Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASWIRA ZA MSANII CASSIM MGANGA AFANYA SHOW ZANZIBAR


Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MSANII CASSIM MGANGA AWASILI ZANZIBAR

Msanii wa Bongo Flava Cassim Mganga akitia nanga bandari ya Zanzibar alipowasili leo kwa kazi maalum mji humo akiwa mwenyeji wa kituo cha radio cha Bomba FM.Msanii wa Bongo Flava Cassim Mganga akiingia kwenye gari tayari kwa safari ya kuelekea kwa mweyeji wake.Msanii Cassim Mganga akiwasili na huku akipata picha nje ya studio ya kituo cha radio cha Bomba FM.Msanii wa Bongo Flava CassimMganga akisalimiana na mwenyeji wake Dj Gulu G. Lover.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Cassim Mganga ajitetea

NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Kassim Mganga ‘Cassim’ amesema alishindwa kusambaza video ya wimbo wake wa ‘I Love You’ kutokana na audio kufanya vizuri na kutamba kila kona....

 

9 years ago

Bongo5

Cassim Mganga apanga kuoa mke wa pili

11078950_1402240830096916_1993740470_n

Hitmaker wa Subira, Cassim Hemedy Mganga amesema anafikiria kuoa mke wa pili.

11078950_1402240830096916_1993740470_n

Akizungumza kwenye kipindi cha Mkasi, Cassim alisema anaamini kuwa Mungu amewataka wanaume kuwahifadhi wanawake kwa kuwaoa. “Natarajia, muislamu mimi, Cassim alijibu kama anataka kuona mke wa pili.

“Nasema haya kwanza ni maamuzi na dini yetu inaheshimu hii sheria. Lakini lazima tuwahifadhi akina mama, tunaruhusiwa na si lazima, unaruhusiwa kama una uwezo wa kuwahudumia.”

Cassim ni baba wa mtoto mmoja.

Jiunge na...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Ali Choki Ft Cassim Mganga – Caro

chokiiiiiiiiiii

Msanii mkongwe wa mziki wa dansi hapa bongo Ali Choki ameachia wimbo mpya unaitwa “Caro”, Amemshirikisha Cassim Mganga. Producer Aby Dady.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Bongo5

Picha: Cassim Mganga atoa burudani ubalozi wa Tanzania nchini Marekani

Msanii wa muziki nchini Cassim Mganga ambaye kwa sasa yupo nchini Marekani amepata nafasi ya kutoa burudani ndani ya ubalozi ya Tanzania nchini Marekani huku waziri wa maliasili na utalii, Lazaro Nyalandu pamoja na balozi wa Tanzania, Bi Ribelata Mulamula wakihudhuria. Waziri Nyalandu (kulia)Kassim Mganga (katikati) pamoja na balozi wa Tanzania Marekani mama Ribelata Mulamula […]

 

10 years ago

Vijimambo

AUNT EZEKIEL NA CASSIM MGANGA WATEMBELEA AFRICAN ROOM NYUMBANI KWA DR TEMBA

Aunt Ezekiel akiwa na Cassim Mganga Nyumbani kwa Dr Temba, Brooklyn, NY hapa wakipata ukodak ndani ya Africa Room.Kwa Picha zaidi bofyahttp://www.tembaphoto.com/index.php?sphoto=1

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani