Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAPRODYUZA MESEN SELEKTA, MONA GANGSTAR WATEMBELEA GLOBAL, WAFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE

Prodyuza Mesen Selekta akiwa tayari kwa mahojiano na presenta wa Global TV Online, Pamela Daffa 'The Mic Queen'. Mesen Selekta katika pozi ndani ya Global TV.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WANAMUZIKI WITNESS NA OCHU WAFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE

Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Witness Mwijage (kushoto), akiwa katika pozi na mchumba wake Ochu Sheggy , muda mfupi baada ya kuwasili katika studio za Global TV Online, Bamaga-Mwenge jijini Dar. Ochu (kulia), akifafanua jambo wakati wa mahojiano na Global TV Online leo. Witness akijibu moja ya…

 

11 years ago

GPL

KAMERA YA GLOBAL KWA PRODYUZA MONA GANGSTAR NA KALA JEREMIAH , TANESCO NA NYAYA ZILIZOSHUKA

Mtayarishaji  wa muziki wa kizazi kipya ambaye ni mmiliki wa Studio Classic Sound, Monami Rangi “Mona Gangstar” akiwa katika hatua za mwisho kukamilisha wimbo mpya wa mkali wa Hip Pop nchini, Kala Jeremiah, ambao haujabatizwa jina.
Mona Gangstar, aki-‘mix’  wimbo wa Kala Jeremiah katika Studio za Classic Sound, zilizopo maeneo ya Kinondoni -Manyanya.…
...

 

11 years ago

GPL

MKUDE SIMBA ATINGA GLOBAL, AFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE

Mkude Simba (kulia) na Stan Bakora wakipozi katika studio za Global TV Online kabla ya mahojiano. Mkude Simba a.k.a Kitale akiongea na wanahabari wa Global 'hawapo pichani'.…

 

10 years ago

GPL

CHRISTIAN BELLA ATUA GLOBAL, AFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE

Christian Bella aka 'King of Melody' akihojiwa ndani ya studio za Global TV Online. Bella akifurahia jambo wakati wa mahojiano hayo.…

 

10 years ago

GPL

NUHU MZIWANDA ATINGA GLOBAL, AFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE

Nuhu Mziwanda ndani ya studio za Global TV Online. Nuhu Mziwanda akipozi na presenta wa Global TV Online, Pamela Daffa 'Pam D'.…

 

11 years ago

GPL

MAKAMUA ATINGA GLOBAL, AFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE

Msanii wa Bongo Fleva, Mackpaul Sekimanga 'Makamua' akilonga na Global TV Online. Mtangazaji wa Global TV Online, Erick Evarist akimuweka mtu kati Makamua.…

 

10 years ago

GPL

MLELA ATINGA GLOBAL, AFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE

Staa wa filamu, Yusuph Mlela akiwa katika pozi. Mlela akijibu moja ya maswali aliyoulizwa na waandishi (hawapo pichani). Mlela akiwa katika pozi baada ya mahojiano.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani