Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mke wa Mfalme Mswati II kufungua Sabasaba

MAONYESHO ya 38 ya kimataifa yanayofanyika katika Viwanja vywa Mwalimu Nyerere Kilwa yaliyopo barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam maarufu kama Sabasaba yaliyoanza jana yanatarajia kufunguliwa rasmi Jumatano ijayo na Malkia wa Swaziland, Nomsa Matsedula.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MKE WA MFALME MSWATI ZIARANI ZANZIBAR.

Mke wa Mfalme Mswati wa Swaziland Nomsa Matsebula kulia akipata maelezo kutoka kwa Mwalimu wa Chuo cha Kilimo Kizimbani Fumu Ali Garo kuhusu Mmea wa Mchaichai na faida zake wakati alipotembelea katika Shanba la Viungo Kizimbani ikiwa ni Miongoni mwa Ziara yake Zanzibar. Mmea wa Mmanjano kama Unavyoonekana ambao ni miongoni mwa mimea yenye faida kubwa ambao hupatikana sehemu ya Kizimbani Zanzibar. Mke wa Mfalme Mswati wa Swaziland Nomsa Matsebula Katikati akipata maelezo kuhusu Mmea wa...

 

11 years ago

Michuzi

Dkt. Stergomena L. Tax amtembelea Mfalme (King) Mswati II swaziland

Mfalme  (King) Mswati II akimkaribisha Dkt. Stergomena L. Tax, Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi Kusini mwa Afrika  (Southern African Development Cooperation - SADC) wakati wa Ziara ya kikazi ya Katibu Mtendaji nchini Swaziland. Katika Ziara hiyo, viongozi hao walisisitiza umuhimu wa kutumia uhimilivu wa kisiasa uliofikiwa katika Kanda ya SADC kama muhimili muhimu katika kuongeza kasi ya kuendeleza maeneo yatakayochochea  maendeleo ya kiuchumi, ikiwa ni pamoja na...

 

11 years ago

Michuzi

MKE WA RAIS MAMA MWANAMWEMA AKUTANA MKE WA MFALME MUSWATI

Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Mama Mwanamwema Shein (kulia) akisalimiana na Mke wa Kwanza wa Mfalme Muswati wa Swasiland Mama Nomsa Matsebula,alipofika Ikulu ya Migombani na ujume wake leo,akiwa katika ziara ya siku mbili nchini. Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Mama Mwanamwema Shein (kulia) akizungumza na Mke wa Kwanza wa Mfalme Muswati wa Swasiland Mama Nomsa Matsebula,alipofika Ikulu ya Migombani na ujume wake...

 

10 years ago

Mwananchi

Kikwete kufungua Sabasaba Julai Mosi

Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kufungua Maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) Julai Mosi.

 

11 years ago

Mwananchi

Balozi Idd kufungua Sabasaba leo

>Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Balozi Seif Ali Idd atafungua Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) leo kwenye Viwanja vya Mwalimu Julius  Nyerere, jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Habarileo

Balozi Seif kufungua maonesho ya Sabasaba leo

WAKATI maonesho ya Sabasaba yakiendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere, barabara ya Kilwa, Dar es Salaam, leo yanatarajiwa kufunguliwa rasmi na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Dk Seif Ali Idd.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wasichana 38 wa sherehe za Mswati wafa

Zaidi ya wasichana 38 wamekufa katika ajali ya gari nchini Swaziland wakati walipokuwa wakisafiri kwenda kwenye sheria ya kitamaduni.

 

9 years ago

BBCSwahili

Sherehe za Mswati zatakiwa kusitishwa

Utawala wa ufalme nchini Swaziland umetakiwa kufutilia mbali sherehe maarufu za kitamaduni baada ya wasichana kadha kuaga dunia

 

11 years ago

BBCSwahili

Mswati akumbwa na Tisho la kufilisika

Taarifa kutoka nchi ya kifalme ya Swaziland zasema kima cha fedha katika benki kuu ya nchi hiyo kimebaki dola laki 8 pekee.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani