Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Video: Cassim Mganga atoa video ya ‘Moto Moto’ aliyoshoot na Ogopa mwaka 2013

Hatimaye Cassim Mganga a.k.a Tajiri wa mahaba ameachia video ya wimbo wake ‘Moto Moto’ iliyoshutiwa toka mwaka 2013. Mwaka jana Mganga alikanusha taarifa kuwa video hiyo imeharibika kutokana na kuchelewa kutoka, na kusema kuwa video ilikuwepo lakini ilikuwa inahitaji kuongezewa vipande vichache na kutoka (Ingia hapa). Video ya ‘Moto Moto’ imefanywa na kampuni ya Ogopa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Wamekaa wanasubiri mwaka mpya, ghafla moto umezuka hotelini Dubai.. (+Video)

Wakati unahesabu dakika chache kuuvuka mwaka 2015 salama, najua kuna watu wangu wako kwenye nyumba za ibada wanamshukuru MUNGU, wengine wamekusanyika na ndugu jamaa na marafiki kwa utulivu kuenjoy huku wakisubiri na kuzihesabu kwa pamoja zile sekunde za mwisho za mwaka 2015 kwa amani kabisa, inanifikia taarifa kutoka Dubai kwamba jingo moja la Hoteli limewaka […]

The post Wamekaa wanasubiri mwaka mpya, ghafla moto umezuka hotelini Dubai.. (+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

GPL

MAANDALIZI YA UTOAJI TUZO YA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 YAPAMBA MOTO

Ukumbi wa African Dreams uliopo Area D mkoani Dodoma litakapofanyika zoezi la utoaji tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013/2014 leo jioni. Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (katikati) akiweka mambo sawa ndani ya ukumbi wa African Dreams. Kushoto Ofisa Masoko wa Global, Benjamin Mwanambuu na MC wa shughuli ya leo, George Urio…

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Cassim Mganga atoa burudani ubalozi wa Tanzania nchini Marekani

Msanii wa muziki nchini Cassim Mganga ambaye kwa sasa yupo nchini Marekani amepata nafasi ya kutoa burudani ndani ya ubalozi ya Tanzania nchini Marekani huku waziri wa maliasili na utalii, Lazaro Nyalandu pamoja na balozi wa Tanzania, Bi Ribelata Mulamula wakihudhuria. Waziri Nyalandu (kulia)Kassim Mganga (katikati) pamoja na balozi wa Tanzania Marekani mama Ribelata Mulamula […]

 

9 years ago

Bongo5

New Video: Avril aachia video mpya aliyoshoot Tanzania na director Hanscana ‘No Stress’

avril

Muimbaji Avril kutoka Kenya alikuja Tanzania mwezi September kwa lengo la kufanya media tour, na kuungana na Ben Pol kuzindua wimbo mpya ‘Ningefanyeje’ waliofanya pamoja. Kingine alikuja kushoot video ya wimbo wake mpya ‘No Stress’ aliomshirikisha AY.

avril

Jumamosi iliyopita Avril alizindua video hiyo jijini Nairobi ambapo ilioneshwa kwa mara ya kwanza kabla ya kuwekwa kwenye mtandao wa Youtube. Director wa video hiyo Hanscana ambaye ni mshindi wa Tuzo Za Watu 2015 pamoja na AY walisafiri...

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Victoria kimani aachia video ya ‘Prokoto’ aliyoshoot Tanzania na kuwashirikisha Diamond na Dimpoz

Mwimbaji wa Kenya, Victoria Kimani ameachia video yake mpya ya ‘Prokoto’ aliyowashirikisha mastaa wa Bongo Diamond Platnumz pamoja na Ommy Dimpoz. Victoria ambaye pia yuko chini ya label ya Chocolate City ya Nigeria wiki chache zilizopita alimleta director wa Kenya, Kevin Bosco Jr na kushoot ‘Prokoto’ katika mazingira ya Dar es salaam. Audio imefanywa na […]

 

11 years ago

Bongo5

Video: Teaser ya video mpya ya Linah ‘Ole Themba’ aliyoshoot Afrika Kusini na director GodFather

Baada ya Diamond Platnumz, Ommy Dimpoz na wasanii wengine wachache wa Tanzania kuanza kutafuta upenyo wa kulikamata soko la kimataifa, msanii wa kike Linah Sanga naye ameongezeka kwenye orodha hiyo. Hivi karibuni Linah alikuwa nchini Afrika Kusini ambako alifanikiwa kurekodi nyimbo kadhaa na maprodyuza wa huko akiwa chini ya usimamizi wake mpya. Licha ya kurekodi […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani