Picha: Cassim Mganga atoa burudani ubalozi wa Tanzania nchini Marekani
Msanii wa muziki nchini Cassim Mganga ambaye kwa sasa yupo nchini Marekani amepata nafasi ya kutoa burudani ndani ya ubalozi ya Tanzania nchini Marekani huku waziri wa maliasili na utalii, Lazaro Nyalandu pamoja na balozi wa Tanzania, Bi Ribelata Mulamula wakihudhuria. Waziri Nyalandu (kulia)Kassim Mganga (katikati) pamoja na balozi wa Tanzania Marekani mama Ribelata Mulamula […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog17 Sep
Cassim Mganga, Aunty Ezekiel watembelea mjengo mweupe, Aunty asaini kitabu ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Washington, Dc
Aunty akitia saini kitabu cha wageni alipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumanne Sept 16, 2014.
Aunty Ezekiel akipata picha nje ya mjengo wa Obama.
Shabiki akipata picha...
11 years ago
MichuziCASSIM MGANGA, AUNTY EZEKIEL WATEMBELEA MJENGO MWEUPE, AUNTY ATIA SAINII KITABU UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI, WASHINGTON, DC
Aunty akitia saini kitabu cha wageni alipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumanne Sept 16, 2014.
11 years ago
GPLUNTY EZEKIEL, CASSIM MGANGA WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA UMOJA WA MATAIFA, NEW YORK
11 years ago
Vijimambo10 Oct
ANGALIA RECORDED LIVE MAHOJIANO KUTOKA WASHINGTON, DC NCHINI MAREKANI YA AUNTY EZEKIEL NA CASSIM MGANGA
Broadcast live streaming video on Ustream
11 years ago
GPLMARK CHILDRESS BALOZI MPYA WA MAREKANI NCHINI TANZANIA, ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI
11 years ago
MichuziMARK CHILDRESS, BALOZI MPYA WA MAREKANI NCHINI TANZANIA, ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI
10 years ago
VijimamboUBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI WAMUAGA BALOZI LIBERATA MULAMULA
11 years ago
MichuziHARVARD CLUB OF WASHINGTON WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI
10 years ago
Bongo515 Jan
New Video: Cassim Mganga atoa video ya ‘Moto Moto’ aliyoshoot na Ogopa mwaka 2013