Video: Rapper Azma aachia wimbo unaofundisha wanaume kuwafikisha wapenzi wao kil**eni
Rapper Azma Mponda ameamua kujitolea kupitia ngoma yake kuwafunda wanaume wenzake namna ya kuwafikisha wapenzi wao katika kilele cha raha wakati wa tendo maarufu zaidi duniani, ngono. Akiongea na Bongo5, Azma amesema ameamua kuachia wimbo wake huo uitwao ‘Jinsi ya Kumkifikisha Mpenzi Wako Kileleni’, baada ya kuona amekuwa akifanya nyimbo zenye ujumbe wa kijamii kwa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi14 Jun
Wanaume kuwakacha wapenzi wao
5 years ago
BBCSwahili21 Feb
Mauaji: Wanawake wanauwezekano mkubwa wa kuuliwa na wapenzi wao au waliokua wapenzi wao
9 years ago
Bongo525 Aug
Video: Octopizzo aachia video ya wimbo aliomshirikisha staa wa Marekani, August Alsina
11 years ago
Michuzi03 May
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/2INg8dkzR4w/default.jpg)
boniface aachia wimbo na video mpya - nikitaka
Kwa mara nyingine tena Yule msanii machachari ambaye anainukia kwa kasi katika muziki wa bongofleva Boniface( a.k.a handsome boy a.k.a asali ya Morogoro a.k.a bon-to-face) kwa mara nyingine tena ameachia wimbo na video yake mpya iitwayo “Nikitaka”.
Audio ya wimbo huo umefanyika katika studio za Authentic Record jijini Dar es salaam chini ya Producer mwenye kiwango za hali ya juu Mr. Allan Mapigo,
Video ya wimbo huu imefanywa kampuni mpya kabisa shine studioz, ni moja ya kazi safi...
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/rmfWbRXy4r4/default.jpg)
Nuru the Light aachia video ya wimbo wake mpya ‘L’
Muimbaji wa Tanzania mwenye makazi yake nchini Sweden, Nuru The Light ameachia video ya wimbo wake mpya ‘L’. Nuru alifanya uzinduzi rasmi wa video hiyo Jumamosi hii kwenye kiota kipya cha starehe, Jozi Lounge kilichopo Msasani jijini Dar es Salaam.
Uzinduzi huo ulihudhuriwa na mastaa, marafiki zake wa karibu na mashabiki.
Video ya wimbo huo imefanyika jijini Dar es Salaam na kuongozwa na muongozaji na mshindi wa tuzo kibao, Adam Juma aka AJ. Mandhari ya kuvutia ya fukwe za bahari ya Hindi...
9 years ago
Bongo502 Dec
Video: Mshindi wa Maisha Superstar, PHY aachia wimbo mpya ‘Ruka’
![Phy2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Phy2-300x194.jpg)
Mshindi wa shindano la Maisha Superstar 2015, PHY kutoka Kenya ameachia wimbo wake mpya ‘Ruka’ (video na audio) aliowashirikisha King Kaka & Khaligraph Jones. King Kaka ndiye aliyekuwa ‘mentor’ wake kwenye shindano hilo. Mwezi uliopita PHY ambaye jina lake halisi ni Phyllis Mwihaki Ng’etich pia alizindua album yake mpya ‘Phylosophy’
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia...
9 years ago
Dewji Blog05 Nov
Jeff aachia video ya wimbo wake mpya wa “Mama Afrika” unaotangaza utalii wa Tanzania
Mwanamuziki aliyewahi ishi nchini Tanzania na pia mwenye asili ya Congo, Jeff Maximum ambaye anaishi Ughaibuni katika shughuli zake za Muziki katika pozi ambapo kwa sasa ameachia video ya wimbo wake mpya wa “Mama Afrika” ambao wimbo huo unatangaza Utalii wa Tanzania.
Na Mwandishi Wetu
Mwanamuziki anayefanya kazi zake nchini Marekani na Dubai, Jeff Maximum tayari ameshaachia video ya wimbo wake mpya uitwao “Mama Afrika” ambao umetayarishwa Bagamoyo Nchini Tanzania hivi karibuni.
Kwa mujibu...