Ubabaishaji wamkimbiza Morocco
Aliyekuwa kocha wa JKT Oljoro, Hemed Morocco ameibuka na kusema kuwa ubabaishaji na ushirikiano duni wa viongozi wapya wa klabu hiyo ndiyo uliomlazimisha abwage manyaga.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima03 Aug
‘Maprodyuza’ wamkimbiza Diamond
STAA wa muziki wa Bongo fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’, amesema licha ya kutafuta video zenye kiwango, pia dharau na mapozi ya watayarishaji wengi wa Tanzania yamechangia kuacha kutengeneza kazi...
10 years ago
Mtanzania10 Jan
CUF wamkimbiza mbunge wa CCM
Na Ally Badi, Lindi
MBUNGE wa Viti Maalumu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Zainab Kawawa, juzi alifukuzwa na vijana wa Kijiji cha Makinda waliokuwa na mawe na magongo wakati akijiandaa kufanya mkutano wa hadhara.
Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Makinda kilichopo Kata ya Kipule Wilaya ya Liwale, Salum Salum Kachwele, amelithibitishia MTANZANIA Jumamosi kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa Mbunge Kawawa alikutana na zahama hiyo wakati akijiandaa kutangaza nia ya kugombea ubunge wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-5YwiIyenR-KotTt5*KXWyG0O7leZmN2TCiigVd4pGa1z0pRGcOM8922P8-p*PcpVTCxyQmMZQg*p8ks7Kl1ttMLPtrSgEyn/RisasiFrontpage.jpg?width=650)
UCHAWI WAMKIMBIZA ZARI BONGO
11 years ago
Mwananchi15 May
Wizara ya Maliasili inaongozwa kwa ubabaishaji
9 years ago
Raia Mwema07 Oct
11 years ago
Mwananchi03 Feb
Katibu wa Yanga aponda ubabaishaji katika soka
11 years ago
Tanzania Daima23 Jun
Nyota Yanga: Ubabaishaji umenistaafisha soka mapema
KARIBU mpendwa msomaji wa gazeti pendwa la Tanzania Daima, katika safu ya ‘Jicho Letu Mtandaoni’ inayokujia kila Jumatatu, ikibeba dhima ya kukupa wewe msomaji machache kati ya mengi yanayojiri katika kurasa/akaunti za...
10 years ago
Mwananchi10 Aug
Ubabaishaji huu TOC, TFF unaiathiri Twiga Stars
11 years ago
Habarileo12 May
Nape asema ni ndoa ya Chadema, CUF, NCCR ya ubabaishaji
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema ‘ndoa’ upinzani bungeni iliyozaa Baraza Kivuli la Mawaziri la vyama vya Chedema, CUF na NCCR-Mageuzi, ni mwendelezo wa ubabaishaji na matusi makubwa kwa vyama vingine vilivyokubali ndoa hiyo hasa CUF.