Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Maprodyuza’ wamkimbiza Diamond

STAA wa muziki wa Bongo fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’, amesema licha ya kutafuta video zenye kiwango, pia dharau na mapozi ya watayarishaji wengi wa Tanzania yamechangia kuacha kutengeneza kazi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ubabaishaji wamkimbiza Morocco

Aliyekuwa kocha wa JKT Oljoro, Hemed Morocco ameibuka na kusema kuwa ubabaishaji na ushirikiano duni wa viongozi wapya wa klabu hiyo ndiyo uliomlazimisha abwage manyaga.

 

10 years ago

Mtanzania

CUF wamkimbiza mbunge wa CCM

kwwNa Ally Badi, Lindi
MBUNGE wa Viti Maalumu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Zainab Kawawa, juzi alifukuzwa na vijana wa Kijiji cha Makinda waliokuwa na mawe na magongo wakati akijiandaa kufanya mkutano wa hadhara.

Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Makinda kilichopo Kata ya Kipule Wilaya ya Liwale, Salum Salum Kachwele, amelithibitishia MTANZANIA Jumamosi kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa Mbunge Kawawa alikutana na zahama hiyo wakati akijiandaa kutangaza nia ya kugombea ubunge wa...

 

10 years ago

GPL

UCHAWI WAMKIMBIZA ZARI BONGO

Na Musa Mateja
ISHU ya uchawi kwa wanawake wajawazito ndilo suala kubwa linaloingia kwenye hisia za baadhi ya watu hasa mimba inapokuwa changa, hofu hiyo sasa imemwingia mwandani wa Mbongo-Fleva anayeuza zaidi kwa sasa, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,  Zarinah Hassan ‘Zari’ au ‘The Boss Lady’ ambaye anadaiwa kuikimbia Bongo kwa muda ili mimba yake isije kuchoropoka kama ilivyokuwa kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Maprodyuza, madj kikwazo kwa chipukizi

“Kuna wakati nahitaji kupiga hatua, lakini wale unaowategemea wawezeshe mafanikio hayo ndiyo watakuvuta mguu urudi nyuma.

 

10 years ago

Mwananchi

Masilahi ya maprodyuza hayataimarika bila mfumo mpya

Kuna kila dalili kazi ya uzalishaji wa muziki wa Bongo Fleva itapotea au kupoteza thamani miaka michache ijayo.

 

11 years ago

GPL

MAPRODYUZA MESEN SELEKTA, MONA GANGSTAR WATEMBELEA GLOBAL, WAFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE

Prodyuza Mesen Selekta akiwa tayari kwa mahojiano na presenta wa Global TV Online, Pamela Daffa 'The Mic Queen'. Mesen Selekta katika pozi ndani ya Global TV.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani