Cassim Mganga apanga kuoa mke wa pili
Hitmaker wa Subira, Cassim Hemedy Mganga amesema anafikiria kuoa mke wa pili.
Akizungumza kwenye kipindi cha Mkasi, Cassim alisema anaamini kuwa Mungu amewataka wanaume kuwahifadhi wanawake kwa kuwaoa. “Natarajia, muislamu mimi, Cassim alijibu kama anataka kuona mke wa pili.
“Nasema haya kwanza ni maamuzi na dini yetu inaheshimu hii sheria. Lakini lazima tuwahifadhi akina mama, tunaruhusiwa na si lazima, unaruhusiwa kama una uwezo wa kuwahudumia.”
Cassim ni baba wa mtoto mmoja.
Jiunge na...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-l-C7WpxHWJw/VYr7NWmkVGI/AAAAAAAHjn0/HY9ExkXfZEQ/s72-c/african-weddings%2B%25281%2529.jpg)
MAKALA YA SHERIA: KISHERIA ALIYEFUNGA NDOA YA MKE MMOJA HAWEZI KUOA MKE WA PILI
![](http://2.bp.blogspot.com/-l-C7WpxHWJw/VYr7NWmkVGI/AAAAAAAHjn0/HY9ExkXfZEQ/s640/african-weddings%2B%25281%2529.jpg)
Na Bashir YAkub
Sura ya 29 Sheria ya ndoa imeeleza mambo mengi . Baadhi yanajulikana na baadhi hayajulikani. Wakati mwingine hata baadhi ya yanayojulikana haijulikani kama yameruhusiwa na sheria au yanafanyika kimazoea. Na hapa ndipo inapoibukia migogoro mingi ambayo tunayoshuhudia mahakamani na hata nje ya mahakama. Aidha sheria hii imebeba mambo mengi ya talaka, matunzo ya watoto na mwanamke, jinai za unyanyasaji wa kijinsia, ndoa haramu ...
11 years ago
Tanzania Daima11 Jul
Cassim Mganga ajitetea
NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Kassim Mganga ‘Cassim’ amesema alishindwa kusambaza video ya wimbo wake wa ‘I Love You’ kutokana na audio kufanya vizuri na kutamba kila kona....
10 years ago
Vijimambo16 May
MSANII CASSIM MGANGA AWASILI ZANZIBAR
![](https://scontent-lga.xx.fbcdn.net/hphotos-xpa1/v/t1.0-9/1454806_912298818833322_6073325088769794514_n.jpg?oh=6087594068529e9f8658fac8ceeb8701&oe=55BF5D90)
![](https://scontent-lga.xx.fbcdn.net/hphotos-xta1/v/t1.0-9/11295589_912298805499990_826905121140542324_n.jpg?oh=24bbaef34f7aa213bc19153c013ac687&oe=55C64AA4)
![](https://scontent-lga.xx.fbcdn.net/hphotos-xtp1/v/t1.0-9/11259613_912298852166652_4857350913558043404_n.jpg?oh=8b77f8e23e22444141daae7f6a14c865&oe=55FF82EB)
![](https://scontent-lga.xx.fbcdn.net/hphotos-xpf1/v/t1.0-9/11201166_912298785499992_1008827205566965084_n.jpg?oh=14ac677804505e773e0b8b8131fd29c7&oe=55C759AF)
9 years ago
Bongo518 Dec
Music: Ali Choki Ft Cassim Mganga – Caro
![chokiiiiiiiiiii](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/chokiiiiiiiiiii-300x194.jpg)
Msanii mkongwe wa mziki wa dansi hapa bongo Ali Choki ameachia wimbo mpya unaitwa “Caro”, Amemshirikisha Cassim Mganga. Producer Aby Dady.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
GPL02 Feb
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/M2qlmZDbHMI/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo25 Jan
10 years ago
Vijimambo21 May
10 years ago
Bongo520 Sep
Picha: Cassim Mganga atoa burudani ubalozi wa Tanzania nchini Marekani