Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makampuni 14 ya Afrika Kusini katika Maonyesho ya Kimataifa (sabasaba) Juni 29 - Julai 08,2014

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MBUNIFU WA MAVAZI WA KIMATAIFA SHERIA NGOWI AFUNIKA KATIKA MAONYESHO YA MAVAZI YA 'MERCEDES BENZ FASHION WEEK AFRICA 2014' NCHINI AFRIKA KUSINI

Na Mwandishi wetuMbunifu wa kimataifa wa mavazi kutoka Tanzania, Sheria Ngowi amedhihirisha kuwa yeye ni nguli katika ubunifu baada ya kufinika katika onyesho la mavazi la kimataifa lijulikanalo kama Mercedes Benz Fashion Week Africa 2014 lililofanyika juzi Ijumaa mjini Johannesburg, Afrika Kusini.Ngowi alionyesha mkusanyiko wa mavazi aliyoyaita 'PRIDE' yaani kujivunia, kama moja ya njia za kumuenzi Baba wa Taifa, Mwl. Julius Nyerere pamoja na viongozi mashuhuri waliopigania uhuru...

 

10 years ago

Michuzi

SHERIA NGOWI AFUNIKA KATIKA MAONYESHO YA MAVAZI YA 'MERCEDES BENZ FASHION WEEK AFRICA 2014' NCHINI AFRIKA KUSINI

Mercedes-Benz-Fashion-Week-2014-Sheria-Ngwoi-Bellanaija-October2014016Mbunifu wa kimataifa wa mavazi kutoka Tanzania, Sheria Ngowi amedhihirisha kuwa yeye ni nguli katika ubunifu baada ya kufunika katika onyesho la mavazi la kimataifa lijulikanalo kama Mercedes Benz Fashion Week Africa 2014 lililofanyika mwishoni mwa wiki mjini Johannesburg, Afrika Kusini.
Ngowi alionyesha mkusanyiko wa mavazi aliyoyaita 'PRIDE' yaani kujivunia, kama moja ya njia za kumuenzi Baba wa Taifa, Mwl. Julius Nyerere pamoja na viongozi mashuhuri waliopigania uhuru Afrika.
Afrika Kusini...

 

11 years ago

Michuzi

PSPF katika maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam a.k.a Sabasaba

Wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, hupata fursa ya kujionea na kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo kujua fursa ya kujipatia mikopo ya nyumba kama huyu (Kushoto), aliyetembelea banda la PSPF lililoko kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, viwanja vya Mwalimu Nyerere, jijini. Afisa wa PSPF, (Kushoto), akimpatia maelzo ya kina mwanachama huyu aliyefika kwenye banda hilo. Mwanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, (Kushoto), akiuliza maswali huku Afisa Masoko wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maonyesho ya kimataifa ya elimu yaanza katika viwanja vya Mwl. J. K Nyerere SabaSaba jijini Dar

Mkurugenzi Mtendaji wa Uwakala wa Vyuo kutoka Nje Global Education Link Bw. Abdulmalik Mollel (Wa pili kutoka kulia) akiwaonyesha ramani ya maonyesho ya Kimataifa ya Elimu kwa wadau wa Elimu waliojitokeza kushiriki maonyesho yanayoanza Leo Desemba 17-21, 2014 katika viwanja Mwalimu Julius Kambarage Nyerere vilivyoko Sabasaba jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Uwakala wa Vyuo kutoka Nje Global Education Link Bw. Abdulmalik Mollel akielezea maonyesho ya Kimataifa ya Elimu...

 

11 years ago

GPL

VIDEO: MAONYESHO YA 38 YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA DAR (SABASABA)

Baadhi ya matukio yaliyojiri katika Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam yaliyoanza Juni 28 na kufika tamati Julai 10,…

 

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA SUMAJKT KUSHIRIKI MAONYESHO YA 39 YA KIMATAIFA YA SABASABA.

SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA SUMAJKT LITASHIRIKI KATIKA MAONYESHO YA 39 YA KIMATAIFA YA SABASABA.TUNAWAKARIBISHA KUJA KUTEMBELEA KATIKA BANDA LA SUMAJKT NA KUPATA BIDHAA NA HUDUMA ZENYE UBORA. PIA WAWEZA KUTUTEMBELEA KATIKA BLOGU YETUwww.sumajkt.blogspot.com na pia TOVUTU YETU www.sumajkt.go.tz

 

11 years ago

Dewji Blog

Banda la Tigo lafurika viwanja vya maonyesho ya Kimataifa Sabasaba

DSC_4592

Afisa wa mauzo wa Tigo Bi Annia Ernest akitoa huduma kwa mteja wake aliyefika kwenye banda la Tigo.

DSC_4581

Watoto wakifurahia kucheza pamoja kwenye michezo mbalimbali iliyoandaliwa na kampuni ya Tigo kwenye maonyesho ya sabasaba.

DSC_4583

Wateja waliofurika kwenye banda la Kampuni ya simu za mkononi Tigo wakati wa maonyesho ya kimataifa ya biashara sabasaba jana jijini Dar es Salaam.

DSC_4615

DSC_4611

Afisa wa mauzo wa Tigo akiwahudumia wateja waliofika kupata huduma kwenye maonyesho ya sabasaba.

DSC_4730

DSC_4721

Wasanii wa kikundi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani