Korti yapokea simu 102 kama ushahidi
NA SYLVIA SEBASTIAN
MAHAKAMA ya Wilaya Ilala, imekubali kupokea simu 102, kama kielelezo cha shahidi Koplo Furahin ambaye alitoa ushahidi wa kesi ya wizi wa simu inayowakabili washitakiwa sita.
Pia imeamuru kwamba mwenye mali akabidhiwe simu zake kwa kuwa hazina pingamizi.
Washitakiwa hao katika kesi hiyo ni Idd Pawa, Hamada Mohammed, Haji Waziri, Yusuph Muhangwa, Hashimu Idd, Ally Omary na Mathias Ndunguru.
Washitakiwa hao walipanda kizimbani jana, mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Juma Hassan...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo05 Sep
Shahidi apeleka simu 102 mahakamani
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala imepokea simu 102 kutoka kwa shahidi wa nne katika kesi ya wizi wa simu inayowakabili wafanyakazi sita wa Kampuni ya kupakia na kupakua mizigo ya Swissport, kama kielelezo cha mashitaka kwa washitakiwa.
10 years ago
Bongo Movies19 Feb
VIJIMAMBO: Simu ya Mwanaume Naiona Kama Bomu-Lulu
Siku hizi sio kitu cha ajabu kusikia au kuona wapenzi wamegombana na kufikia hadi kuachana kisa simu za mikononi.
Wapo wanaoishi kwenye dhana ya simu ya mkonomni ya mpenzi wako ni simu yako na wapo wanaoishi kwenye dhana ya kila mtu na simu yake na mambo yake hakuna kuchunguza simu ya mwenzio.
Mrembo na mwingizaji, Elizabeth Michael “Lulu” ameweka wazi mtanzamo wake kuhusu simu ya mpenzi wake kwa kusema yeye hawezi kuipekuwa kwani anaiona kama ni bomu.
Lulu aliandika hayo kwenye ukurasa...
9 years ago
MillardAyo05 Jan
Kama mpango wako ni kuanza 2016 na simu mpya kwenye ubora wake, unaweza kuanza na TECNO Phantom 5
Kila mtu anaanza mwaka na mipango yake, 2016 ndio hii kwenye countdown ya tarehe za January… kama ishu ya kubadili simu iko kwenye mipango yako ya mwanzo mwanzo wa mwaka basi naomba nikufahamishe machache kuhusu hii Phantom 5. Kwa sababu Tecno wamethibitisha kuwasogezea Watanzania matoleo kadhaa ya simu za smartphones zenye viwango vyake sokoni, basi kuna […]
The post Kama mpango wako ni kuanza 2016 na simu mpya kwenye ubora wake, unaweza kuanza na TECNO Phantom 5 appeared first on...
9 years ago
Bongo515 Oct
Said Fella anasimamia wasanii 102
11 years ago
Habarileo03 Jul
Magereza yapata leseni 102 za uchimbaji
JESHI la Magereza limepata leseni 102 za uchimbaji wa madini ya ujenzi katika maeneo mbalimbali ya magereza nchini.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
TRUE LOVE (PENZI LA KWELI)-102
9 years ago
Habarileo19 Sep
Acacia wamwaga milioni 102/- kwa timu
KAMPUNI ya Uchimbaji wa madini ya dhahabu ya Acacia kupitia Mgodi wake wa Bulyanhulu, juzi ulitoa msaada wa vifaa vya nichezo pamoja na hundi ya Sh milioni 60 kwa timu nne zilizopo katika kata zinazozunguka mgodi huo ikiwemo moja inayoshiriki Ligi Daraja la Pili ngazi ya Taifa.
10 years ago
Habarileo15 Apr
Ajali barabarani zaua 969 ndani ya siku 102
WAKATI Rais Jakaya Kikwete akiungana na Watanzania kuomboleza vifo vya watu 19 walioteketea katika ajali ya basi lililoungua moto baada ya kugongana na lori juzi mjini Morogoro, imefahamika kuwa, ajali za barabarani zimegharimu maisha ya watu 969 kati ya Januari Mosi na Aprili 12 mwaka huu.
11 years ago
CloudsFM26 Jul
Mtangazaji wa 102.5 Choice FM kuiwakilisha Tanzania kwenye kongamano la Obama
Picha kwa hisani ya ubalozi wa Marekani Tanzania
U.S. Embassy Public Affairs Officer Ms. Marissa Maurer kushoto akikabithi ticket kwa Mtangazaji kutoka Clouds Media group (Choice FM 102.5) Louissa Babbie Kabae ambae pia ni brand Manager kushiriki kwenye U.S. Commitment to Africa Reporting Tour kuanzia July 26 through August 8 nchini Marekani.
Kabae ataungana na Waandishi wengine zaidi ya 20 kutoka nchi mbalimbali Afrika kwenye tour Washington DC na kwenye jiji la Atlanta kwa ajili ya U.S –...