MSANII CASSIM MGANGA AWASILI ZANZIBAR
Msanii wa Bongo Flava Cassim Mganga akitia nanga bandari ya Zanzibar alipowasili leo kwa kazi maalum mji humo akiwa mwenyeji wa kituo cha radio cha Bomba FM.
Msanii wa Bongo Flava Cassim Mganga akiingia kwenye gari tayari kwa safari ya kuelekea kwa mweyeji wake.
Msanii Cassim Mganga akiwasili na huku akipata picha nje ya studio ya kituo cha radio cha Bomba FM.
Msanii wa Bongo Flava CassimMganga akisalimiana na mwenyeji wake Dj Gulu G. Lover.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo21 May
11 years ago
Tanzania Daima11 Jul
Cassim Mganga ajitetea
NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Kassim Mganga ‘Cassim’ amesema alishindwa kusambaza video ya wimbo wake wa ‘I Love You’ kutokana na audio kufanya vizuri na kutamba kila kona....
9 years ago
Bongo503 Nov
Cassim Mganga apanga kuoa mke wa pili
![11078950_1402240830096916_1993740470_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11078950_1402240830096916_1993740470_n-300x194.jpg)
Hitmaker wa Subira, Cassim Hemedy Mganga amesema anafikiria kuoa mke wa pili.
Akizungumza kwenye kipindi cha Mkasi, Cassim alisema anaamini kuwa Mungu amewataka wanaume kuwahifadhi wanawake kwa kuwaoa. “Natarajia, muislamu mimi, Cassim alijibu kama anataka kuona mke wa pili.
“Nasema haya kwanza ni maamuzi na dini yetu inaheshimu hii sheria. Lakini lazima tuwahifadhi akina mama, tunaruhusiwa na si lazima, unaruhusiwa kama una uwezo wa kuwahudumia.”
Cassim ni baba wa mtoto mmoja.
Jiunge na...
9 years ago
Bongo518 Dec
Music: Ali Choki Ft Cassim Mganga – Caro
![chokiiiiiiiiiii](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/chokiiiiiiiiiii-300x194.jpg)
Msanii mkongwe wa mziki wa dansi hapa bongo Ali Choki ameachia wimbo mpya unaitwa “Caro”, Amemshirikisha Cassim Mganga. Producer Aby Dady.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/M2qlmZDbHMI/default.jpg)
10 years ago
GPL02 Feb
10 years ago
Vijimambo25 Jan
10 years ago
Bongo520 Sep
Picha: Cassim Mganga atoa burudani ubalozi wa Tanzania nchini Marekani
10 years ago
Vijimambo24 Sep
AUNT EZEKIEL NA CASSIM MGANGA WATEMBELEA AFRICAN ROOM NYUMBANI KWA DR TEMBA