi wapenzi wao?

Simulizi ya masaibu ya mwanaume aliyenyanyaswa kingono na jinsi alivyojinasua.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani