Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMERA YA GLOBAL KWA PRODYUZA MONA GANGSTAR NA KALA JEREMIAH , TANESCO NA NYAYA ZILIZOSHUKA

Mtayarishaji  wa muziki wa kizazi kipya ambaye ni mmiliki wa Studio Classic Sound, Monami Rangi “Mona Gangstar” akiwa katika hatua za mwisho kukamilisha wimbo mpya wa mkali wa Hip Pop nchini, Kala Jeremiah, ambao haujabatizwa jina.
Mona Gangstar, aki-‘mix’  wimbo wa Kala Jeremiah katika Studio za Classic Sound, zilizopo maeneo ya Kinondoni -Manyanya.…
...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAPRODYUZA MESEN SELEKTA, MONA GANGSTAR WATEMBELEA GLOBAL, WAFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE

Prodyuza Mesen Selekta akiwa tayari kwa mahojiano na presenta wa Global TV Online, Pamela Daffa 'The Mic Queen'. Mesen Selekta katika pozi ndani ya Global TV.…

 

11 years ago

GPL

KALA JEREMIAH NDANI YA GLOBAL TV ONLINE

Kalla Jeremiah akipozi ndani ya studio za Global TV Online kabla ya kufanyiwa mahojiano. Kalla akipozi na baadhi ya wafanyakazi wa Global. Kutoka kushoto ni Erick Evarist, Gabriel Mongela…

 

11 years ago

GPL

MONA GANGSTAR: WASANII MIZIGO STOP CLASSIC SOUND

Mona Gangstar, akiwa mzigoni katika Studio za Classic Sound, zilizopo maeneo ya Kinondoni-Manyanya jijini Dar.  Na Mohammed Mdose PRODUZA wa muziki wa kizazi kipya kutoka studio ya Classic Sound, Monami Rangi 'Mona Gangstar' amewafungia vioo wasanii mizigo ambao wanataka kurekodi nyimbo zao bure ndani ya studio yake kwa kutumia umaarufu wao. Mona Gangstar amefanya kazi kibao na kuwatoa wasanii wakali ambao wanatesa kwa sasa...

 

10 years ago

GPL

WAKALI WA HIP HOP ROMA MKATOLIKI NA KALA JEREMIAH WAILETA 'NCHI YA AHADI' GLOBAL TV ONLINE

Wanamuziki wa Hip hop, Roma Mkatoliki na Kala Jeremiah wakiwa katika studio za Global TV Online leo. Roma Mkatoliki (wa kwanza kulia) akijibu swali na mtangazaji wa Global TV Online, Mou Alfa (kushoto). Kati ni Kala Jeremiah. Mou Alfa (kushoto) akiwahoji wanamuziki Kala na Roma ndani ya studio za Global TV…

 

9 years ago

Bongo5

Video: Kala Jeremiah – Malkia

KALA-NEW

Rapper Kala Jeremiah baada ya kimya kidogo amerudi tena na hii video mpya wimbo unaitwa “Malkia”, Video imeongozwa na Pablo.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Kala Jeremiah aitupia lawama BASATA

Kala Jeremiah anaamini kuwa hatua ya Baraza la Sanaa Taifa, BASATA kuifungia ngoma ya Roma Mkatoliki ‘Viva Roma’ ni sawa na kuingilia na kuvuruga demokrasia. Akizungumza na kipindi cha The Jump Off cha Times FM, Kala alisema kama tatizo ni ushahidi wa kile alichokiimba Roma,nyimbo zote zinapaswa kufungiwa kwa kuwa hazina uhalisia. “Ushahidi gani unautaka?” […]

 

10 years ago

CloudsFM

KALA JEREMIAH: NIMEOTESHWA KUANDIKA “USIKATE TAMAA”

Staa wa Hip Hop,Kala Jeremiah ambaye hivi karibuni alilamba mkataba wa kuwa balozi wa kampuni moja ya vinywaji kwa mwaka wa pili mfululizo. Kala Jeremiah ana mipango ya kuachia ngoma mpya inaitwa ‘’Usikate Tamaa’’, ina aminika kuwa itashika kushika katika level za Dear god, Kala anasema idea ya ngoma hiyo imeanzia ndotoni.

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Kala Jeremiah f/ Roma — Nchi ya Ahadi

Kala Jeremiah na Roma wameungana kutengeneza ngoma mpya ‘Nchi ya Ahadi’ iliyotoka leo. Kwenye wimbo huo Kala amechukua nafasi ya mwananchi anayemuuliza maswali magumu Roma ambaye ni mwanasiasa anayetafuta nafasi nyingine ya uongozi. Ni wimbo mzuri hasa kwa kipindi hiki. Usikilize.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani