VIJIMAMBO: Simu ya Mwanaume Naiona Kama Bomu-Lulu
Siku hizi sio kitu cha ajabu kusikia au kuona wapenzi wamegombana na kufikia hadi kuachana kisa simu za mikononi.
Wapo wanaoishi kwenye dhana ya simu ya mkonomni ya mpenzi wako ni simu yako na wapo wanaoishi kwenye dhana ya kila mtu na simu yake na mambo yake hakuna kuchunguza simu ya mwenzio.
Mrembo na mwingizaji, Elizabeth Michael “Lulu” ameweka wazi mtanzamo wake kuhusu simu ya mpenzi wake kwa kusema yeye hawezi kuipekuwa kwani anaiona kama ni bomu.
Lulu aliandika hayo kwenye ukurasa...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies06 Feb
VIJIMAMBO: Van Vicker Amkumbuka Lulu!!
Jana ilikuwa ni siku ya “Kurusha Nyuma” yani ThrowBackThrusday (TBT) ambako kwenye mtandao wa INSTAGRAM watu huweka picha za matukio yao ya zamani.
Sasa muongozaji na muigizaji maarufu wa filamu wa nchini Ghana, Van Vicker ambae Alisha kuja hapa nchini na kufanya kazi na baaadhi ya waigizaji wa hapa Bongo, alitupia picha hii akiwa na mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ na kuandika kuwa hiyo ndio TBT post yake ya kwanza maishani na kuwa tag baadhi ya jamaa zake wa hapa bongo , wakiwemo...
10 years ago
Bongo Movies22 Jan
Vijimambo:Jokate Achekelea Kumbwaga Lulu
Mwanamitindo namuigizaji wa filamu , Jokate Mwegelo ameibuka mshindi kwa urembo na muonekano katika picha zinazoonekana mitandaoni nchini na kumbwaga aliekuwa mshindani wake ,Elizabeth Michael ‘Lulu”.
Kwa mujibu wa GPL, mtandao mmoja wa hapa nchini umeendesha zoezi la kuweka picha zao kali zinazowaonesha wote wawili wakiwa na muonekano na picha kali huku wakiuliza nani zaidi ya mwenzake.Jokate ameibuka mshindi kwa kupigiwa kura tano huku watu wakimsifia kuwa ni wa kimataifa zaidi ambapo...
10 years ago
Bongo Movies04 Feb
VIJIMAMBO: Nikulidhishe Kwani Wewe Unanilidhisha!!!!-Lulu
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Elizabeth Michale ‘Lulu’ amewatolea uvivu baadhi ya followers wake kwenye mtandao wa Instagram ambao huwa wana DIS kila anachokiweka.
Akionyesha hali ya kutokujali, mwanadada huyo alibandika picha hiyo hapo juu mtandaoni na kundika;
“Lego get em….. Nikuridhishe Kwani we unaniridhisha!???Am Soleeee...!”
Ujumbe ambao uliugwa mkono na followers wengi na kuwa ‘tag’baadhi ya wale ambao kazi yako wao ni kumponda tu bidada huyu.
Nadhani ujumbe umefika!!!.. Ila...
10 years ago
Bongo Movies16 Jan
VIJIMAMBO:Steve Nyerere Amganda Mama Lulu Kifuani!!
Aliye kuwa Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steven Nyerere hivi karibuni aliibua miguno baada ya kumganda kifuani mama wa msanii Elizabeth Michael, Lucresia Karugila huku akionekana kutotaka kubanduka mwilini mwa mama huyo.
Tukio hilo lililowafanya watu wabaki wakiwa wamepigwa butwaa, lilijiri ndani ya Hoteli ya Landmark jijini Dar kulikokuwa na uzinduzi wa kitabu cha Marehemu Steven Kanumba kiitwacho The Great Follen Tree.
Awali, waalikwa kwenye sherehe hiyo waliinuka na kwenda kucheza wimbo wa...
10 years ago
Bongo Movies24 Feb
VIJIMAMBO: Wanaume Wote Huzaliwa Wakiwa na Usaliti-Lulu
Mrembo na mwigizaji wa filamu mwenye mvuto zaidi hapa Bongo (kwa mujibu wa mtandao wa yourbesttop10.com), Elizabeth Michael ‘Lulu’ jana usiku aliandika bandiko mtandaoni ambalo liliwaacha midomo wazi baadhi ya mashabiki wake akiwashutumu wanaume wote kuwa wamezaliwa wakiwa tayari wanausaliti na kuwa ni swala la kusubiri ni lini tu atafanya na kuwatahadhalisha wanawake wakaechonjo kwenye mahusiano yao.
Lulu aliandika ujumbe huo kwa lugha ya ‘KIMOMBO’ “All men are born hardwired to...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KhhA6XZToLq-XvKU5vyHEhxHGWsMD7My3GJUgnFpUb9r4dr4rzBCnUOxAk*ZIimqKDid8*uz84ciuA8LO929j6bQL6Oa3Va*/Kingwendu.jpg?width=650)
KINGWENDU NIKIWA NYUMBANI SIWI KAMA MWANAUME
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BybgAqvu3Om6Uh--sn6-ujI5gI3ZS*-V4NifcvpRDzp7DY88OKqUjY0-Bdlwv1TEimEoQpy7mPP*Xw1FHCCQvFKE47yo0SYO/BACK.jpg?width=650)
MAAJABU MWANAUME APATA SIKU KAMA WANAWAKE
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/1j5JkbsFB30/default.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima17 Dec
Lulu akerwa na simu
MWANADADA anayetamba katika filamu za Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema kero yake kubwa ni utumiaji wa simu za mkononi na anasumbuliwa sana na watu wasiokuwa na mambo ya msingi. Akizungumza...