MAAJABU MWANAUME APATA SIKU KAMA WANAWAKE
![](http://api.ning.com:80/files/BybgAqvu3Om6Uh--sn6-ujI5gI3ZS*-V4NifcvpRDzp7DY88OKqUjY0-Bdlwv1TEimEoQpy7mPP*Xw1FHCCQvFKE47yo0SYO/BACK.jpg?width=650)
Stori: Chande Abdallah na Deogratius Mongela MAAJABU! Ndivyo unavyoweza kusema unapokutana na mwanaume mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Frank Kalamu (53) mkazi wa Ilala Jijini Dar es Salaam, aliyetoa ushuhuda wa kufunga mwaka kwamba kwa zaidi ya miaka miwili, alikuwa akipata siku zake kama ilivyo kwa wanawake, ingawa yeye ni kupitia njia ya haja kubwa. Frank Kalamu akiombewa kanisani. Akitoa ushuhuda huo ndani ya...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dm99ly9wi642FC0xO6Bl6tWJv0cNdDl8AG3e73BL4*pObXg6HplIvj1UmPqpSoYKuYJV6WBn0jCwt1aHVGiBP7P9kOhgNWIa/thea.jpg)
THEA APATA MWANAUME WA KUMLEA
10 years ago
BBCSwahili12 Sep
Mwanaume apata hisia za ujauzito
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KhhA6XZToLq-XvKU5vyHEhxHGWsMD7My3GJUgnFpUb9r4dr4rzBCnUOxAk*ZIimqKDid8*uz84ciuA8LO929j6bQL6Oa3Va*/Kingwendu.jpg?width=650)
KINGWENDU NIKIWA NYUMBANI SIWI KAMA MWANAUME
10 years ago
Bongo Movies19 Feb
VIJIMAMBO: Simu ya Mwanaume Naiona Kama Bomu-Lulu
Siku hizi sio kitu cha ajabu kusikia au kuona wapenzi wamegombana na kufikia hadi kuachana kisa simu za mikononi.
Wapo wanaoishi kwenye dhana ya simu ya mkonomni ya mpenzi wako ni simu yako na wapo wanaoishi kwenye dhana ya kila mtu na simu yake na mambo yake hakuna kuchunguza simu ya mwenzio.
Mrembo na mwingizaji, Elizabeth Michael “Lulu” ameweka wazi mtanzamo wake kuhusu simu ya mpenzi wake kwa kusema yeye hawezi kuipekuwa kwani anaiona kama ni bomu.
Lulu aliandika hayo kwenye ukurasa...
5 years ago
BBCSwahili06 Mar
Siku ya wanawake Duniani: Ilikuwaje Machi 8 ikawa Siku ya Wanawake Duniani
10 years ago
Bongo Movies10 Apr
Shamsa Ford: Nay ni Mwanaume wa Ndoto za Wanawake Wengi!
Staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford amemmwagia sifa Staa wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego kuwa hakuwahi kujua kama ni mkarimu huku akidai kuwa anafaa kuwa mume!
Shamsa ambaye aliachana na mume wake tangu October mwaka jana, ameiambia Bongo5 kuwa aliombwa na Nay ashirikishwe katika filamu yake.
“Sisi ni washkaji sema Nay ana kazi yake ya filamu ndio akaona mimi ndo nafaa, Hakuna kitu chochote zaidi ya kazi,” amesema Shamsa.
“Kabla ya kupata nafasi ya kuongea na Nay nilikuwa namuona ni mtu...
10 years ago
Mtanzania11 Aug
Mr Flavour kama Diamond, apata mtoto
WAKATI nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul (Diamond Platinum) akifurahia mtoto wake wa kwanza aliyempa jina la Tiffah, nyota mwenzake wa Nigeria, Flavour Nabania ‘Mr Flavour’ naye amepata mtoto.
Diamond Platinum na mpenzi wake, Zarina Hassani (Zari), wamefanikiwa kupata mtoto wa kike huku Mr Flavour na mpenzi wake, Anna Banner wakipata mtoto wa kiume.
Mtoto wa Mr Flavour amezaliwa Texas nchini Marekani akiwa ni mtoto wake wa pili, wa kwanza akiwa amezaa na mrembo, Sandra Okagbue,...
5 years ago
MichuziWANAWAKE TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA (TCDC) WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Picha ya Pamoja ya Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakiwa tayari kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Jijini Dodoma
Picha ya Pamoja ya Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakiwa tayari kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Jijini Dodoma
Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakiwa na Bango la maandamano lenye Kauli mbiu ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakiwa katika maandamano...
10 years ago
Dewji Blog09 Mar
Wanawake wa MSD washerehekea siku ya wanawake duniani kwa aina yake
Bw. Mwaifani akimkaribisha mgeni rasmi wa sherehe hizo, Bi.Helen Mwakipunda ambaye ni Mhasibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.
Bi. Mwakipunda akizungumza na wafanyakazi wa (MSD) wakati wa sherehe hizo.
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya akina mama kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Matlida Ngarina aliyealikwa kwa ajili ya kutoa mada kuhusiana na magonjwa ya...