Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105

POPULAR ON YOUTUBE

Nipe nikupe ya Samaki na Ngono Kenya

Wavuvi vijijini huwapa wauza samaki wanawake samaki kama malipo kwa kufanya nao ngono badala ya pesa.

BBCSwahili

Read more

Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

'Nipe Samaki nikupe Ngono,' Kenya

Wanawake katika ufuo wa Ziwa Victoria, wanauza miili yao kwa matumaini kuwa wataeleka nyumbani na Samaki wengi.

11 years ago

BBCSwahili

Nipe Ngono nikupe Samaki!

Wanawake katika ufuo wa ziwa Victoria mjini Kisumu Magharibi mwa Kenya, wanajaribu kukomesha tabia ya kujihusisha na kingono na Wavuvi ili wapewe Samaki hali inayoeneza Ukimwi.

9 years ago

GPL

UTAMU WA PENZI NI NIPE,NIKUPE SI VINGINEVYO!

JUMAMOSI nyingine tulivu kabisa mpenzi msomaji tunakutana tena kwenye uwanja wetu maridhawa kabisa kupeana elimu ya uhusiano. Mapenzi ‘yana-run’ dunia hivyo si vibaya kila siku tukaendelea kuyajadili na kupeana mbinu mbalimbali ambazo zinasaidia katika maisha yetu ya kila siku. Kwa tuliokuwa pamoja wiki iliyopita tulijifunza faida za kufufua penzi lililokufa. Wengi sana mlinitumia ujumbe mfupi wa maandishi kuonesha mmeguswa...

10 years ago

BBCSwahili

Je wanaume watasusia ngono Kenya?

Wanaume nchini Kenya wameelezea hisia mseto kuhusu wito wa kiongozi wa shirika la maendeleo la wanaume nchini humo kwamba wasusie tendo la ndoa

11 years ago

BBCSwahili

Utalii wa Ngono wanawiri Malindi Kenya

Mji wa Malindi ni kama paradiso. Hata hivyo mji huu ni kitovu kilichojificha cha biashara ya ngono ya watoto .

11 years ago

BBCSwahili

Onyo kwa wanaotuma ujumbe wa ngono Kenya

Kumtumia mtu ujumbe wenye picha za watu walio uchi au zenye ujumbe wa kingono nchini Kenya kutakuweka mashakani kiasi cha kufungwa jela

9 years ago

Mtanzania

Kizimbani kwa kupeleka wanawake Kenya kufanya biashara ya ngono

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam

WANAWAKE wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kusafirisha mabinti kutoka Tanzania kwenda Kenya kwa ajili ya kuwafanyisha ngono.

Washtakiwa hao Jackline Milinga (23) na Mary Amukowa (29) ambaye ni Mkenya walifikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa mashtaka ya kuwasafirisha mabinti 10.

Wakisomewa mashtaka mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Waliarwande Lema na Wakili wa Serikali, Jackline Nyantori na Selestine Makoba walidaiwa kutenda...

9 years ago

Vijimambo

KIZIMBANI KWA KUPELEKA WANAWAKE KENYA KUFANYA BIASHARA YA NGONO

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
WANAWAKE wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kusafirisha mabinti kutoka Tanzania kwenda Kenya kwa ajili ya kuwafanyisha ngono.
Washtakiwa hao Jackline Milinga (23) na Mary Amukowa (29) ambaye ni Mkenya walifikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa mashtaka ya kuwasafirisha mabinti 10.
Wakisomewa mashtaka mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Waliarwande Lema na Wakili wa Serikali, Jackline Nyantori na Selestine Makoba walidaiwa kutenda...

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani