Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Balozi Seif kufungua maonesho ya Sabasaba leo

WAKATI maonesho ya Sabasaba yakiendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere, barabara ya Kilwa, Dar es Salaam, leo yanatarajiwa kufunguliwa rasmi na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Dk Seif Ali Idd.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Balozi Idd kufungua Sabasaba leo

>Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Balozi Seif Ali Idd atafungua Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) leo kwenye Viwanja vya Mwalimu Julius  Nyerere, jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA ATEMBELEA MAONESHO YA BIASHARA YA SABASABA

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Property International Bwana. A. Haleem alipomtembelea banda la kampuni hiyo inayoshiriki Maonesho ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es salaam. Kampuni hiyo inatoa huduma za kupima ardhi na viwanja kwa kutumia teknolojia ya kisasa.

 

11 years ago

GPL

BALOZI SEIF IDD AZINDUA MAONYESHO YA SABASABA DAR

MAKAMU wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi amezindua rasmi maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa jijini Dar es Salaam kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere, Dar mchana huu. Maonyesho ya mwaka huu yaliyoanza Juni 28, 2014 yanashirikisha waonyeshaji bidhaa zaidi ya 1,200 kati yake Wizara, Idara na wakala za serikali zaidi ya 60 na makampuni zaidi ya 400 ya kimataifa. Mataifa 31 yanashiriki maonyesho ya mwaka huu...

 

11 years ago

Michuzi

JK AFANYA ZIARA INGINE TENA KWENYE MAONESHO YA SABASABA LEO

 Rais Jakaya Mrisho kikwete akipozi na viongozi na wafanyakazi katika banda la Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) alipofanya ziara ingine tena leo Julai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana na muda Rais Jakaya Mrisho kikwete akipozi na vijana wa Skauti wanaofanya kazi ya  ulinzi wa viongozi alipofanya ziara ingine tena leo Julai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana na muda
 Rais Jakaya Mrisho kikwete akipozi na viongozi na wafanyakazi katika banda...

 

11 years ago

Michuzi

Ankal atembelea banda la PPF kwenye maonesho ya sabasaba leo

Afisa Kanda Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Monica Mbogoni akimuhudumia Ankal wakati alipotembelea banda la PPF katika maonyesho ya Sabasaba. Afisa Kanda Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Monica Mbogoni akimkabidhi taarifa ya michango yake Ankal  wakati alipotembelea banda la PPF kwenye maonyesho ya  38 ya Sabasaba. Pembeni wanaoshuhudia ni wafanyakazi wa mfuko wa Pensheni wa PPF. Kumbukumbu za PPF zinaonesha Ankal ameanza kuchangia mfuko huo toka  mwaka 1994 Meneja...

 

11 years ago

Michuzi

Taswira mbalimbali katika maonesho ya SabaSaba jijini Dar es salaam leo

 Banda la Umoja wa Mataifa katika Maonesho ya SabaSaba jijini Dar es salaam Kijana majasiriamali akionesha kazi zake kwa waliotembelea banda la Umoja wa Mataifa kwenye Maonesho ya SabaSaba. Yeye ni mmoja kati ya vijana wengi wanaofadhiliwa na Umoja wa Mataifa katika mafunzo ya ujasiriamali kufuatia mpango wa Umoja huo wa kuendeleza watoto, vijana na kinamama  Mkurugenzi wa mipango na mahusiano wa TIB Development Bank Bw. Jaffer S. Machano (mwenye miwani) akiwa na wafanyakazi wenzie wa benki...

 

11 years ago

Michuzi

Mama Salma Kikwete atembelea maonesho ya sabasaba jijini Dar es salaam leo

 Mama  Salma Kikwete (katikati mwenye kitenge)akitembelea leo  maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea  kwenye viwanja vya sabasaba jijini Dares Salaam.Kulia  ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke,  Sophia Mjema. Mama  Salma Kikwete (katikati mwenye kitenge)akipata  maelezo  leo   kuhusu bidhaa  mbalimbali  kutoka kwa Bi mkubwa  Juma kwenye banda la Zanzibar  katika maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea  kwenye viwanja vya sabasaba jijini Dares Salaam.Kushoto  ni  Mkuu wa...

 

10 years ago

Michuzi

MAONESHO YA KIMATAIFA YA ELIMU YAANZA LEO VIWANJA VYA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM

Mkurugenzi Mtendaji wa Uwakala wa Vyuo kutoka Nje Global Education Link Bw. Abdulmalik Mollel (Wa pili kutoka kulia) akiwaonyesha ramani ya maonyesho ya Kimataifa ya Elimu kwa wadau wa Elimu waliojitokeza kushiriki maonyesho yanayoanza Leo Desemba 17-21, 2014 katika viwanja Mwalimu Julius Kambarage Nyerere vilivyoko Sabasaba jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi Mtendaji wa Uwakala wa Vyuo kutoka Nje Global Education Link Bw. Abdulmalik Mollel akielezea maonyesho ya Kimataifa ya Elimu yanayoanza...

 

11 years ago

Michuzi

balozi seif atembelea madaktari bingwa kutoka cuba, akutana na mkurugenzi wa maonesho ya biashara wa uturuki

  Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi  Seif Ali Iddi kulia akibadilishana mawazo na Madaktari Mabingwa kutoka Nchini Cuba hapo kwenye Makazi yao Mnazi Mmoja Mkabala na Bustani ya Victoria ambao wanaendelea kutoa mafunzo ya Udaktari kwa Madaktari wazalendo wa Zanzibar. Kati kati aliyevaa koti jeusi ni Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dr. Saleh Mohamed Jidawi.   Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dr. Saleh Mohamed Jidawi Kushoto aliyevaa koti akitoa maelezo mbele ya Makamu wa Pili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani