Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ajiua kupinga kuoa mke asiyemtaka

Mkazi wa Kijiji cha Duga Horohoro Tanga, Mbito Dilima amejiua kwa kujinyoga akitumia chandarua na kuacha ujumbe kuwa, sababu ya uamuzi huo ni kulazimishwa kuoa mwanamke asiye chaguo lake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: KISHERIA ALIYEFUNGA NDOA YA MKE MMOJA HAWEZI KUOA MKE WA PILI


Na Bashir YAkub
Sura  ya  29  Sheria  ya ndoa  imeeleza  mambo  mengi . Baadhi  yanajulikana  na  baadhi  hayajulikani.  Wakati  mwingine  hata  baadhi  ya yanayojulikana   haijulikani  kama  yameruhusiwa  na  sheria  au  yanafanyika  kimazoea.  Na  hapa  ndipo  inapoibukia  migogoro mingi  ambayo  tunayoshuhudia  mahakamani  na  hata nje  ya  mahakama. Aidha  sheria  hii  imebeba  mambo  mengi  ya  talaka, matunzo  ya  watoto  na  mwanamke, jinai  za  unyanyasaji  wa  kijinsia, ndoa  haramu ...

 

9 years ago

Bongo5

Sijapata mke mwema wa kuoa — Dully Sykes

Dully Sykes - Kwani wewe ni nani

Dully Sykes amesema licha ya kutembea na wanawake wengi, mpaka sasa bado hajapata mke mwema wa kumuoa.

Dully Sykes - Kwani wewe ni nani

Muimbaji huyo mwenye watoto wanne, amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio kuwa akipata mke mwema ataoa.

“Sijapata mke, unajua mke si girlfriend material na kuna wife material,” alisema. “Sijali Mungu hajaniletea mke na ukifa bila mke si dhambi kwa sababu hakukuletea alitaka ufe bila kuoa. Wife material akiona watu hawezi kushangaa shangaa. Mke anajua kesho unaingia kazini saa...

 

10 years ago

GPL

JUSTIN BIEBER SASA ATAKA MKE WA KUOA

Staa wa muziki wa Pop nchini marekani, Justin Bieber. New York,Marekani
UNAWEZA kusema sasa Justin Bieber amekuwa hii ni baada ya kutamka wazi kuwa anahitaji mwanamke ambaye anajiamini na mwaminifu ili aweza kuishi naye katika maisha yake baadaye. Justin Bieber akiwa na rafiki yake Jayde Pierce.
Hii ni kutokana na star huyo kuwa karibu na mwamitindo Jayde Pierce (19)  ambaye hivi karibuni  wamekuwa wakiongozana...

 

9 years ago

Bongo5

Cassim Mganga apanga kuoa mke wa pili

11078950_1402240830096916_1993740470_n

Hitmaker wa Subira, Cassim Hemedy Mganga amesema anafikiria kuoa mke wa pili.

11078950_1402240830096916_1993740470_n

Akizungumza kwenye kipindi cha Mkasi, Cassim alisema anaamini kuwa Mungu amewataka wanaume kuwahifadhi wanawake kwa kuwaoa. “Natarajia, muislamu mimi, Cassim alijibu kama anataka kuona mke wa pili.

“Nasema haya kwanza ni maamuzi na dini yetu inaheshimu hii sheria. Lakini lazima tuwahifadhi akina mama, tunaruhusiwa na si lazima, unaruhusiwa kama una uwezo wa kuwahudumia.”

Cassim ni baba wa mtoto mmoja.

Jiunge na...

 

11 years ago

GPL

WANAUME HURU KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA NCHINI KENYA

SHERIA inayoruhusu wanaume kuoa mke zaidi ya mmoja, imepitishwa nchini Kenya.
Rais Uhuru Kenyatta ametia saini sheria hiyo licha ya malalamiko kutoka kwa vikundi vya wanawake nchini humo. Taarifa kutoka katika ofisi ya Rais ilisema kuwa mswada huo ambao unajumuisha vipengee kadhaa kuhusu ndoa , imekuwa sheria sasa. Mswada huo ulioleta mageuzi katika sheria ya sasa , ulipitishwa na bunge mwezi jana kuidhinisha rasmi utamaduni wa...

 

10 years ago

CloudsFM

Mzee Yusuph kuoa tena mke wa watatu,Wake zake watupiana vijembe mtandaoni

Mwimbaji mahiri wa muziki wa Taarab nchini ambaye pia ni mkurugenzi wa kundi la Jahazi Modern Taarabu,Mzee Yusuph anatarajia kuoa tena mke wa tatu hivi karibuni huku wake zake wawili wakiwa kwenye bifu zito wakitupiana vijembe mtandaoni.

Akipiga stori na Uheard na Soudy Brown alisema kuwa anatarajia kuoa mke huyo ambaye anaishi huko visiwani Pemba,na kwamba mipango ikiwa tayari kila kitu kitakuwa hadharani.

Hivi karibuni wake zake wawili ambao ni Malkia Leila Rashid ambaye pia ni mwimbaji...

 

11 years ago

Michuzi

MKE WA RAIS MAMA MWANAMWEMA AKUTANA MKE WA MFALME MUSWATI

Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Mama Mwanamwema Shein (kulia) akisalimiana na Mke wa Kwanza wa Mfalme Muswati wa Swasiland Mama Nomsa Matsebula,alipofika Ikulu ya Migombani na ujume wake leo,akiwa katika ziara ya siku mbili nchini. Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Mama Mwanamwema Shein (kulia) akizungumza na Mke wa Kwanza wa Mfalme Muswati wa Swasiland Mama Nomsa Matsebula,alipofika Ikulu ya Migombani na ujume wake...

 

10 years ago

GPL

KWA NINI MKE WA MTU ANAKUWA MKE WA WATU?

NAMSHUKURU Mungu kunikutanisha tena na nyinyi marafiki katika uwanja wetu wa elimu ya uhusiano. Hujakosea kusoma makala haya maana hapa ndipo tunapojifunza masuala mbalimbali yahusuyo maisha yetu ya kila siku. Wiki iliyopita tulijifunza mada iliyokuwa inahusu nani anayestahili kuhongwa kati ya mwanaume na mwanamke. Bila shaka msomaji wangu ulipata elimu, kimsingi nilisema kila mmoja anapaswa kumheshimu mwenzake, kutobweteka na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani