UCHAWI WAMKIMBIZA ZARI BONGO
![](http://api.ning.com:80/files/-5YwiIyenR-KotTt5*KXWyG0O7leZmN2TCiigVd4pGa1z0pRGcOM8922P8-p*PcpVTCxyQmMZQg*p8ks7Kl1ttMLPtrSgEyn/RisasiFrontpage.jpg?width=650)
Na Musa Mateja ISHU ya uchawi kwa wanawake wajawazito ndilo suala kubwa linaloingia kwenye hisia za baadhi ya watu hasa mimba inapokuwa changa, hofu hiyo sasa imemwingia mwandani wa Mbongo-Fleva anayeuza zaidi kwa sasa, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari’ au ‘The Boss Lady’ ambaye anadaiwa kuikimbia Bongo kwa muda ili mimba yake isije kuchoropoka kama ilivyokuwa kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HMrNkLH2ZKPT2NHufWUAgVUG6G1H7qTJpq52sxANryc5SMYEE5uInsYXKzN3GmlG*r9cpEOq7JoUICU5ltgihsoJlKEQzY78/FRONTUWAZI.jpg?width=650)
UCHAWI! UCHAWI! HAKIMU AFIA MAHAKAMANI
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-uBk0ucRwM6s/VLxHl68lPpI/AAAAAAADWFY/Lr1IwFNfIAo/s72-c/Planets.jpg)
UCHAWI:1 NINI MAANA YA UCHAWI?
![](http://1.bp.blogspot.com/-uBk0ucRwM6s/VLxHl68lPpI/AAAAAAADWFY/Lr1IwFNfIAo/s1600/Planets.jpg)
Al Azhari ambaye nimtungaji wa kamusimaarafu ya kiarabu iitwayo“LisanulArab” amesema:“Neno “Uchawi”, kwakiarabu “As Sihr”, maanayake ni kitendo chakujikurubisha na shetani nakwa msaada wake(shetani)”, na akasema piakuwa; “Uchawi nikulibadilisha jambo mbali nauhakika wake, nako nikuwadhihirishia watu jambolisilo la kweli wakalionakuwa ni la kweli.”Ama Sahaba Ibni Abbas(Radhiya Llaahu ‘anhu)amesema:"Uchawi ni kuidhirisha batilikatika sura ya haki."Hayo ni katika kamusi zalugha.Amma katika...
11 years ago
Mwananchi20 Feb
Ubabaishaji wamkimbiza Morocco
11 years ago
Tanzania Daima03 Aug
‘Maprodyuza’ wamkimbiza Diamond
STAA wa muziki wa Bongo fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’, amesema licha ya kutafuta video zenye kiwango, pia dharau na mapozi ya watayarishaji wengi wa Tanzania yamechangia kuacha kutengeneza kazi...
10 years ago
Mtanzania10 Jan
CUF wamkimbiza mbunge wa CCM
Na Ally Badi, Lindi
MBUNGE wa Viti Maalumu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Zainab Kawawa, juzi alifukuzwa na vijana wa Kijiji cha Makinda waliokuwa na mawe na magongo wakati akijiandaa kufanya mkutano wa hadhara.
Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Makinda kilichopo Kata ya Kipule Wilaya ya Liwale, Salum Salum Kachwele, amelithibitishia MTANZANIA Jumamosi kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa Mbunge Kawawa alikutana na zahama hiyo wakati akijiandaa kutangaza nia ya kugombea ubunge wa...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/P0y0X6852Mc/default.jpg)
10 years ago
Africanjam.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-4AWazcB9U-I/VUONB6vGraI/AAAAAAAABbc/BDzktArlrlE/s72-c/Africanjam2.jpg)
TANZANIA: KUELEKEA ZARI WHITE PARTY, DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU NDOA YAKE NA ZARI
![](http://2.bp.blogspot.com/-4AWazcB9U-I/VUONB6vGraI/AAAAAAAABbc/BDzktArlrlE/s1600/Africanjam2.jpg)
Diamond Platnumz ambae ni miongoni mwa wasanii wa muziki wanaofanya vizuri sana Africa amefunguka kuhusu Ndoa yake na mwanamama Zari, Diamond amesema kwamba atakuwa ndani ya ndoa kabla ya mwaka huu kuisha.Diamond alifunguka hayo asubuhi ya tar 1 May. 2015 katika kuipigia promo Event ya Zari All All White Party itakayofanyika tar 1 May. Tamasha hilo linatarajiwa kuacha historia ya kipekee kwa kua na kiingilio cha gharama kubwa zaidi kwani ticket za VIP zimeuzwa kwa Millioni tatu na mpaka...
10 years ago
Vijimambo08 Jan
DIAMOND APEWA OFA YA $40,000 AMWACHE ZARI, NJEMBA LAPOST SCREENSHOT YA ZARI AKILIOMBA MKWANJA!
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/01/10888399_10205933029869831_1858120712732123108_n.jpg)
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/01/1b.jpg)
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/01/1a.jpg)