Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete kufungua Sabasaba Julai Mosi

Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kufungua Maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) Julai Mosi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mke wa Mfalme Mswati II kufungua Sabasaba

MAONYESHO ya 38 ya kimataifa yanayofanyika katika Viwanja vywa Mwalimu Nyerere Kilwa yaliyopo barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam maarufu kama Sabasaba yaliyoanza jana yanatarajia kufunguliwa rasmi Jumatano ijayo na Malkia wa Swaziland, Nomsa Matsedula.

 

11 years ago

Mwananchi

Balozi Idd kufungua Sabasaba leo

>Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Balozi Seif Ali Idd atafungua Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) leo kwenye Viwanja vya Mwalimu Julius  Nyerere, jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Habarileo

Balozi Seif kufungua maonesho ya Sabasaba leo

WAKATI maonesho ya Sabasaba yakiendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere, barabara ya Kilwa, Dar es Salaam, leo yanatarajiwa kufunguliwa rasmi na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Dk Seif Ali Idd.

 

10 years ago

Vijimambo

Kikwete: "Nisingekuwa Rais Ningekuwa Msanii Mkali wa Bongo Fleva.".........HOTUBA Nzima ya Rais Kikwete Aliyoitoa Jana Mei Mosi Iko HAPA


RAIS Dkt. Jakaya Kikwete, ametamba kuwa angakuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya basi angelikuwa wa “BongoFleva” kutokana na kuwa na sauti nzuri yenye kumudu kuimba nyimbo kwa ufasaha zaidi.

Kauli hiyo aliitoa jana jijini Mwanza kwenye uwanja wa michezo wa CCM Kirumba wakati wa maadhimisho ya kilele cha sherehe za Mei mosi zilizofanyika Kitaifa jijini Mwanza kwa mwaka huu wa mwisho wa utawala wake.
Dkt. Kikwete aliimba wimbo wa Bendi ya OSS (Ochestra Safari Sound) wenye mashairi yasemayo...

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Jakaya Kikwete kulihutubia Bunge Julai 9

Dodoma. Rais Jakaya Kikwete atalihutubia Bunge la 10 mjini Dodoma kati ya Julai 9 au 10 kulingana na ratiba yake.

 

10 years ago

GPL

NEC: UANDIKISHAJI BVR DAR KUANZA JULAI 16-25, PWANI JULAI 7-20

Na Mwandishi -Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura kwa teknolojia ya Biometric Voters Registration (BVR) lililoahirishwa katika jiji la Dar es salaam na mkoa wa Pwani hivi karibuni sasa litafanyika kuanzia Julai 7-20 kwa mkoa wa Pwani na Julai 16- 25 kwa jiji la Dar es salaam. Uboreshaji wa Daftari hilo kwa jiji la Dar es salaam na Mkoa wa Pwani uliahirishwa kutokana na kuchelewa kwa...

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete kufungua Bunge la Afrika Mashariki

RAIS Jakaya Kikwete anatarajia kufungua kikao cha tatu cha Bunge la Tatu la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), litakaloanza kesho kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Hayo yalibainishwa jana Dar es Salaam na Spika wa EALA, Margaret Nantongo Zziwa alipozungumza na waandishi wa habari.

 

9 years ago

Habarileo

Kikwete kufungua kituo cha michezo

RAIS Jakaya Kikwete Oktoba 17, atazindua rasmi Kituo cha Michezo cha Kisasa cha Jakaya M. Kikwete Youth Park (JMK Park), Kidongo Chekundu, Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana jijini Dar es Salaam, kituo hicho ni cha kwanza cha aina yake nchini, ambacho kitasaidia kulea wanamichezo tangu wakiwa watoto wadogo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani