Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKE WA RAIS MAMA MWANAMWEMA AKUTANA MKE WA MFALME MUSWATI

Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Mama Mwanamwema Shein (kulia) akisalimiana na Mke wa Kwanza wa Mfalme Muswati wa Swasiland Mama Nomsa Matsebula,alipofika Ikulu ya Migombani na ujume wake leo,akiwa katika ziara ya siku mbili nchini. Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Mama Mwanamwema Shein (kulia) akizungumza na Mke wa Kwanza wa Mfalme Muswati wa Swasiland Mama Nomsa Matsebula,alipofika Ikulu ya Migombani na ujume wake...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA MWANAMWEMA SHEIN, AENDELEA NA ZIARA YAKE KUWAOMBEA KURA WAGOMBEA WA CCM ZANZIBAR.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiwasili katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu cha Mwalimu Nyerere Bububu kwa ajili ya kuzungumza na Viongozi wa Wanawake wa Wilaya ya Mfenesini Unguja Kichama kuwaombea Kura Wagombea Wote wa Chama cha Mapinduzi CCM.Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Wilaya ya Mfenesini Unguja Kichama akitowa salamu za Wilaya yake kwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, kabla ya kuaza kwa mkutano huo uliofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Bububu.

 

9 years ago

Vijimambo

MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA MWANAMWEMA SHEIN ATOWA MKONO WA EID EL HAJJ KWA WAZEE WA WELEZO NA SEBLENI ZANZIBAR

Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif Ali Iddi na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ustawi wa Jamii Zanzibar Bi Asha Abdalla wakiongozana na mlezi wa Wazee Welezo wakiwasili katika viwanja vya Makaazi ya Wazee Welezo Unguja kumuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, kutowa Mkono wa Eid kwa Wazee hao kusherehekea Sikukuu hiyo ya Eid El Hajj.Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha akizungumza na Wazee wa Welezo...

 

11 years ago

Habarileo

Mke wa Mfalme Mswati II kufungua Sabasaba

MAONYESHO ya 38 ya kimataifa yanayofanyika katika Viwanja vywa Mwalimu Nyerere Kilwa yaliyopo barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam maarufu kama Sabasaba yaliyoanza jana yanatarajia kufunguliwa rasmi Jumatano ijayo na Malkia wa Swaziland, Nomsa Matsedula.

 

11 years ago

Michuzi

MKE WA MFALME MSWATI ZIARANI ZANZIBAR.

Mke wa Mfalme Mswati wa Swaziland Nomsa Matsebula kulia akipata maelezo kutoka kwa Mwalimu wa Chuo cha Kilimo Kizimbani Fumu Ali Garo kuhusu Mmea wa Mchaichai na faida zake wakati alipotembelea katika Shanba la Viungo Kizimbani ikiwa ni Miongoni mwa Ziara yake Zanzibar. Mmea wa Mmanjano kama Unavyoonekana ambao ni miongoni mwa mimea yenye faida kubwa ambao hupatikana sehemu ya Kizimbani Zanzibar. Mke wa Mfalme Mswati wa Swaziland Nomsa Matsebula Katikati akipata maelezo kuhusu Mmea wa...

 

10 years ago

Michuzi

MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE KUWA MGENI RASMI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Na Happy Shirima - Habari Maelezo.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo [WAMA] anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani yatakayofanyika Machi 8 mwaka huu katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam .
Akizungumzia maadhimisho hayo leo jijini Dar es salaam , Kaimu Mkuu wa mkoa wa Dar se salaam Mhe. Raymond Mushi amesema kuwa maadhimisho hayo mwaka huu yataongozwa na kauli mbiu isemayo “Uwezeshaji...

 

11 years ago

Michuzi

MALKIA NOMSA MATSEBULA WA SWAZILAND AZURU TANZANIA KWA MWALIKO WA MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE.

 Malkia wa Swaziland Mheshimwa Nomsa Matsebula akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Ndugu Nurdin Babu mara baada ya helikopta iliyomchukua kutua kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari ya Nyamisati huko wilayani Rufiji ambako alikwenda kutembelea Shule ya Wamanakayama inayomilikiwa na Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA. Tarehe 2.7.2014. Kulia ni Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete.
 Mke wa Mfalme Mswati III wa Swaziland Malkia Nomsa Matsebula akisalimiana na Mwenyekiti wa...

 

11 years ago

Michuzi

MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE AKIZINDUA TAMASHA LA VITABU VYA WATOTO MKOA WA DAR ES SALAAM

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa amesimama na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam akiwemo Katibu Tawala Ndugu Theresia Mbando (wa tatu kutoka kulia), Mkuu wa Wilaya ya Ilala Ndugu Raymond Mushi (wa nne) nje ya jengo la Makumbusho ya Taifa kwa ajili ya kupokea maandamano ya wanafunzi wa shule za msingi za Dar es Salaam wakati wa sherehe ya uzinduzi wa Tamasha la vitabu vya watoto katika Mkoa huo tarehe 12.6.2014. Baadhi ya wanafunzi wa Shule za Msingi mkoani Dar es Salaam...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani